| File name: | prnntfy.dll.mui |
| Size: | 15360 byte |
| MD5: | c904b001e7cb191cbd37c1fb81972048 |
| SHA1: | 7b284c526c8049bd876dbb43a8c0bf020fd32331 |
| SHA256: | 066af71dd391c0ca5021bb88d6416dd4537f9670815c40e642aa2fc879a8d7f1 |
| Operating systems: | Windows 10 |
| Extension: | MUI |
If an error occurred or the following message in Swahili language and you cannot find a solution, than check answer in English. Table below helps to know how correctly this phrase sounds in English.
| id | Swahili | English |
|---|---|---|
| 100 | … | … |
| 101 | Waraka huu ulipelekwa kwenye kichapishi | This document was sent to the printer |
| 102 | Waraka: %1 Kichapishi: %2 Muda: %3 Jumla ya kurasa: %4 |
Document: %1 Printer: %2 Time: %3 Total pages: %4 |
| 103 | Kichapishi hakina karatasi | Printer out of paper |
| 104 | Kichapishi ‘%1’ kimeisha karatasi. | Printer ‘%1’ is out of paper. |
| 105 | Waraka huu ulishindwa kuchapishwa | This document failed to print |
| 107 | Mlango wa kichapishi umefunguka | Printer door open |
| 108 | Mlango kwenye ‘%1’ umefunguka. | The door on ‘%1’ is open. |
| 109 | Kichapishi kwenye hali ya kosa | Printer in an error state |
| 110 | ‘%1’ kiko kwenye hali ya kosa. | ‘%1’ is in an error state. |
| 111 | Kichapishi kimeisha tona/wino | Printer out of toner/ink |
| 112 | ‘%1’ kimeisha tona/wino. | ‘%1’ is out of toner/ink. |
| 113 | Kichapishi hakipatikani | Printer not available |
| 114 | ‘%1’ haipatikani kwa uchapishaji. | ‘%1’ is not available for printing. |
| 115 | Kichapisho kiko nje ya mtandao | Printer offline |
| 116 | ‘%1’ iko nje ya mtandao. | ‘%1’ is offline. |
| 117 | Kichapishi hakina kumbukumbu | Printer out of memory |
| 118 | ‘%1’ haina kumbukumbu. | ‘%1’ has run out of memory. |
| 119 | Kijalala towe cha kichapishi kimejaa | Printer output bin full |
| 120 | Kijalala towe kwenye ‘%1’ kimejaa. | The output bin on ‘%1’ is full. |
| 121 | Kukwama kwa karatasi kwenye kichapishi | Printer paper jam |
| 122 | Karatasi imekwama kwenye ‘%1’. | Paper is jammed in ‘%1’. |
| 124 | ‘%1’ hakina karatasi. | ‘%1’ is out of paper. |
| 125 | Tatizo la karatasi la kichapishi | Printer paper problem |
| 126 | ‘%1’ kina tatizo la karatasi. | ‘%1’ has a paper problem. |
| 127 | Kichapishi kimesitishwa | Printer paused |
| 128 | ‘%1’ kimesitishwa. | ‘%1’ is paused. |
| 129 | Kichapishi kinahitaji umakinifu wa mtumiaji | Printer needs user intervention |
| 130 | ‘%1’ kina tatizo ambalo huhitaji umakinifu wako. | ‘%1’ has a problem that requires your intervention. |
| 131 | Kichapishi kimepungua tona/wino | Printer is low on toner/ink |
| 132 | ‘%1’ kimepungua tona/wino. | ‘%1’ is low on toner/ink. |
| 133 | Kichapishi kinafutwa | Printer is being deleted |
| 134 | %1 kinafutwa. | %1 is being deleted. |
| 135 | %1 kwenye %2 | %1 on %2 |
| 136 | Kichapishi kisingechapisha %1 | The printer couldn’t print %1 |
| 137 | Imechapwa | Printed |
| 138 | Karatasi limetoka | Paper out |
| 139 | Kosa la kuchapisha | Error printing |
| 140 | Chapisha Taarifa | Print Notification |
| 141 | Faili imehifadhiwa kwenye kabrasha la Nyaraka | File saved to the Documents folder |
| 142 | Tazama %1. | View %1. |
| 600 | Sawa | OK |
| 601 | Katisha | Cancel |
| 1000 | Waraka: %1 |
Document: %1 |
| 1001 | Kichapishi: %1 |
Printer: %1 |
| 1002 | Ukubwa wa karatasi: %1 |
Paper size: %1 |
| 1003 | Wino: %1 |
Ink: %1 |
| 1004 | Kibweta cha wino: %1 |
Cartridge: %1 |
| 1005 | Eneo la kukwama kwa karatasi: %1 |
Paper jam area: %1 |
| 1006 | Tatizo la kichapishi limetokea | A printer problem occurred |
| 1007 | Tafadhali angalia kichapishi cha matatizo yoyote. | Please check the printer for any problems. |
| 1008 | Tafadhali angalia hali ya kichapishi na mipangilio. | Please check the printer status and settings. |
| 1009 | Angalia iwapo kichapishi kiko mtandaoni na tayari kuchapisha. | Check if the printer is online and ready to print. |
| 1100 | Kichapishi kiko tayari kuchapisha katika upande mwingine wa karatasi. | The printer is ready to print on the other side of the paper. |
| 1101 | Ili kukamilisha uchapishi wa pande mbili, ondoa karatasi kutoka kwenye trei towe. Chomeka tena karatasi kwenye trei ya kuingiza likiwa limeangalia upande wa juu. | To finish double-sided printing, remove the paper from the output tray. Re-insert the paper in the input tray, facing up. |
| 1102 | Ili kukamilisha uchapishi wa pande mbili, ondoa karatasi kutoka kwenye trei towe. Chomeka tena karatasi kwenye trei ya kuingiza likiwa limeangalia upande wa chini. | To finish double-sided printing, remove the paper from the output tray. Re-insert the paper in the input tray, facing down. |
| 1200 | Bonyeza kitufe cha Kuendelea kwenye kichapishi unapomaliza. | Press the Resume button on the printer when done. |
| 1201 | Bonyeza kitufe cha Katisha kwenye kichapishi unapomaliza. | Press the Cancel button on the printer when done. |
| 1202 | Bonyeza kitufe cha SAWA kwenye kichapishi unapomaliza. | Press the OK button on the printer when done. |
| 1203 | Bonyeza kitufe cha Mtandaoni kwenye kichapishi unapomaliza. | Press the Online button on the printer when done. |
| 1204 | Bonyeza kitufe cha Kuweka upya unapomaliza. | Press the Reset button on the printer when done. |
| 1300 | Kichapishi kiko mtandaoni. | The printer is offline. |
| 1301 | Windows isingeunganisha kwenye kichapishi chako. Tafadhali angalia muunganisho kati ya kompyuta na kichapishi. | Windows could not connect to your printer. Please check the connection between the computer and the printer. |
| 1302 | Kichapishi hakifanyi kazi. Tafadhali angalia muunganisho kati ya kompyuta na kichapishi. | The printer is not responding. Please check the connection between your computer and the printer. |
| 1400 | Kukwama Karatasi | Paper Jam |
| 1401 | Kichapishi chako kina mkwamo wa karatasi. | Your printer has a paper jam. |
| 1402 | Tafadhali angalia kichapishi na ufute mkwamo wa karatasi. Kichapishi hakiwezi kuchapisha hadi mkwamo wa karatasi ufutwe. | Please check the printer and clear the paper jam. The printer cannot print until the paper jam is cleared. |
| 1403 | Tafadhali futa mkwamo wa karatasi kwenye kichapishi. | Please clear the paper jam on the printer. |
| 1500 | Kichapishi chako hakina karatasi. | Your printer is out of paper. |
| 1501 | Tafadhali angalia kichapishi na uongeze karatasi zaidi. | Please check the printer and add more paper. |
| 1502 | Tafadhali angalia kichapishi na uongeze karatasi zaidi kwenye trei %1. | Please check the printer and add more paper in tray %1. |
| 1503 | Tafadhali angalia kichapishi na uongeze karatasi %1 zaidi kwenye trei %2. | Please check the printer and add more %1 paper in tray %2. |
| 1600 | Trei towe kwenye kichapishi chako imejaa. | The output tray on your printer is full. |
| 1601 | Tafadhali futa trei towe kwenye kichapishi. | Please empty the output tray on the printer. |
| 1700 | Kichapishi chako kina tatizo la karatasi | Your printer has a paper problem |
| 1701 | Tafadhali angalia kichapishi chako kwa matatizo ya karatasi. | Please check your printer for paper problems. |
| 1800 | Kichapishi chako hakina wino | Your printer is out of ink |
| 1801 | Kibweta cha wino kwenye kichapishi chako ni tupu. | The ink cartridge in your printer is empty. |
| 1802 | Kichapishi chako kimeisha tona. | Your printer is out of toner. |
| 1803 | Tafadhali angalia kichapishi na uongeze wino zaidi. | Please check the printer and add more ink. |
| 1804 | Tafadhali angalia kichapishi na ubadilishe kibweta cha wino. | Please check the printer and replace the ink cartridge. |
| 1805 | Tafadhali angalia kichapishi na uongeze tona. | Please check the printer and add toner. |
| 1900 | %1 | %1 |
| 1901 | Kichapishi kinahitaji umakinifu. Nenda kwenye eneo kazi ili kuishughulikia. | The printer requires your attention. Go to the desktop to take care of it. |
| 1902 | Kichapishi | Printer |
| 2000 | Samawati | Cyan |
| 2001 | Majenta | Magenta |
| 2002 | Manjano | Yellow |
| 2003 | Nyeusi | Black |
| 2004 | Samawati Hafifu | Light Cyan |
| 2005 | Majenta Hafifu | Light Magenta |
| 2006 | Nyekundu | Red |
| 2007 | Kijani kibichi | Green |
| 2008 | Bluu | Blue |
| 2009 | Kifaniboresho cha mng’ao | Gloss optimizer |
| 2010 | Picha Nyeusi | Photo Black |
| 2011 | Nyeusi Kolevu | Matte Black |
| 2012 | Picha ya Samawati | Photo Cyan |
| 2013 | Picha ya Majenta | Photo Magenta |
| 2014 | Nyeusi Hafifu | Light Black |
| 2015 | Kifaniboresho cha wino | Ink optimizer |
| 2016 | Picha ya samawati | Blue photo |
| 2017 | Picha ya kijivu | Gray photo |
| 2018 | Picha ya rangi tatu | Tricolor photo |
| 2100 | Kibweta cha wino wa samawati | Cyan cartridge |
| 2101 | Kibweta cha wino wa majenta | Magenta cartridge |
| 2102 | Kibweta cha wino wa mweusi | Black cartridge |
| 2103 | Kibweta cha wino wa CMYK | CMYK cartridge |
| 2104 | Kibweta cha wino wa kijivu | Gray cartridge |
| 2105 | Kibweta cha wino wa rangi | Color cartridge |
| 2106 | Kibweta cha wino wa picha | Photo cartridge |
| 2200 | Mlango kwenye kichapishi chako umefunguka. | A door on your printer is open. |
| 2201 | Jalada kwenye kichapishi chako limefunguka. | A cover on your printer is open. |
| 2202 | Tafadhali angalia kichapishi na ufunge milango yoyote iliyofunguka . Kichapishi hakiwezi kuchapisha wakati mlango umefunguka. | Please check the printer and close any open doors. The printer cannot print while a door is open. |
| 2203 | Tafadhali angalia kichapishi na ufunge majalada yoyote yaliyofunguka. Kichapishi hakiwezi kuchapisha wakati jalada liko wazi. | Please check the printer and close any open covers. The printer cannot print while a cover is open. |
| 2300 | Kichapishi chako hakichapishi | Your printer is not printing |
| 2301 | Tafadhali angalia kichapishi chako | Please check your printer |
| 2302 | Kichapishi chako hakina kumbukumbu | Your printer is out of memory |
| 2303 | Waraka wako huenda usichapishwe sahihi. Tafadhali angalia msaada wa mtandaoni. | Your document might not print correctly. Please see online help. |
| 2401 | Kibweta cha wino kilicho kwenye kichapishi chako kinakaribia kuisha. | The ink cartridge in your printer is almost empty. |
| 2402 | Kichapishi chako hakina tona ya kutosha. | Your printer is low on toner |
| 2403 | Tafadhali angalia kichapishi chako na uongeze wino zaidi inapohitaji. | Please check the printer and add more ink when needed. |
| 2404 | Tafadhali angalia kichapishi na ubadilishe kibweta cha wino inapohitajika. | Please check the printer and replace the ink cartridge when needed. |
| 2405 | Tafadhali angalia kichapishi na uongeze tona inapohitajika. | Please check the printer and add toner when needed. |
| 2500 | Mfumo wa wino kwenye kichapishi chako haufanyi kazi. | The ink system in your printer is not working |
| 2501 | Kibweta cha wino kwenye kichapishi chako hakifanyi kazi | The ink cartridge in your printer is not working |
| 2502 | Mfumo wa tona kwenye kichapishi chako haufanyi kazi | The toner system in your printer is not working |
| 2503 | Tafadhali angalia mfumo wa wino kwenye kichapishi chako. | Please check the ink system in your printer. |
| 2504 | Tafadhali angalia kibweta cha wino kwenye kichapishi. | Please check the ink cartridge in your printer. |
| 2505 | Tafadhali angalia mfumo wa tona kwenye kichapishi chako. | Please check the toner system in your printer. |
| 2506 | Tafadhali hakikisha kuwa kibweta cha wino kilisakinishwa sahihi kwenye kichapishi. | Please check that the ink cartridge was installed correctly in the printer. |
| 2601 | ‘%1’ hakiwezui kuchapisha, kwa sababu kimewekwa kwenye hali ya kusita katika kifaa. | ‘%1’ cannot print, because it has been put into a paused state at the device. |
| 2602 | ‘%1’ hakiwezi kuchapisha, kwa sababu kimewekwa katika hali ya nje ya mtandao kwenye kifaa. | ‘%1’ cannot print, because it has been put into an offline state at the device. |
| 2700 | Waraka wako umechapishwa. | Your document has been printed. |
| 2701 | Waraka wako uko kwenye trei towe. | Your document is in the output tray. |
| 2702 | Nyaraka %1!d! zinasubiri %2 | %1!d! document(s) pending for %2 |
| 2703 |
| File Description: | prnntfy DLL |
| File Version: | 10.0.15063.0 (WinBuild.160101.0800) |
| Company Name: | Microsoft Corporation |
| Internal Name: | prnntfy.dll |
| Legal Copyright: | © Microsoft Corporation. Haki zote zimehifadhiwa. |
| Original Filename: | prnntfy.dll.mui |
| Product Name: | Microsoft® Windows® Operating System |
| Product Version: | 10.0.15063.0 |
| Translation: | 0x441, 1200 |