If an error occurred or the following message in Swahili language and you cannot find a solution, than check answer in English. Table below helps to know how correctly this phrase sounds in English.
id |
Swahili |
English |
100 | Inasasisha kutoka katika maeneo anuwai |
Updating from multiple places |
101 | Visasisho na programu za Windows zitapakuliwa kutoka na kutumwa kwenye kompyuta katika mtandao wako wa ndani. Bofya ili Kujifunza zaidi |
Windows updates and apps will download from and be sent to PCs on your local network. Click to Learn more |
103 | Faili za Uboreshaji wa Uwasilishaji |
Delivery Optimization Files |
104 | Faili za Uboreshaji wa Uwasilishaji ni faili zilizopakuliwa awali kwenye kompyuta yako na zinaweza kufutwa iwapo hazijatumiwa na huduma ya Uboreshaji wa Uwasilishaji. |
Delivery Optimization files are files that were previously downloaded to your computer and can be deleted if currently unused by the Delivery Optimization service. |