If an error occurred or the following message in Swahili language and you cannot find a solution, than check answer in English. Table below helps to know how correctly this phrase sounds in English.
id |
Swahili |
English |
100 | SKYDRIVE_BRAND_NAME yako imejaa |
Your SKYDRIVE_BRAND_NAME is full |
101 | Nunua hifadhi zaidi |
Buy more storage |
102 | Tupilia mbali |
Ignore |
103 | Tumejaribu kucheleza data yako ya programu na mipangilio ya Kompyuta kwenye SKYDRIVE_BRAND_NAME,, lakini hakukuwa na nafasi ya kutosha. Unaweza kununua hifadhi zaidi au nenda kwenye mipangilio ya Kompyuta ili usimamie nafasi yako ya hifadhi. |
We just tried backing up your app data and PC settings to SKYDRIVE_BRAND_NAME, but there wasn’t enough space. You can buy more storage or go to PC settings to manage your storage space. |
104 | Dhibiti hifadhi |
Manage storage |
105 | Kurejesha hakukuweza kukamilika |
Restore could not be completed |
106 | Sawa |
OK |
107 | Hatukuweza kunakili mipangilio yako kutoka kwa SKYDRIVE_BRAND_NAME.Jaribu kwenda kwa sehemu ya Akaunti ya mipangilio ya kompyuta, tenganisha akaunti yako ya Microsoft kutoka kwa kompyuta hii, na kisha uiongeze tena. Ikiwa hio haitafanya kazi, unaweza kujaribu kuweka kompyuta yako kwa mipangilio yake ya kampuni, na kisha jaribu akaunti yako tena. |
We weren’t able to copy your settings over from SKYDRIVE_BRAND_NAME. Try going to the Accounts section of PC settings, disconnect your Microsoft account from this PC, and then add it again. If that doesn’t work, you can try resetting your PC to its factory settings, and then adding your account again. |
112 | Nafasi ya chini ya diski |
Low disk space |
113 | Nafasi inaisha kwenye kompyuta hii. Ili kuona ni kiwango kipi cha nafasi unatumia. Nenda kwenye mipangilio ya Kompyuta. |
You’re running out of space on this PC. Manage storage to view usage and free up some space. |
114 | Usinikumbushe tena |
Don’t remind me again |
115 | Funga |
Close |