| File name: | Windows.UI.CredDialogController.dll.mui |
| Size: | 8192 byte |
| MD5: | 8e438d9da4b5f6f27583abf94ca12e2f |
| SHA1: | 6ce97db8286059ec29a6420cf0cb6521cb75060c |
| SHA256: | 3ff46fa4525b40da046e37fea2303d8d144d3c6c14d29bb4606e5e02d93e05cc |
| Operating systems: | Windows 10 |
| Extension: | MUI |
If an error occurred or the following message in Swahili language and you cannot find a solution, than check answer in English. Table below helps to know how correctly this phrase sounds in English.
| id | Swahili | English |
|---|---|---|
| 100 | Nywila ya mtandao maalum si sahihi. | The specified network password is not correct. |
| 101 | Nywila ya mtumiaji lazima ibadilishwe kabla ya kuingia mara ya kwanza. | The user’s password must be changed before logging on the first time. |
| 102 | Sera ya EAS inahitaji mtumiaji kubadilisha nywila yao kabla ya uendeshaji wako kutekelezwa. | EAS policy requires that the user change their password before this operation can be performed. |
| 103 | Nywila isio sahihi. | Incorrect password. |
| 104 | Ufikivu umekataliwa. | Access is denied. |
| 105 | Ufikiaji mtandao umekataliwa. | Network access is denied. |
| 106 | Jina la mtumiaji au nywila si sahihi. | The user name or password is incorrect. |
| 107 | Vizuizi vya akaunti zinazuia mtumiaji huyu kuingia. Kwa mfano: nywila tupu haziruhusiwi, wakati wa kuingia unakikomo, au kizuizi cha sera kimelazimishwa. | Account restrictions are preventing this user from signing in. For example: blank passwords aren’t allowed, sign-in times are limited, or a policy restriction has been enforced. |
| 108 | Akaunti yako ina vizuizi vya wakati ambazo zinafanya usingie sasa hivi. | Your account has time restrictions that keep you from signing in right now. |
| 109 | Mtumiaji huyu haruhusiwi kuingia kwa kompyuta hii. | This user isn’t allowed to sign in to this computer. |
| 110 | Nywila ya akaunti hii imepita wakati. | The password for this account has expired. |
| 111 | Mtumiaji huyu hawezi kuingia kwa sababu akaunti hii imelemazwa. | This user can’t sign in because this account is currently disabled. |
| 112 | Jinala mtumiaji lililobainishwa ni batili. | The specified username is invalid. |
| 113 | Inajaribu kuingia wakati wa mchana ambao haujaidhinishwa kwa akaunti hii. | Attempting to log in during an unauthorized time of day for this account. |
| 114 | Je, unataka kuruhusu programu hii kufanya mabadiliko kwenye kifaa chako? | Do you want to allow this app to make changes to your device? |
| 116 | Je, unataka kuruhusu programu hii kusakinisha programu kwenye kifaa chako? | Do you want to allow this app to install software on your device? |
| 117 | Je, unataka kuruhusu programu hii kuondoa programu kutoka kwenye kifaa chako? | Do you want to allow this app to remove software from your device? |
| 118 | Je, unataka kuruhusu programu hii kusasisha programu katika kifaa chako? | Do you want to allow this app to update software on your device? |
| 119 | Je, unataka kuruhusu programu hii kutoka kwa mchapishaji asiyejulikana kufanya mabadiliko katika kifaa chako? | Do you want to allow this app from an unknown publisher to make changes to your device? |
| 120 | Programu hii imezuiwa kwa ulinzi wako. | This app has been blocked for your protection. |
| 121 | %1 ilizuia programu hii kulinda kifaa chako. | %1 blocked this app to protect your device. |
| 122 | Ili kuendelea, ingiza jina la mtumiaji na nywila ya msimamizi | To continue, enter an admin user name and password. |
| 123 | Imepakuliwa kutoka kwenye waviti | Downloaded from the Internet |
| 124 | Midia chopekezi katika kompyuta hii | Removable media on this computer |
| 125 | Diski kuu katika kompyuta hii | Hard drive on this computer |
| 126 | Kiendeshi cha Mtandao | Network drive |
| 127 | Kiendeshi cha CD/DVD | CD/DVD drive |
| 128 | Onyesha maelezo kuhusu cheti cha mchapishaji | Show information about the publisher’s certificate |
| 139 | Badili wakati taarifa hizi zinatokea | Change when these notifications appear |
| 140 | Bonyeza Ctrl+Alt+Delete ili kuingiza hati tambulishi zako. | Press Ctrl+Alt+Delete to enter your credentials |
| 142 | Bonyeza Ctrl+Alt+Delete au tumia kitufe cha Usalama wa Windows ili kuingiza hati tambulishi zako. | Press Ctrl+Alt+Delete or use the Windows Security button to enter your credentials |
| 143 | Bonyeza na ushikilie kitufe cha Windows, na kisha bonyeza kitufe cha nishati | Press and hold the Windows button, and then press the power button |
| 144 | Bonyeza Ctrl+Alt+Delete au bonyeza na ushikilie kitufe cha Windows, na kisha bonyeza kitufe cha nishati ili kuingiza hati tambulishi zako | Press Ctrl+Alt+Delete or press and hold the Windows button, and then press the power button to enter your credentials |
| 145 | Bonyeza na ushikilie kitufe cha nishati, na kisha bonyeza kitufe cha kupunguza sauti ili kuingiza hati tambulishi zako | Press and hold the power button, and then press the volume down button to enter your credentials |
| 146 | Bonyeza Ctrl+Alt+Delete au bonyeza na ushikilie kitufe cha nishati, na kisha bonyeza kitufe cha kupungza sauti ili kuingiza hati tambulishi zako | Press Ctrl+Alt+Delete or press and hold the power button, and then press the volume down button to enter your credentials |
| 147 | Ingiza hati tambulishii zangu kwenye skrini ya kuingia ya uhalalisho ya Windows | Enter my credentials on the authentic Windows sign-in screen |
| 149 | Msimamizi amekuzuia kuendesha programu hii. Kwa maelezo zaidi, wasiliana na msimamizi. | An administrator has blocked you from running this app. For more information, contact the administrator. |
| 150 | Faili hii imetoka kwa eneo lisiloaminika. Je, una uhakika unataka kuiendesha? |
This file is from an untrusted location. Are you sure you want to run it? |
| 151 | Haijulikani | Unknown |
| 152 | Microsoft Windows | Microsoft Windows |
| 153 | Programu isiyojulikana | Unknown program |
| File Description: | Kidhibiti cha Kidadisi cha UX ya Stakabadhi |
| File Version: | 10.0.15063.0 (WinBuild.160101.0800) |
| Company Name: | Microsoft Corporation |
| Internal Name: | Windows.UI.CredDialogController.dll |
| Legal Copyright: | © Microsoft Corporation. Haki zote zimehifadhiwa. |
| Original Filename: | Windows.UI.CredDialogController.dll.MUI |
| Product Name: | Microsoft® Windows® Operating System |
| Product Version: | 10.0.15063.0 |
| Translation: | 0x441, 1200 |