136 | Inayofuata |
Next |
137 | Ghairi |
Cancel |
138 | Weka upya |
Reset |
139 | Funga |
Close |
140 | Washa |
Start |
142 | Kiendeshi ambacho Windows imesakinishwa tu |
Only the drive where Windows is installed |
143 | Viendeshi vyote |
All drives |
144 | Nionyeshe orodha ya viendeshi ambavyo vitaathiriwa |
Show me the list of drives that will be affected |
145 | Je, unataka kuondoa faili zote kutoka kwenye viendeshi vyote? |
Do you want to remove all files from all drives? |
147 | Nafasi ya ziada ya diski inahitajika |
Additional disk space needed |
148 | Ili kupata nafasi kwenye diski, unaweza: |
To free up disk space, you can: |
149 | Kuendesha Usafishaji wa Diski |
Run Disk Cleanup |
150 | • Nakili faili zako kwenye kifaa cha nje na uzifute kutoka kwenye kompyuta hii |
Copy your files to an external device and delete them from this PC |
151 | Sakinusha programu |
Uninstall programs |
153 | Hii haitachukua muda mrefu |
This won’t take long |
155 | Chagua chaguo |
Choose an option |
156 | Sanidi kompyuta hii kwa eneo lako la kazi |
Keep this PC set up for your workplace |
157 | Ndiyo |
Yes |
158 | Huhifadhi vifurushi vya utoaji vinavyoruhusu kompyuta yako kutumia rasilimali za eneo la kazi. |
Saves provisioning packages that let your PC use workplace resources. |
159 | La |
No |
160 | Huondoa vifurushi vya utoaji vinavyoruhusu kompyuta yako kutumia rasilimali za eneo la kazi. |
Removes provisioning packages that let your PC use workplace resources. |
161 | Tahadhari! |
Warning! |
162 | Kompyuta hii ilipandishwa gredi hadi Windows 10 hivi karibuni. Iwapo Utaweka upya kompyuta hii, hutaweza kutendua upandishaji gredi na kurudi nyuma kwa toleo la awali la Windows. |
This PC was recently upgraded to Windows 10. If you Reset this PC, you won’t be able to undo the upgrade and go back to the previous version of Windows. |
163 | Iko tayari kuweka upya kompyuta hii |
Ready to reset this PC |
165 | Iko tayari kurejesha upya |
Ready to restore |
166 | Anzisha upya |
Fresh start |
167 | Hebu tuanze |
Let's get started |
169 | Kutayarisha mambo |
Getting things ready |
171 | Hii itachukua muda na kompyuta yako itawashwa upya. |
This will take a while and your PC will restart. |
173 | %1!ws! ya ziada ya nafasi ya diski isiyokuwa na malipo inahitajika kwenye (%2!ws!). |
An additional %1!ws! of free disk space is needed on (%2!ws!). |
179 | Kumbuka: Usimbaji fiche wa kiendeshi cha BitLocker utasitishwa kwa muda hadi mchakato umalizike. |
Note: BitLocker drive encryption will be temporarily suspended until the process is done. |
180 | Muhimu: Chopeka kompyuta yako kabla hujaanza |
Important: Plug in your PC before you start |
181 | Watu wengine wameingia kwenye Kompyuta hii |
Other people are logged on to this PC |
182 | Unataka kuendelea? Hii itawasababisha wapoteze data ambayo haijahifadhiwa. |
Do you want to continue? This will cause them to lose unsaved data. |
189 | Hii itaondoa faili zako za kibinafsi na programu kutoka kwa kompyuta yako na kurejesha mipangilio yote kwa chaguo-msingi. Kama utatumia Historia ya Faili, hakikisha matoleo ya sasa ya faili zako yalinakiliwa kwenye kiendeshi chako cha Historia ya Faili kabla ya kuendelea. Hii itachukua dakika chache na kompyuta yako itawashwa upya. |
This will remove your personal files and apps from your PC and restore all settings to their defaults. If you use File History, make sure the latest versions of your files were copied to your File History drive before you proceed. This will take a few minutes and your PC will restart. |
190 | Kumbuka: Usimbaji fiche wa kiendeshi cha BitLocker utazimwa. |
Note: BitLocker drive encryption will be turned off. |
191 | Kompyuta yako ina zaidi ya kiendeshi kimoja |
Your PC has more than one drive |
192 | Ikiwa utachagua kuondoa faili zote kutoka kwa viendeshi vyote, viendeshi hivi vitaathiriwa: |
If you choose to remove files from all drives, these drives will be affected: |
193 | Viendeshi ambavyo vitaathiriwa |
Drives that will be affected |
194 | Kiendeshi ambacho hakina jina |
Unnamed drive |
195 | Hatuwezi kuweka upya Kompyuta yako inapoendeshwa na nishati ya betri. |
We can’t reset your PC while it’s running on battery power. |
196 | Chopeka Kompyuta yako |
Plug in your PC |
197 | Hakuna mabadiliko yaliofanywa. |
No changes were made. |
198 | Kulikuwa na tatizo la kuweka upya kompyuta yako |
There was a problem resetting your PC |
201 | Haiwezi kuweka upya kompyuta hii na kuhifadhi faili zako |
Cannot reset this PC and keep your files |
202 | Ili kuweka upya kompyuta hii na kuhifadhi faili zako, Watumiaji, Faili za Programu, na saraka za Windows zinahitaji kuwa kwenye kiendeshi sawa. Unaweza kuchagua kuweka upya kompyuta hii na kuondoa kila kitu badala yake, lakini unaweza kucheleza faili zako za binafsi kwanza. |
To reset this PC and keep your files, the Users, Program Files, and Windows directories need to be on the same drive. You can choose to reset this PC and remove everything instead, but you should back up your personal files first. |
203 | Je, pia unataka kufuta kabisa kiendeshi? |
Do you want to clean the drives, too? |
204 | Ondoa faili na usafishe kindeshi |
Remove files and clean the drive |
205 | Hii inaweza kuchukua saa chache, lakini itafanya vigumu kwa mtu kukomboa faili zako zilizoondolewa. Tumia hii iwapo unatumia upya kompyuta. |
This might take a few hours, but will make it harder for someone to recover your removed files. Use this if you’re recycling the PC. |
206 | Ondoa tu faili zangu |
Just remove my files |
207 | Hii ni haraka, lakini sio salama. Tumia hii iwapo unaweka kompyuta. |
This is quicker, but less secure. Use this if you’re keeping the PC. |
211 | Hii itaondoa faili zako za kibinafsi na programu kutoka kwenye Kompyuta yako na irejeshe mipangilio yote kwa chaguo msingi. Ukitumia Historia ya Faili, hakikisha matoleo ya hivi karibuni yamenakiliwa kwenye kiendeshi cha Faili ya Historia kabla ya kuendelea. Kompyuta yako itawashwa upya. |
This will remove your personal files and apps from your PC and restore all settings to their defaults. If you use File History, make sure the latest versions of your files were copied to your File History drive before you proceed. Your PC will restart. |
214 | Kompyuta yako haiwezi kuwekwa upya kwa sababu inaendesha Windows To Go. |
Your PC can’t be reset because it’s running Windows To Go. |
216 | Hatuwezi kuweka upya kompyuta hii |
We can’t reset this PC |
218 | 11;normal;none;Segoe UI |
11;normal;none;Segoe UI |
219 | Unapoondoa faili zako, bado unaweza pia kusafisha kiendeshi ili faili zisirejeshwe kwa urahisi. Hii ni salama zaidi, lakini inachukua muda zaidi. |
When you remove your files, you can also clean the drive so that the files can’t be recovered easily. This is more secure, but it takes much longer. |
247 | Haikuweza kupata mazingira ya urejeshi |
Could not find the recovery environment |
248 | Ingiza usakanishaji wako wa Windows au midia ya urejeshi, na uanze upya Kompyuta yako na midia. |
Insert your Windows installation or recovery media, and restart your PC with the media. |
253 | Programu hizi zitahitaji kusakanishwa upya |
These apps will need to be reinstalled |
254 | Kagua orodha ya programu. Utahitaji diski au faili ili uzisakinishe baadaye. |
Reveiw the list of apps. You’ll need the discs or files to reinstall them later. |
255 | Rudi nyuma |
Go back |
256 | Iwapo utakosa utafutaji, usalama, na uanzishaji ulioboreshwa, rudi kwenye Windows 10 wakati wowote. |
If you end up missing improved search, security, and startup, come back to Windows 10 anytime. |
260 | Asante kwa kujaribu Windows 10 |
Thanks for trying Windows 10 |
261 | Rudisha tena nafasi ya diski |
Reclaim disk space |
262 | Hii itarejesha nafasi ya diski ili kuhifadhi Windows 7. Itaongeza nafasi ya diski, lakini hutaweza kurejesha tena Windows 7 baada ya jambo hili. |
This will recover the disk space used to store Windows 7. It will free up that disk space, but you will no longer be able to restore Windows 7 after this. |
263 | Je, ungependa kuondoa Windows 7? |
Remove Windows 7? |
264 | Hii itaongeza nafasi kwenye kompyuta yako, lakini hutaweza kurudi nyuma kwenye Windows 7. |
This will free up space on your PC, but you won’t be able to go back to Windows 7. |
265 | Ondoa akaunti mpya |
Remove new accounts |
266 | Kabla uweze kurudi kwenye toleo la awali la Windows, utahitaji kuondoa akaunti zozote za mtumiaji ulizoongeza baada ya upandishaji daraja wako wa hivi karibuni zaidi. Akaunti zinahitaji kuondolewa kabisa, pamoja na maelezo yake mafupi. |
Before you can go back to a previous version of Windows, you’ll need to remove any user accounts you added after your most recent upgrade. The accounts need to be completely removed, including their profiles. |
267 | Uliunda akaunti moja (%2!ws!) |
You created one account (%2!ws!) |
268 | Uliunda akaunti %1!ws! (%2!ws!) |
You created %1!ws! accounts (%2!ws!) |
269 | Nenda kwenye Mipangilio Akaunti Watu wengine ili uondoe akaunti hizi, na kisha ujaribu tena. |
Go to Settings Accounts Other people to remove these accounts, and then try again. |
270 | Sogeza akaunti nyuma |
Move accounts back |
271 | Kabla uweze kurudi nyuma kwa toleo la awali la Windows, utahitajika kurudisha akaunti yoyote ya mtumiaji uliyosogeza baada ya upandishaji daraja wa hivi karibuni kwa eneo lake asili. |
Before you can go back to a previous version of Windows, you’ll need to put any user accounts you moved after your most recent upgrade back in their original location. |
272 | Ulisogeza akaunti moja (%2!ws!) |
You moved one account (%2!ws!) |
273 | Ulisogeza akaunti %1!ws! (%2!ws!) |
You moved %1!ws! accounts (%2!ws!) |
274 | Samahani, lakini huwezi kurudi nyuma |
We’re sorry, but you can’t go back |
275 | Faili tunazohitaji ili kukurudisha kwa toleo la awali la Windows ziliondolewa kutoka kwenye Kompyuta hii. |
The files we need to take you back to a previous version of Windows were removed from this PC. |
277 | Hatuwezi kukurudisha kwenye toleo la awali la Windows kwa sababu kiendeshi mwake cha USB au kiendeshi kikinge cha nje kilichotumiwa wakati wa upandishaji daraja wako wa hivi karibuni zaidi kinakosekana. Tafadhali chomeka diski na ujaribu tena. |
We can’t take you back to a previous version of Windows because the USB flash drive or other external drive that was used during your most recent upgrade is missing. Please insert the disk and try again. |
279 | Hatuwezi kukurudisha nyuma kwenye toleo la awali la Windows kwa sababu imekuwa zaidi yamwezi mmoja tangu kupandisha daraja. |
We can’t take you back to the previous version of Windows because it’s been more than a month since the upgrade. |
280 | Programu au vifaa vyangu havifanyi kazi kwenye Windows 10 |
My apps or devices don’t work on Windows 10 |
281 | Vijenzi vya zamani vilionekana rahisi kutumia |
Earlier builds seemed easier to use |
282 | Windows 7 ilionekana rahisi zaidi kutumika |
Windows 7 seemed easier to use |
283 | Windows 8 ilionekana rahisi zaidi kutumika |
Windows 8 seemed easier to use |
284 | Windows 8.1 ilionekana rahisi zaidi kutumika |
Windows 8.1 seemed easier to use |
285 | Vijenzi vya zamani vilionekana kuwa haraka |
Earlier builds seemed faster |
286 | Windows 7 ilionekana kuwa ya kasi zaidi |
Windows 7 seemed faster |
287 | Windows 8 ilionekana kuwa ya kasi zaidi |
Windows 8 seemed faster |
289 | Vijenzi vya zamani vilionekana kuaminika zaidi |
Earlier builds seemed more reliable |
290 | Windows 7 ilionekana ya kuaminika zaidi |
Windows 7 seemed more reliable |
291 | Windows 8 ilionekana ya kuaminika zaidi |
Windows 8 seemed more reliable |
293 | Kwa sababu nyingine |
For another reason |
294 | Kwa nini unarudi nyuma? |
Why are you going back? |
296 | Tuambie zaidi |
Tell us more |
298 | Iwapo unatafuta suluhisho, |
If you’re up for troubleshooting, |
299 | wasiliana na kituo cha msaada. |
contact support. |
300 | Unachohitaji kujua |
What you need to know |
301 | Hii inaweza kuchukua muda na hutaweza kutumia kompyuta yako hadi ikamilike. Acha kompyuta yako kama imechomekwa na kuwashwa. |
This might take a while and you won’t be able to use your PC until it’s done. Leave your PC plugged in and turned on. |
302 | Baada ya kurudi: |
After going back: |
303 | • Utahitaji kusakinisha upya baadhi ya programu. |
• You’ll have to reinstall some apps and programs. |
306 | Usifungiwe nje |
Don’t get locked out |
307 | Iwapo ulitumia nywila kuingia kwenye Windows 7, hakikisha unaijua. |
If you used a password to sign in to Windows 7, make sure you know it. |
308 | Iwapo ulitumia nywila kuingia kwenye Windows 8, hakikisha unaijua. |
If you used a password to sign in to Windows 8, make sure you know it. |
309 | Iwapo ulitumia nywila kuingia kwenye kijenzi chako cha awali, hakikisha unaijua. |
If you used a password to sign in to your previous build, make sure you know it. |
310 | Rudi kwenye Windows 7 |
Go back to Windows 7 |
311 | Rudi kwenye Windows 8 |
Go back to Windows 8 |
312 | Rudi kwenye kijenzi cha awali |
Go back to earlier build |
315 | Chopeka kompyuta yako |
Plug in your PC |
316 | Huwezi kurudi nyuma kwenye nishati ya betri peke yake. Chomeka kompyuta yako na kisha ujaribu tena. |
You can’t go back on battery power alone. Plug in your PC and then try again. |
323 | • |
• |
324 | Je, faili zako zimechelezwa? Hii haifai kuziathiri, lakini ni bora kujiandaa. |
Are your files backed up? This shouldn’t affect them, but it’s best to be prepared. |
325 | Hutaweza kuingia bila. |
You won’t be able to sign in without it. |
326 | Programu au vifaa vyangu havifanyikazi kwenye kijenzi hiki |
My apps or devices don’t work on this build |
327 | • Utapoteza mabadiliko yoyote yaliyofanywa kwenye mipangilio baada ya upandishaji gredi hadi Windows 10. |
• You’ll lose any changes made to settings after the upgrade to Windows 10. |
328 | • Utapoteza mabadiliko yoyote yaliyofanywa kwenye mipangilio baada ya kusakinisha kijenzi cha sasa. |
• You’ll lose any changes made to settings after installing the latest build. |
329 | Asante kwa kujaribu kijenzi hiki |
Thanks for trying out this build |
330 | Tutasakinisha kijenzi cha uhakiki kinachofuata wakati kinapatikana. |
We’ll install the next preview build when it’s available. |
331 | Toleo la zamani la Windows lilionekana rahisi kutumia |
The old version of Windows seemed easier to use |
332 | Windows 8.1 ilionekana kuwa ya kasi zaidi |
Windows 8.1 seemed faster |
333 | Toleo la zamani la Windows lilionekana kuwa la kasi zaidi |
The old version of Windows seemed faster |
334 | Windows 8.1 ilionekana ya kuaminika zaidi |
Windows 8.1 seemed more reliable |
335 | Iwapo ulitumia nywila kuingia kwenye Windows 8.1, hakikisha unaijua. |
If you used a password to sign in to Windows 8.1, make sure you know it. |
336 | Iwapo ulitumia nywila kuingia kwenye toleo lako la awali la Windows, hakikisha unaijua. |
If you used a password to sign in to your previous version of Windows, make sure you know it. |
337 | Toleo la zamani la Windows lilionekana la kuaminika zaidi |
The old version of Windows seemed more reliable |
338 | Rudi kwenye Windows 8.1 |
Go back to Windows 8.1 |
339 | Rudi kwenye Windows ya awali |
Go back to previous Windows |
340 | Futa baadhi ya nafasi na ujaribu tena. |
Free up some space and try again. |
341 | Ili kurudi nyuma, utahitaji MB %1!ws! za nafasi huru kwenye kiendeshi ambapo Windows inasakinishwa. |
To go back, you’ll need %1!ws! MB of free space on the drive where Windows is installed. |
342 | Ili kurudi nyuma, utahitaji GB %1!ws! za nafasi huru kwenye kiendeshi ambapo Windows inasakinishwa. |
To go back, you’ll need %1!ws! GB of free space on the drive where Windows is installed. |
344 | Sera ya shirika lako hairuhusu hii. Kwa maelezo zaidi, zungumza na mtu wako wa auni au idara ya IT. |
Your organization’s policy doesn’t allow it. For more info, talk to your support person or IT department. |
345 | Isingepata maelezo kwenye visasisho |
Couldn’t get info on updates |
346 | Ili kuangalia visasisho, nenda kwenye Mipangilio Kisasisho na Usalama Windows Update na uteue Angalia visasisho. |
To check for updates, go to Settings Update & Security Windows Update and select Check for updates. |
347 | Ungependa kuangalia visasisho? |
Check for updates? |
348 | Kabla urudi, jaribu kusakinisha visasisho vya sasa. Huenda hii ikarekebisha matatizo unayokumbana nayo kwa Windows 10. |
Before you go back, try installing the latest updates. This might fix the problems you’re having with Windows 10. |
349 | Angalia visasisho |
Check for updates |
350 | La, asante |
No, thanks |
351 | Kuweka upya kompyuta hii |
Resetting this PC |
352 | Tunatayarisha mambo machache %1!d!%% |
Getting a few things ready %1!d!%% |
353 | Kipengele hiki hakipatikani kwenye Modi Salama |
This feature is not available in Safe Mode |
354 | Ili kuweka upya kompyuta hii, washa Windows kawaida na ujaribu tena, au nenda kwenye uwashaji Mahiri na uteue Utatuzi. |
To reset this PC, start Windows normally and try again, or go to Advanced startup and select Troubleshoot. |
355 | Hii itaondoa programu zote, isipokuwa zile ambazo zinakuja na Windows. Programu zozote za duka zilizosakinishwa na mtengenezaji wako pia zitawekwa. Kifaa chako pia kitasasishwa hadi toleo la sasa la Windows. Faili zako za kibinafsi na baadhi ya mipangilio ya Windows itahifadhiwa. |
This will remove all apps and programs, except those that come standard with Windows. Any store apps installed by your manufacturer will also be kept. Your device will also be updated to the latest version of Windows. Your personal files and some Windows settings will be kept. |
357 | Hifadhi kazi yako na uache kama kifaa chako kimechomekwa na kimewashwa |
Save your work and leave your device plugged in and turned on |
358 | Hii itachukua muda na kifaa chako kitawashwa upya mara nyingi |
This will take a while and your device will restart several times |
359 | Hatutaweza kutumia kifaa chako wakati wa kuonyesha upya Windows, lakini tutakufahamisha kitakapokuwa tayari |
You won't be able to use your device while refreshing Windows, but we will let you know once it's ready |
360 | Mchakato huu unachukua dakika 20 au zaidi kulingana na kifaa chako. |
This process could take 20 minutes or longer depending on your device. |
361 | Inaonyesha upya kompyuta yako |
Refreshing your PC |
362 | Hii itaondoa programu zote ulizosakinisha. Pia kifaa chako kitasasishwa hadi toleo jipya la Windows. Faili zako za kibinafsi na baadhi ya mipangilio ya Windows itahifadhiwa. |
This will remove all apps and programs you installed. Your device will also be updated to the latest version of Windows. Your personal files and some Windows settings will be kept. |