File name: | notepad.exe.mui |
Size: | 12288 byte |
MD5: | 8f6da84f50673b1bc90ebbea24951612 |
SHA1: | a28476fcdb7b392e252d302faaf4b59403a57182 |
SHA256: | 94033ed0447a8a7fcf0fb9cd384b946a33d388d126254c2a8c1104b0dedca183 |
Operating systems: | Windows 10 |
Extension: | MUI |
In x64: | notepad.exe Kiandiko madokezo (32-bit) |
If an error occurred or the following message in Swahili language and you cannot find a solution, than check answer in English. Table below helps to know how correctly this phrase sounds in English.
id | Swahili | English |
---|---|---|
1 | Haiwezi kufungua faili%%. Hakikisha diski iko kwenye kiendeshaji ulichobainisha. |
Cannot open the %% file. Make sure a disk is in the drive you specified. |
2 | Haiwezi kutafuta faili%%. Je, unataka kuunda faili mpya? |
Cannot find the %% file. Do you want to create a new file? |
3 | Matini kwenye faili%%limebadilika. Je, unataka kuhifadhi mabadiliko? |
The text in the %% file has changed. Do you want to save the changes? |
4 | Bila kichwa | Untitled |
5 | %1 - Kiandikio Madokezo | %1 - Notepad |
6 | Haiwezi kupata "%%" | Cannot find "%%" |
7 | Hakuna kumbukumbu la kutosha lililopo kukamilisha uendeshaji huu. Aga moja au zaidi ya utekelezaji kuongeza kumbukumbu lililopo, kisha jaribu tena. | Not enough memory available to complete this operation. Quit one or more applications to increase available memory, and then try again. |
8 | faili%% ni kubwa sana kwa Kiandiko madokezo. TUmia mhariri kuhariri faili. |
The %% file is too large for Notepad. Use another editor to edit the file. |
9 | Kiandiko madokezo | Notepad |
10 | Ilishindwa kuanzisha vikasha ongezi. Badilisha jina la faili na jaribu tena. | Failed to initialize file dialogs. Change the file name and try again. |
11 | Ilishindwa Kuanzisha Chapa Ongezi. Hakikisha kuwa kichapishi chako kimeunganishwa kwa usahihi na tumia Paneli Dhibiti kuhakikisha kwamba kichapishi kimesanidiwa kwa usahihi. | Failed to initialize print dialogs. Make sure that your printer is connected properly and use Control Panel to verify that the printer is configured properly. |
12 | Haiwezi kuchapa faili%%. Hakikisha kuwa kichapishi kimeunganishwa kwa usahihi na tumia Paneli Dhibiti kuhakikisha kuwa kichapichi kimesanidiwa kwa usahihi. | Cannot print the %% file. Be sure that your printer is connected properly and use Control Panel to verify that the printer is configured properly. |
13 | Sio jina la faili sahihi. | Not a valid file name. |
14 | Haiwezi kuunda faili %%. Hakikisha kwamba kijia na jina la faili ni sahihi. |
Cannot create the %% file. Make sure that the path and file name are correct. |
15 | Haiwezi kubeba amri ya Usawanyi Word kwa sababu kuna matini zaidi kwenye faili. | Cannot carry out the Word Wrap command because there is too much text in the file. |
16 | %% | %% |
17 | notepad.hlp | notepad.hlp |
18 | &f | &f |
19 | Ukurasa &p | Page &p |
20 | Nyaraka Matini (*.txt) | Text Documents (*.txt) |
21 | Majalda Yote | All Files |
22 | Fungua | Open |
23 | Hifadhi Kama | Save As |
24 | Huwezi kuaga au kufunga Windows kwa sababu Kisanduku kidadisi cha Hifadhi Kama kwenye Kiandiko madokezo kiko wazi. Swichi hadi Kiandiko madokezo, funga hiki kisanduku kidadisi, na kisha ujaribu kuaga Windows au kufunga Windows tena. |
You cannot shut down or log off Windows because the Save As dialog box in Notepad is open. Switch to Notepad, close this dialog box, and then try shutting down or logging off Windows again. |
25 | Haiwezi kufikia kichapishi chako. Hakikisha kuwa kichapishi chako kimeunganishwa kwa usahihi na tumia Paneli Dhibiti kuhakikisha kwamba kichapishi kimesanidiwa kwa usahihi. |
Cannot access your printer. Be sure that your printer is connected properly and use Control Panel to verify that the printer is configured properly. |
26 | %% Huna kibali kufungua faili hii. Angalia mmiliki wa faili au msamamizi kupata kibali. |
%% You do not have permission to open this file. See the owner of the file or an administrator to obtain permission. |
27 | %% Faili hii ina vibambo kwenye umbizo Msimbosare ambao utapotea kama ukihifadhi faili hii kama faili matini ANSI iliyosimbuliwa. Kuweka taarifa ya Msimbosare, bofya Katisha hapo chini kisha teua moja ya chaguo Msimbosare kutoka orodha iliyodondosha Usimbuaji. Endelea? |
%% This file contains characters in Unicode format which will be lost if you save this file as an ANSI encoded text file. To keep the Unicode information, click Cancel below and then select one of the Unicode options from the Encoding drop down list. Continue? |
28 | Ukurasa mdogo sana kuchapa mstari mmoja. Jaribu kuchapa kwa kutumia fonti ndogo. |
Page too small to print one line. Try printing using smaller font. |
29 | Kosa la kisanduku kidadisi Kawaida (0x%04x) | Common Dialog error (0x%04x) |
30 | Kiandiko madokezo - Mstari Nenda kwa | Notepad - Goto Line |
31 | Nambari mstari inazidi jumla ya idadai ya mistari | The line number is beyond the total number of lines |
32 | ANSI | ANSI |
33 | Msimbosare | Unicode |
34 | Endiani msimbosare | Unicode big endian |
35 | UTF-8 | UTF-8 |
36 | Ukurasa %d | Page %d |
37 | Ln %d, Col %d | Ln %d, Col %d |
38 | Finyuzwa, | Compressed, |
39 | Fichamishwa, | Encrypted, |
40 | Fichwa, | Hidden, |
41 | Nje ya Mtandao, | Offline, |
42 | SomaTu, | ReadOnly, |
43 | Mfumo, | System, |
44 | Faili | File |
45 | fFpPtTdDcCrRlL | fFpPtTdDcCrRlL |
46 | Inasi&mbika: | &Encoding: |
47 | Kiandiko madokezo kilikuwa shughulini kwenye kumbukumbu ambayo imekamilika. Unataka kuhifdhi faili%% bila kumbukumbu? |
Notepad was running in a transaction which has completed. Would you like to save the %% file non-transactionally? |
48 | Hatuwezi kufungua faili hii | We can’t open this file |
49 | Huenda shirika lako haliiruhusu, au kuna tatizo kwa usimbaji fiche wa faili. | Either your organization doesn’t allow it, or there’s a problem with the file’s encryption. |
50 | Kihariri cha Matini | Text Editor |
469 | Waraka wa Matini | Text Document |
470 | Waraka Matini Mpya | New Text Document |
3000 | Kiandikio Madokezo | Notepad |
3001 | Unataka kuhifadhi mabadiliko katika %%? | Do you want to save changes to %%? |
3002 | Hifa&dhi | &Save |
3003 | Usi&hifadhi | Do&n't Save |
File Description: | Kiandiko madokezo |
File Version: | 10.0.15063.0 (WinBuild.160101.0800) |
Company Name: | Microsoft Corporation |
Internal Name: | Notepad |
Legal Copyright: | © Microsoft Corporation. Haki zote zimehifadhiwa. |
Original Filename: | NOTEPAD.EXE.MUI |
Product Name: | Microsoft® Windows® Operating System |
Product Version: | 10.0.15063.0 |
Translation: | 0x441, 1200 |