10000 | Phone Service |
Phone Service |
10001 | Hudhibiti hali ya upigaji simu kwenye kifaa |
Manages the telephony state on the device |
10002 | Nywila ulizochapa hazilingani. |
The passwords you typed don't match. |
10003 | Nywila imebadilishwa |
Password changed |
10004 | Nywila sio halali. Ingiza nywila sahihi na ujaribu tena. |
The password isn't valid. Enter the correct password and try again. |
10005 | Haiwezi kufikia mtandao. Jaribu tena. |
Can't access the network. Try again. |
10007 | Msimbo huu hauauniwi. |
This code isn't supported. |
10008 | Paramita ni batili. |
The parameters are invalid. |
10010 | Kulikuwa na tatizo kwa msimbo huu. |
There was a problem with this code. |
10012 | Kikao kimefungwa |
Session closed |
10014 | SIM kadi inakosekana. |
The SIM card is missing. |
10015 | PUK inahitajika |
PUK required |
10017 | SIM kadi ni batili. |
The SIM card is invalid. |
10018 | Simu haiwezi kukamilishwa kwa sababu modi ya Nambari ya Upigaji wa Kudumu imewezeshwa kwenye SIM kadi yako. |
The call can't be completed because Fixed Dialing Number mode is enabled on your SIM card. |
10019 | Msimbo umetumwa |
Code sent |
10020 | Imefanikiwa |
Succeeded |
10021 | Simu imefunguliwa |
Phone unblocked |
10022 | Huduma imewezeshwa |
Service enabled |
10023 | Huduma imewezeshwa kwa %1 |
Service enabled for %1 |
10024 | Huduma imelemazwa |
Service disabled |
10025 | Huduma imelemazwa kwa %1 |
Service disabled for %1 |
10026 | Hali ya huduma haijulikani |
Service state unknown |
10027 | Kutuma mbele %1 %2 katika %3 kwa %4 |
Forward %1 is %2 to %3 for %4 |
10028 | Kutuma mbele %1 %2 kwa %4 |
Forward %1 is %2 for %4 |
10029 | Kutuma mbele %1 %2 katika %3 kwa %4 baada ya sekunde %5 |
Forward %1 is %2 to %3 for %4 after %5 seconds |
10030 | Kutuma mbele %1 %2 kwa %4 baada ya sekunde %5 |
Forward %1 is %2 for %4 after %5 seconds |
10031 | Kutuma mbele %1 %2 katika %3 |
Forward %1 is %2 to %3 |
10032 | Kutuma mbele %1 %2 |
Forward %1 is %2 |
10033 | Kutuma mbele %1 %2 kwa %3 baada ya sekunde %5 |
Forward %1 is %2 to %3 after %5 seconds |
10034 | Kutuma mbele %1 %2 baada ya sekunde %5 |
Forward %1 is %2 after %5 seconds |
10035 | Imewezeshwa |
Enabled |
10036 | Imelemazwa |
Disabled |
10037 | Isiyo na masharti |
Unconditionally |
10038 | Simu za shughulini |
Busy calls |
10039 | Iwapo hakuna jibu |
If no reply |
10040 | Iwapo simu haifikiki |
If phone isn't reachable |
10041 | Simu zote |
All calls |
10042 | Simu zote za masharti |
All calls conditionally |
10043 | %1 |
%1 |
10044 | %1 na %2 |
%1 and %2 |
10045 | %1, %2, na %3 |
%1, %2, and %3 |
10046 | %1, %2, %3, na %4 |
%1, %2, %3, and %4 |
10047 | %1, %2, %3, %4, na %5 |
%1, %2, %3, %4, and %5 |
10048 | %1, %2, %3, %4, %5, na %6 |
%1, %2, %3, %4, %5, and %6 |
10049 | %1, %2, %3, %4, %5, %6, na %7 |
%1, %2, %3, %4, %5, %6, and %7 |
10050 | %1, %2, %3, %4, %5, %6, %7, na %8 |
%1, %2, %3, %4, %5, %6, %7, and %8 |
10051 | Sauti |
Voice |
10052 | Data |
Data |
10053 | Faksi |
Fax |
10054 | SMS |
SMS |
10055 | Ulandanishaji wa muunganisho wa data |
Data circuit sync |
10057 | Ufikiaji wa kifurushi |
Packet access |
10058 | Ufikiaji wa PAD |
PAD Access |
10059 | Simu ya dharura |
Emergency call |
10060 | Barua ya sauti |
Voicemail |
10062 | Ili kutumia njia mkato %1# kupiga %3 kwa %2 kutoka kwenye SIM kadi yako, donoa Piga. Ili kupiga nambari tofauti, donoa Katisha na uendelee kupiga. |
To use the shortcut %1# to dial %3 at %2 from your SIM card, select Call. To dial a different number, select Cancel and continue dialing. |
10063 | Ili kutumia njia mkato %1# kupiga %2 kutoka kwenye SIM kadi yako, donoa Piga. Ili kupiga nambari tofauti, donoa Katisha na uendelee kupiga. |
To use the shortcut %1# to dial %2 from your SIM card, select Call. To dial a different number, select Cancel and continue dialing. |
10064 | Simu |
Phone |
10068 | Mipangilio yako ya uzuiaji wa simu hairuhusu kupiga simu kwa nambari hii. Lemaza uzuiaji wa simu na ujaribu kupiga tena. |
Your call barring settings don't allow a call to this number. Disable call barring and try calling again. |
10069 | Modi yako ya Nambari ya Upigaji wa Kudumu (FDN) hairuhusu upigaji simu kwa nambari hii. Lemaza modi ya FDN na ujaribu kupiga tena. |
Your Fixed Dialing Number (FDN) mode doesn't allow a call to this number. Disable FDN mode and try calling again. |
10070 | Barua ya sauti haijasanidiwa. Tafadhali ingiza nambari yako ya barua ya sauti na ujaribu tena. |
Voicemail isn't set up. Enter your voicemail number and try again. |
10071 | Inasubiri... |
Waiting... |
10072 | Haiwezi kupiga simu. Tafadhali kamilisha simu yako ya sasa kabla ya kupiga simu ya ziada. |
Can't place the call. Please end your current call before placing an additional call. |
10073 | Haiwezi kuunganisha |
Can't connect |
10074 | Huenda ukawa na idhara hafifu ya pasiwaya, au nambari isisyo sahihi. |
You may have a weak wireless signal, or the wrong number. |
10076 | Mtu unayejaribu kupigia amepigwa marufuku kupokea simu zinazoingia. |
The person you're trying to call is restricted from receiving incoming calls. |
10077 | Haiwezi kuunganisha. Hakikisha kuwa uko na mtandao, na ujaribu tena. |
Can't connect. Make sure you have network coverage, and try again. |
10078 | Simu haiwezi kukamilishwa. |
The call can't be completed. |
10080 | SIM kadi iko shughulini, tafadhali jaribu tena. |
The SIM card is busy, please try again. |
10081 | Huduma ya mtandao haipatikani. Tafadhali jaribu tena baadaye. |
The network service is unavailable. Please try again later. |
10082 | Unaweza kutumia simu hii kwa simu za dharura tu. |
You can use this phone for emergency calls only. |
10083 | Haiwezi kupigia barua ya sauti kwa sababu laini nyingine haipatikani. |
Can't call voicemail because another line isn't available. |
10084 | Haiwezi kuhamisha simu. |
Can't transfer call. |
10085 | Ingiza misimbo ya huduma moja kwa moja kutoka kwenye kibao namba cha simu. |
Enter service codes directly from the phone's dial pad. |
10089 | Sasa modi ya ndege imezimwa |
Airplane mode is now off |
10091 | Sawa |
OK |
10092 | Katisha |
Cancel |
10093 | Haiwezi kuhifadhi nambari ya barua ya sauti. |
Can't save voicemail number. |
10094 | Kwenye Modi ya Mwito Rejeshi wa Dharura |
In Emergency Callback Mode |
10095 | Katisha modi hii ili kutumia simu yako jinsi ambavyo ungetumia kawaida. |
Cancel this mode to use your phone as you normally would. |
10096 | Modi ya kukatisha |
Cancel mode |
10097 | Piga simu ya dharura |
Dial emergency call |
10108 | Ungependa kuwasha muunganisho wa mtandao wa simu? |
Turn on cellular connection? |
10109 | Simu yako iko kwenye modi ya ndege. Ili kupiga simu, washa muunganisho wako wa mtandao wa simu. |
Your phone is in airplane mode. To make a call, turn on your cellular connection. |
10110 | Washa |
Turn on |
10115 | Tuma |
Send |
10116 | Funga |
Close |
10117 | Muda wa kikao umekwisha. |
The session timed out. |
10118 | Jambo lilitendeka na hatungeweza kukamilisha kitendo hiki. |
Something happened and we couldn't complete this action. |
10128 | Ungependa kuendelea na simu ya video? |
Continue with video call? |
10129 | Hii itakata simu iliyoshikiliwa. Ungependa kuendelea? |
This will end the call that's on hold. Continue? |
10130 | Endelea |
Continue |
10132 | Haiwezi kuanza simu ya video |
Can't start video call |
10133 | %1 hajaingia kwa sasa kwenye %2. |
%1 is currently not signed into %2. |
10140 | Weka |
Set |
10142 | Ungependa kuweka programu chaguo-msingi? |
Set default app? |
10143 | Je, unataka kuweka %1!s! kama programu yako chaguo-msingi ya ID ya mpigaji simu? |
Do you want to set %1!s! as your default caller ID app? |
10144 | Je, unataka kuweka %1!s! kama programu yako chaguo-msingi ya kichujio cha barua taka? |
Do you want to set %1!s! as your default spam filter app? |
50001 | Kadi ya SIM/UIM inakosekana. |
The SIM/UIM card is missing. |
50002 | Kadi ya SIM/UIM ni batili. |
The SIM/UIM card is invalid. |
50003 | Simu haiwezi kukamilishwa kwa sababu modi ya Nambari ya Upigaji wa Kudumu imewezeshwa kwenye kadi yako ya SIM/UIM. |
The call can't be completed because Fixed Dialing Number mode is enabled on your SIM/UIM card. |
50004 | Ili kutumia njia mkato %1# kupiga %3 kwa %2 kutoka kwa kadi yako ya SIM/UIM, donoa Piga. Ili kupiga nambari tofauti, teua Katisha na uendelee kupiga. |
To use the shortcut %1# to dial %3 at %2 from your SIM/UIM card, select Call. To dial a different number, select Cancel and continue dialing. |
50005 | Ili kutumia njia mkato %1# kupiga %2 kutoka kwa kadi yako ya SIM/UIM, donoa Piga. Ili kupiga nambari tofauti, teua Katisha na uendelee kupiga. |
To use the shortcut %1# to dial %2 from your SIM/UIM card, select Call. To dial a different number, select Cancel and continue dialing. |
50006 | Kadi ya SIM/UIM inashughulika, tafadhali jaribu tena. |
The SIM/UIM card is busy, please try again. |
50008 | Haiwezi kupiga |
Can't call |
50009 | Unahitaji kuwasha uzururaji wa sauti ili kupigia mtu kwa sababu uko katika eneo la uzururaji. Unaweza kufanya hivi kwenye Mipangilio Mtandao_pasi waya Mtandao wa simu & SIM. |
You need to turn on voice roaming to call someone because you're in a roaming area. You can do this in Settings Network & wireless Cellular & SIM. |
50010 | Mipangilio |
Settings |
50020 | Ili kutumia njia mkato %1# kupiga %3 kwa %2 kutoka kwa kadi yako ya UIM, donoa Piga. Ili kupiga nambari tofauti, teua Katisha na uendelee kupiga. |
To use the shortcut %1# to dial %3 at %2 from your UIM card, select Call. To dial a different number, select Cancel and continue dialing. |
50021 | Ili kutumia njia mkato %1# kupiga %2 kutoka kwa kadi yako ya UIM, donoa Piga. Ili kupiga nambari tofauti, teua Katisha na uendelee kupiga. |
To use the shortcut %1# to dial %2 from your UIM card, select Call. To dial a different number, select Cancel and continue dialing. |
50023 | Kadi ya UIM inashughulika, tafadhali jaribu tena. |
The UIM card is busy, please try again. |
50024 | Unahitaji kuwasha uzururaji wako wa sauti ili kupigia mtu kwa sababu uko katika eneo la uzururaji. Unaweza kufanya hivi kwenye Mipangilio Mtandao wa simu SIM/UIM. |
You need to turn on voice roaming to call someone because you're in a roaming area. You can do this in Settings Network & wireless Cellular & SIM/UIM. |
50025 | Programu kwa simu za sauti |
Apps for voice calls |
50026 | Ungependa kutafuta programu kwenye Duka? |
Search for an app in the Store? |
50027 | Unahitaji kusakinisha programu ambayo inakuruhusu kupiga simu za sauti, na tunaweza kukusaidia kupata moja kwenye Duka. |
You need to install an app that lets you make voice calls, and we can help you find one in the Store. |
50028 | Ndiyo |
Yes |
50029 | La |
No |
50030 | Ungependa kuwasha upigaji simu ya video ya LTE? |
Turn on LTE video calling? |
50031 | Upigaj simu ya video ya LTE umezimwa. Ili kupiga simu ya video, washa upigaji simu ya video ya LTE. |
LTE video calling is turned off. To make a video call, turn on LTE video calling. |
50034 | Upigaji simu ya video ya LTE |
LTE video calling |
50035 | Data wastani na viwango vya sauti hutekelezwa wakati wa simu za video. Watu wengine wanaweza kugundua kuwa unaweza kupiga na kupokea simu za video. |
Standard data and voice rates apply during video calls. Other people may discover that you can make and receive video calls. |
50036 | Usionyeshe ujumbe huu tena |
Don't show this message again |
50038 | Video |
Video |
50039 | Ungependa kupiga simu kupitia Wi-Fi? |
Call over Wi-Fi? |
50040 | Haiwezi kukamilisha simu kupitia mtandao wa simu. Washa upigaji wa Wi-Fi katika mipangilio ya SIM, kisha ujaribu tena. |
Can't complete the call over a cellular network. Turn on Wi-Fi calling in SIM settings, then try calling again. |
50044 | Ungependa kupiga kupitia WLAN? |
Call over WLAN? |
50045 | Haiwezi kukamilisha simu kupitia mtandao wa simu. Washa upigaji simu wa WLAN katika mipangilio ya SIM, kisha ujaribu kupiga tena. |
Can't complete the call over a cellular network. Turn on WLAN calling in SIM settings, then try calling again. |
50100 | %1 %2 |
%1 %2 |
50101 | %1 - mkutano %2 |
%1 - conference %2 |
50102 | Haijulikani |
Unknown |
50200 | Kata simu ya sasa, kisha jaribu kupiga simu ya kipaumbele tena. |
End the current call, then try to make the priority call again. |