200 | Iwapo eneo limewashwa, kila mtu anayetumia kifaa hiki anaweza kuchagua mipangilio yake binafsi ya eneo. |
If location is on, each person using this device can choose their own location settings. |
201 | Eneo la kifaa hiki limezimwa |
Location for this device is off |
202 | Eneo la kifaa hiki limewashwa |
Location for this device is on |
203 | Badilisha |
Change |
210 | Huduma za eneo |
Location service |
212 | Iwapo huduma ya eneo imewashwa, Windows, programu, na huduma zinaweza kutumia eneo lako, lakini bado unaweza kuzima eneo kwa programu maalum. |
If the location service is on, Windows, apps, and services can use your location, but you can still turn off location for specific apps. |
213 | Eneo la kawaida |
General location |
214 | Programu ambazo haziwezi kutumia eneo langu halisi bado zinaweza kutumia eneo la kawaida, kama vile mji, msimbo wa zip, au eneo. |
Apps that cannot use my precise location can still use my general location, such as city, zip code, or region. |
220 | Iwapo programu inatumia eneo lako, utaona ikoni hii: |
If an app is using your location, you’ll see this icon: |
221 | Onyesha ikoni ya eneo |
Show location icon |
230 | Iwapo eneo limewashwa, historia yako ya eneo inahifadhiwa kwa kipindi kifupi cha muda kwenye kifaa, na inaweza kutumiwa na programu zinazotumia eneo lako. |
If location is on, your location history is stored for a limited time on the device, and can be used by apps that use your location. |
231 | Futa |
Clear |
232 | Futa historia kwenye kifaa hiki |
Clear history on this device |
233 | Hutumia historia ya eneo |
Uses location history |
240 | Weka chaguo-msingi |
Set default |
241 | Windows, programu, na huduma zinaweza kutumia hii wakati hatuwezi kutambua eneo halisi zaidi kwenye kompyuta hii. |
Windows, apps, and services can use this when we can’t detect a more exact location on this PC. |
250 | Uzio wa jiografia inamaanisha kutumia eneo lako kuona unapovuka ndani au nje ya mipaka iliyokaribu na eneo la mvutio. |
Geofencing means using your location to see when you cross in or out of a boundary drawn around a place of interest. |
251 | Programu moja au zaidi kwa sasa zinatumia uzio wa jiografia. |
One or more of your apps are currently using geofencing. |
252 | Hakuna programu zako zozote zinazotumia uzio wa jiografia. |
None of your apps are currently using geofencing. |
260 | Bado tovuti zinahitaji kibali |
Sites still need permission |
261 | Cortana |
Cortana |
262 | Lazima historia ya eneo iwashwe ili Cortana ifanye kazi |
Location history must be on for Cortana to work |
263 | Imelemazwa kwa sera ya kampuni |
Disabled by company policy |