1 | Alama ya kidole |
Fingerprint |
2 | Ili kuingia, tambaza kidole chako kwenye kisomaji cha alama ya kidole. |
To sign in, scan your finger on the fingerprint reader. |
3 | Ili kufungua kifaa chako, tambaza kidole chako kwenye kisomaji cha alama ya kidole. |
To unlock your device, scan your finger on the fingerprint reader. |
5 | Tambaza kidole chako kwenye kisomaji cha alama ya kidole. |
Scan your finger on the fingerprint reader. |
6 | PIN tako inahitajika ili uingie. |
Your PIN is required to sign in. |
10 | Hujambo %1!s! |
Hello %1!s! |
101 | Windows haikuweza kukuingiza. |
Windows couldn’t sign you in. |
110 | Kifaa chako kina tatizo la kukutambua. Tafadhali jaribu tena. |
Your device is having trouble recognizing you. Please try again. |
111 | Haikuweza kutambua alama hiyo ya kidole. Hakikisha umesanida alama yako ya kidole kwenye Windows Hello. |
Couldn’t recognize that fingerprint. Make sure you’ve set up your fingerprint in Windows Hello. |
112 | Kabla uanze kutumia alama yako la kidole kuingia, unafaa kuweka PIN. |
Before you can start using your fingerprint to sign in, you have to set up a PIN. |
116 | Kuingia kwa kutumia alama za vidole kumelezwa kwa sasa na msimamizi wako. |
Fingerprint sign-in is currently disabled by your administrator. |
143 | Sogeza kidole chako juu kidogo. |
Move your finger slightly higher. |
144 | Sogeza kidole chako chini kidogo. |
Move your finger slightly lower. |
145 | Sogeza kidole chako kushoto kidogo. |
Move your finger slightly to the left. |
146 | Sogeza kidole chako kulia kidogo. |
Move your finger slightly to the right. |
147 | Sogeza kidole chako polepole zaidi kwenye kisomaji. |
Move your finger more slowly across the reader. |
148 | Sogeza kidole chako kwa haraka zaidi kwenye kisomaji. |
Move your finger more quickly across the reader. |
149 | Jaribu kushikilia kidole chako kikiwa sawasawa na kimenyooka wakati unatumia kisomaji cha alama za vidole. |
Try holding your finger flat and straight when using the fingerprint reader. |
150 | Jaribu kutumia mapigo marefu kwenye kisomaji cha alama za vidole. |
Try using a longer stroke across the fingerprint reader. |
151 | Kifaa chako kina matatizo ya kukutambua. Hakikisha kihisio chako ni safi. |
Your device is having trouble recognizing you. Make sure your sensor is clean. |
152 | Kuna mtu aliyeingia tayari kwenye kifaa hiki. Anahitaji kutoka kabla uweze kuingia. |
Someone is already signed in on this device. They need to sign out before you can sign in. |
154 | Samahani, hitilafu imetokea. Tafadhali jaribu tena. |
Sorry, something went wrong. Please try again. |
155 | Windows haikuweza kutumia hati tambulishi za alama za vidole vyako kwa sababu haikuweza kuwasiliana na kikoa chako. Jaribu kuunganisha kwenye mtandao mwingine |
Windows could not use your fingerprint credentials because it could not contact your domain. Try connecting to another network |
156 | Mtumiaji mwingine amefunga kifaa hiki. Ili uweze kuingia, bonyeza Esc, na kisha ubofye Badili mtumiaji. |
Another user has locked this device. To sign in, press Esc, and then click Switch user. |
159 | Alama hiyo ya vidole haijasanidiwa kwa akaunti hii. |
That fingerprint isn’t set up for this account. |
1011 | Kuingia kwa kutumia alama ya kidole |
Fingerprint sign-in |
1012 | Jina la kuonyesha |
Display name |
1013 | Hali ya mtumiaji |
User status |
1014 | Kianzio cha kuingia kwa kutumia alama ya kidole |
Fingerprint sign-in prompt |
1015 | Nywila ya sasa |
Current password |
1016 | Nywila mpya |
New password |
1017 | Thibitisha nywila |
Confirm password |
1018 | Sawa |
OK |