| 1 | Uso |
Face |
| 2 | Iris |
Iris |
| 3 | Kitufe cha kuingia |
Sign in button |
| 4 | Ujumbe wa muktadha |
Context message |
| 5 | Windows Hello |
Windows Hello |
| 50 | Tafadhali tumia njia tofauti ya kujitambua. |
Please use a different method to identify yourself. |
| 51 | Hujambo %1!s!! Teua Sawa ili kuendelea. |
Hello %1!s!! Select OK to continue. |
| 52 | Isingekutambua. Tafadhali ingiza PIN yako. |
Couldn't recognize you. Please enter your PIN. |
| 100 | Windows isingekuingiza. |
Windows couldn't sign you in. |
| 101 | Hujambo %1!s! |
Hello %1!s! |
| 104 | Inakutafuta... |
Looking for you... |
| 105 | Kuwa tayari... |
Getting ready... |
| 106 | Isingewasha kamera. Tafadhali ingia kwa PIN yako. |
Couldn't turn on the camera. Please sign in with your PIN. |
| 107 | PIN tako inahitajika ili uingie. |
Your PIN is required to sign in. |
| 108 | Akaunti yako imelemazwa. Tafadhali wasiliana na mtu wako wa auni. |
Your account has been disabled. Please contact your support person. |
| 109 | Kabla uweze kuanza kutumia Windows Hello, unahitaji kusanidi PIN. |
Before you can start using Windows Hello, you have to set up a PIN. |
| 111 | Kabla uweze kuanza kutumia Windows Hello, unahitaji kuingiza PIN yako. |
Before you can start using Windows Hello, you have to enter your PIN. |
| 113 | Hujambo, %1!s!! Ondosha skrini ya kufunga ili kuingia. |
Hello, %1!s!! Dismiss the lock screen to sign in. |
| 114 | Samahani tatizo limetokea. Tafadhali ingia kwa PIN yako. |
Sorry something went wrong. Please sign in with your PIN. |
| 120 | Samahani tatizo limetokea. Tafadhali ingiza PIN yako. |
Sorry something went wrong. Please enter your PIN. |
| 121 | Windows Hello imelemazwa na msimamizi wako kwa sasa. |
Windows Hello is currently disabled by your administrator. |
| 123 | Inahakikisha ni wewe... |
Making sure it's you... |
| 124 | Kamera haipatikani. Tafadhali ingia kwa PIN yako. |
Camera not available. Please sign in with your PIN. |
| 125 | Isingekutambua. Tafadhali ingia kwa PIN yako. |
Couldn't recognize you. Please sign in with your PIN. |
| 126 | Isingekutambua. Telezesha juu ili kuingiza PIN. |
Couldn't recognize you. Swipe up to enter PIN. |
| 127 | Telezesha juu ili kuondosha skrini ya kufunga. |
Swipe up to dismiss the lock screen. |
| 128 | Kipindi cha mbali kiko amilifu. Ondosha skrini ya kufunga ili kuingia. |
Remote session is active. Dismiss the lock screen to sign in. |
| 129 | Ondosha skrini ya kufunga ili uingie. |
Dismiss the lock screen to sign in. |
| 150 | Isingekutambua. |
Couldn't recognize you. |
| 152 | Isingewasha kamera. |
Couldn't turn on the camera. |
| 153 | Kamera haipatikani. |
Camera not available. |
| 155 | Samahani, tatizo lilitokea. |
Sorry something went wrong. |
| 156 | Nenosiri lako linahitajika ili kuingia. |
Your password is required to sign in. |
| 157 | Kamera inatumika. Tafadhali ingia kwa PIN yako. |
Camera is in use. Please sign in with your PIN. |
| 158 | Kiendeshi cha kamera kina tatizo. Tafadhali ingia kwa PIN yako.- |
Camera driver is in a bad state. Please sign in with your PIN. |
| 180 | Hello! Inatayarisha mambo... |
Hello! Getting things ready... |
| 200 | Kifaa chako kisingekutambua. Hakikisha lenzi za kamera yako ni safi. |
Your device couldn't detect you. Make sure your camera lens is clean. |
| 201 | Mwangaza zaidi! Zima baadhi ya mwangaza au ingia ndani. |
Too bright! Turn off some lights or go inside. |
| 202 | Giza zaidi! Washa baadhi ya mwangaza au nenda mahali penye mwangaza. |
Too dark! Turn on some lights or move somewhere brighter. |
| 203 | Hakikisha uko katikati na unaangalia moja kwa moja kwenye kamera. |
Make sure you're centered and looking directly at the camera. |
| 204 | Karibu zaidi! Jaribu kusonga mbali kiasi. |
Too close! Try moving a little farther away. |
| 205 | Mbali zaidi! Jaribu kusonga karibu kiasi. |
Too far away! Try moving a bit closer. |
| 206 | Geuza kichwa chako taratibu upande wa kushoto na kulia. |
Turn your head slightly to the left and right. |
| 207 | Fungua macho yako zaidi. |
Open your eyes a little wider. |
| 208 | Songa taratibu ili kuzuia uakisi kutoka kwenye macho yako. |
Move slightly to avoid reflection off your eyes. |
| 209 | Sogeza mbali zaidi |
Move farther away |
| 210 | Sogeza karibu |
Move closer |
| 211 | Shikilia kifaa chako moja kwa moja upande wa mbele wa macho yako. |
Hold your device straight in front of your eyes. |
| 212 | Kifaa chako kinakumbana na tatizo kukutambua. Hakikisha lenzi za kamera yako ni safi. |
Your device is having trouble detecting you. Make sure your camera lens is clean. |
| 213 | Kifaa chako hakikuweza kutambua macho yako. Hakikisha lenzi za kamera yako ni safi. |
Your device couldn't detect your eyes. Make sure your camera lens is clean. |
| 301 | Je, huwezi kuingia kwa Windows Hello? |
Can't sign in with Windows Hello? |
| 302 | Pitia usanidi tena ili kuboresha utambuzi katika hali tofauti za mwangaza, au wakati mwonekano wako hubadilika (kwa mfano, miwani mpya). |
Go through setup again to improve recognition in different lighting conditions, or when your appearance changes (for example, new glasses). |
| 303 | Boresha utambuzi kwenye Windows Hello |
Improve recognition in Windows Hello |
| 304 | Ili kunufaika na visasisho vya sasa vya Windows Hello, rudia tena usanidi. |
To take advantage of the latest updates to Windows Hello, go through setup again. |
| 305 | Je, unajua kuwa unaweza kutumia uhalalishaji wa sura kuingia? |
Do you know that you can use face authentication to sign in? |
| 306 | Pitia usanidi wa uso wa Windows Hello ili kuanza. |
Go through the Windows Hello face setup to get started. |
| 307 | Kuna tatizo na Windows Hello. |
There is a problem with Windows Hello. |
| 308 | Tafadhali pitia tena usanidi huu ili utatue suala hili. |
Please go through the setup again to fix this issue. |