1100 | Sample header 1 |
Sample header 1 |
1101 | Mwonekano wa skrini yako (%d x %d) una kasi ya chini sana kuendesha programu za kisasa |
Your screen resolution (%d x %d) is too low to run modern application |
1110 | Sample header 2 |
Sample header 2 |
1111 | Kifaa chako cha mguso hakiauni mguso-anuwai |
Your touch device does not support multi-touch |
1120 | Mwonekano wa skrini yako haufikii mahitaji ya kusakinisha programu kutoka kwenye Duka la Windows |
Your screen resolution doesn't meet the requirement to install apps from the Windows Store |
1121 | Unahitaji mwonekano wa skrini wa angalau 1024 x 768 ili kusakinisha na kutumia programu kutoka kwenye Duka la Windows (hii hujumuisha programu ambazo huenda zimesakinishwa mapema kwenye kompyuta yako). Huenda ukaweza kubadilisha mwonekano wako katika Paneli Dhibiti ya Uonyesho. |
You need a screen resolution of at least 1024 x 768 to install and use apps from the Windows Store (this includes apps that might be pre-installed on your PC). You might be able to change your resolution in the Display Control Panel. |
1130 | Skrini ya mguso kwenye Kompyuta hii haikubuniwa kwa Windows 10 |
The touchscreen on this PC wasn't designed for Windows 10 |
1131 | Unaweza kutumia skrini hii ya mguso kwa Windows 10 lakini haitaitikia na ishara hazitakuwa sahihi kama skrini ya mguso iliyobuniwa kwa Windows 10. |
You can use this touchscreen with Windows 10 but it won't be as responsive and gestures won't be as precise as a touchscreen designed for Windows 10. |
1140 | Kituo cha Windows Media hakijasakinishwa mapema |
Windows Media Center isn't preinstalled |
1141 | Jifunze zaidi kuhusu kuisakinisha kwenye Windows 10. |
Learn more about installing it in Windows 10. |
1150 | Sakinisha programu ili ucheze DVD |
Install an app to play DVDs |
1151 | Huenda ukahitaji kusakinisha programu ili ucheze DVD kwenye Windows 10. |
You may need to install an app to play DVDs in Windows 10. |
1160 | Mwonekano wa skrini yako hautangamani na upeushaji |
Your screen resolution isn't compatible with snap |
1161 | Kama inawezekana, badilisha mwonekano wa skrini yako kwa angalau 1366 x 768 ili kupeusha programu. |
If it's possible, change your screen resolution to at least 1366 x 768 to snap apps. |
1170 | Vidude vya upau wa upande haviauniwi kwenye Windows 10 |
Sidebar gadgets aren't supported in Windows 10 |
1171 | Hutaweza kutumia vidude vya upau wa upande ambavyo vimesakinishwa kwenye kompyuta yako kwenye Windows 10. |
You won’t be able to use the sidebar gadgets that are installed on your PC in Windows 10. |
1180 | Kichakataji chako hakijawashwa NX au huenda hakiauni NX |
Your processor doesn't have NX turned on or might not support NX |
1181 | Usanidi utajaribu kuwasha NX wakati wa usakinishaji. Kama kichakataji chako hakiauni NX, usakinishaji utakatishwa na kompyuta yako itarejelea OS ya sasa. |
Setup will attempt to turn on NX during installation. If your processor doesn't support NX, the installation will be cancelled and your PC will roll back to the current OS. |
1190 | Kupoteza maudhui ya muziki na video pamoja n kisasisho |
Loss of music and video content with update |
1191 | Tunapendekeza usiendelee na kisasisho hiki kwa kuwa kifaa chako kinaweza kuwa na baadhi ya maudhui ya muziki au video ambayo yamelindwa na teknolojia ya usimamiaji haki ya zamani, ambayo hayaauniwi. Iwapo utasakinisha kisasisho hiki, huenda usiweze kucheza faili hizi za muziki au video tena. Funga kisanduku hiki kidadisi ili kukatisha, au unaweza kuchagua kuthibitisha ili kusakinisha kisasisho. Kwa maelezo zaidi, nenda http://support.microsoft.com/windows10wmdrm |
We recommend you do not proceed with this update as your device may have some music or video content that is protected by an older rights management technology, which is not supported. If you install this update, you may no longer be able to play these music or video files. Close this dialog box to cancel, or you can choose to confirm to install the update. For more info, go to https://support.microsoft.com/windows10wmdrm |
1204 | Uwashaji Salama hautangamani na kompyuta yako |
Secure Boot isn't compatible with your PC |
1205 | Programu ndogo ya Kompyuta yako haiauni Uwashaji Salama kwa hivyo hutaweza kuitumia kwenye Windows 10. |
Your PC's firmware doesn't support Secure Boot so you won't be able to use it in Windows 10. |
1216 | Windows Media Center imesakinishwa kwenye Kompyuta hii |
Windows Media Center is installed on this PC |
1217 | Kituo cha Windows Media kitasakinushwa wakati wa kupandisha daraja. Hakipatikani kwenye Windows 10. |
Windows Media Center will be uninstalled during the upgrade. It isn't available in Windows 10. |
1220 | Utakumbana na matatizo kwa onyesho lako kwenye Windows 10. |
You'll have problems with your display in Windows 10. |