If an error occurred or the following message in Swahili language and you cannot find a solution, than check answer in English. Table below helps to know how correctly this phrase sounds in English.
| id |
Swahili |
English |
| 100 | Downloaded Maps Manager |
Downloaded Maps Manager |
| 101 | Huduma ya Windows kwa ufikiaji wa programu kwa ramani zilizopakuliwa. Huduma hii imeanzishwa katika kuhitajika na programu zinazofikia ramani zilizopakuliwa. Kulemaza huduma hii kutazuia programu kutokana na kufikia ramani. |
Windows service for application access to downloaded maps. This service is started on-demand by application accessing downloaded maps. Disabling this service will prevent apps from accessing maps. |
| 102 | Kuna baadhi ya visasisho vya ramani yako ya nje ya mtandao |
There are some updates to your offline maps |
| 103 | Tutaendelea utakapounganisha kwenye mtandao usiolipishwa wa Wi-Fi. |
We'll resume when you connect to a free Wi-Fi network. |
| 104 | Tutaendelea punde tu programu zote za ramani zimefungwa. |
We'll resume once all map apps are closed. |
| 105 | Ramani |
Maps |
| 106 | Upakuaji wa ramani umesitishwa |
Map downloads paused |
| 107 | Tutaendelea utakapounganisha kwenye mtandao usiolipishwa wa WLAN. |
We'll resume when you connect to a free WLAN network. |
| 108 | Inarekebisha ramani zako |
Repairing your maps |
| 109 | Tatizo limetokea. lakini tutalitatua hivi karibuni. |
Something went wrong, but we'll have them working again soon. |
| 110 | Inapakua ramani |
Downloading map |
| 111 | %s imeanza kupakua %s, %s ramani (%s). |
%s has started downloading the %s, %s map (%s). |
| 112 | Kosa la kupakua ramani |
Error downloading map |
| 113 | Upakuaji wa %s ulikumbana na tatizo. |
The download of %s encountered a problem. |