File name: | MusUpdateHandlers.dll.mui |
Size: | 40960 byte |
MD5: | 88e9acb775339a97fd95c37c0cab74c5 |
SHA1: | 5ef6b21cce556eefb41d87c3ebe746718058e356 |
SHA256: | 0c9231d3e54756b204c477b5b9932808c36e97d047ce6e18e44eda732f28a6f9 |
Operating systems: | Windows 10 |
Extension: | MUI |
If an error occurred or the following message in Swahili language and you cannot find a solution, than check answer in English. Table below helps to know how correctly this phrase sounds in English.
id | Swahili | English |
---|---|---|
50 | Inatafuta visasisho... | Checking for updates... |
51 | Inapakua visasisho %1!u!%% | Downloading updates %1!u!%% |
52 | Inaandaa kusakinisha visasisho %1!u!%% | Preparing to install updates %1!u!%% |
53 | Tafadhali subiri... | Please wait... |
54 | Kifaa chako kimesasishwa. Kilikaguliwa mwisho: %1, %2 | Your device is up to date. Last checked: %1, %2 |
55 | Hakuna visasisho vinavyopatikana. Tutaendelea kuangalia kila siku kwa visasisho vipya zaidi. | No updates are available. We'll continue to check daily for newer updates. |
56 | Visasisho viko tayari kusakinishwa | Updates are ready to install |
57 | Visasisho vitasakinishwa kiotomatiki wakati hutumii kifaa chako, au unaweza kuvisakinisha sasa iwapo unataka. | We'll automatically install updates when you aren't using your device, or you can install them now if you want. |
58 | Visasisho viko tayari kupakua | Updates are ready to download |
59 | Inasakinisha visasisho... | Installing updates... |
60 | Tunahitaji kuanza kutofautisha usakinishaji ili kukamilisha kisasisho hiki. Teua Sakinisha ili kuianzisha. Iwapo huoni dirisha lililosakinisha, punguza dirisha hili, au angalia mwambaa wa kazi. | We need to start a separate installation to complete this update. Select Install to start it. If you don't see the install window, minimize this window, or check the taskbar. |
61 | Kifaa chako kimesasishwa. Kilikaguliwa mara ya mwisho: Leo, %1 | Your device is up to date. Last checked: Today, %1 |
62 | Kifaa chako kimesasishwa. Kilikaguliwa mara ya mwisho: Jana, %1 | Your device is up to date. Last checked: Yesterday, %1 |
63 | Inaanzilisha visasisho... | Initializing updates... |
64 | Inaandaa kupakua visasisho %1!u!%% | Preparing to download updates %1!u!%% |
100 | Angalia visasisho | Check for updates |
101 | Visasisho vinavyopatikana vitapakuliwa na kusakinishwa kiotomatiki, isipokuwa kupitia kwa muunganisho wa mita (gharama zinapotekelezwa). | Available updates will be downloaded and installed automatically, except over metered connections (where charges may apply). |
102 | Washa upya sasa | Restart now |
103 | Sakinisha sasa | Install now |
104 | Pakua | Download |
105 | Jaribu upya | Retry |
106 | Rekebisha masuala | Fix issues |
107 | Nenda kwenye Hifadhi ili uondoe vitu usivyovihitaji | Go to Storage to remove things you don't need |
108 | Inayofuata | Next |
109 | Tunakumbana na tatizo kuwasha upya ili kukamilisha usakinishaji. Jaribu tena baada ya muda mfupi. Iwapo utaendelea kuona tatizo hili, jaribu kutafuta suluhu kwenye wavuti au wasiliana na kituo cha auni. Msimbo huu wa kosa unaweza kusaidia: (%1) | We're having trouble restarting to finish the install. Try again in a little while. If you keep seeing this, try searching the web or contacting support for help. This error code might help: (%1) |
110 | Ili kuwasha upya na kukamilisha usasishaji, tunahitaji: | To restart and finish updating, we need: |
111 | • Betri lako lichajiwe hadi 40%. |
• Your battery charged to 40%. |
112 | • Upigaji simu wako unafaa kukamilishwa. |
• Your phone call to be finished. |
113 | Chaguo hili linadhibitiwa na shirika lako. | This option is managed by your organization. |
114 | Endeleza visasisho | Resume updates |
130 | Nipatie visasisho ya bidhaa zingine za Microsoft wakati ninasasisha Windows. | Give me updates for other Microsoft products when I update Windows. |
131 | Angalia mtandaoni kwa visasisho kutoka kwenye Kisasisho cha Microsoft. | Check online for updates from Microsoft Update. |
133 | Jifunze zaidi | Learn more |
134 | Tumia maelezo yangu ya kuingia ili kukamilisha kusanidi kifaa changu kiotomatiki baada ya kisasisho. | Use my sign in info to automatically finish setting up my device after an update. |
136 | Taarifa ya faragha | Privacy statement |
137 | Jumuisha visasisho vya kiendeshi ninaposasisha Windows | Include driver updates when I update Windows |
140 | Iwapo unataka, unaweza kuwasha upya sasa. Au, unaweza kuratibu upya kuwasha upya kwa muda wenye ufanisi zaidi. Hakikisha kifaa chako kimechomekwa kwa muda ulioratibiwa. Kulingana na ukubwa wa kisasisho, usakinishaji unaweza kuchukua muda. | If you want, you can restart now. Or, you can reschedule the restart to a more convenient time. Be sure your device is plugged in at the scheduled time. Depending on the size of the update, the install might take a while. |
141 | Tutaratibu kuwasha upya wakati hutumii kifaa chako (kwa sasa %1 leo inaonekana nzuri). | We'll schedule a restart during a time you usually don't use your device (right now %1 today looks good). |
142 | Tutaratibu kuwasha upya wakati hutumii kifaa chako (kwa sasa %1 kesho inaonekana nzuri). | We'll schedule a restart during a time you usually don't use your device (right now %1 tomorrow looks good). |
143 | Tuliratibu kuwasha upya wakati hutumii kifaa chako (kwa sasa %1 kwenye %2 huonekana nzuri). | We'll schedule a restart during a time you usually don't use your device (right now %1 on %2 looks good). |
144 | Teua muda wa kuwasha upya | Select a restart time |
145 | Leo | Today |
146 | Kesho | Tomorrow |
147 | Muda huo ulipita. Chagua muda mwingine. | That time is in the past. Choose another time. |
148 | Tutamaliza kusakinisha visasisho wakati utatueleza: | We’ll finish installing updates when you tell us to: |
149 | Tutaonyesha kumbusho la wakati tutawasha upya. Kama unataka kuona taarifa zaidi kuhusu kuwasha upya, washa hii. | We’ll show a reminder when we’re going to restart. If you want to see more notifications about restarting, turn this on. |
150 | Visasisho vinapatikana. | Updates are available. |
151 | Kuwasha upya kunahitajika ili kukamilisha usakinishaji wa visasisho vifuatavyo: | A restart is required to finish installing the following updates: |
152 | Kukubali lugha za ziada | Additional language support |
160 | • Boresha kuvinjari na upatanifu wa programu. | • Improve web browsing and app compatibility. |
161 | • Boresha jinsi vifaa vyako vinavyofanya kazi. | • Improve the way your devices work. |
162 | • Saidia kulinda kifaa chako zaidi. | • Help make your device more secure. |
163 | • %1 | • %1 |
164 | Historia ya kisasisho | Update history |
165 | Maelezo | Details |
166 | Mipangilio ya faragha | Privacy settings |
167 | Kumbuka: Kisasisho cha Windows kinaweza kujisasisha kiotomatiki kwanza wakati kinatafuta visasisho vingine. | Note: Windows Update might update itself automatically first when checking for other updates. |
168 | Chaguo mahiri | Advanced options |
169 | Chaguo za kuwasha upya | Restart options |
170 | Ratibisha uwashaji upya | Schedule the restart |
180 | Otomatiki (iliyopendekezwa) | Automatic (recommended) |
181 | Endelea kuendesha kila jambo kwa ufanisi. Tutawasha upya kifaa chako otomatiki wakati hukitumii. Visasisho havitapakuliwa kupitia muunganisho wenye mita (ambapo gharama zinaweza kutekelezwa). | Keep everything running smoothly. We'll restart your device automatically when you're not using it. Updates won't download over a metered connection (where charges may apply). |
182 | Arifu ili kupakua | Notify to download |
183 | Chagua unapotaka kupakua visasisho, na utaarifiwa iwapo kuwasha upya kunahitajika. | Choose when to download updates, and you'll be notified if a restart is needed. |
184 | Arifu ili kuratibu kuwasha upya | Notify to schedule restart |
185 | Utaombwa kuratibu kuanza upya ili kukamilisha kusakinisha visasisho. Visasisho havitapakuliwa kupitia muunganisho wa waya (ambapo gharama zinaweka kutozwa). | You'll be asked to schedule a restart to finish installing updates. Updates won't download over a metered connection (where charges may apply). |
186 | Kila mara washa upya kifaa changu wakati huu kila mara visasisho vinahitajika kusakinishwa. | Always restart my device at this time whenever updates need to be installed. |
187 | Tumia tena visasisho vilivyopakuliwa kwenye kifaa hiki ili kusasisha vifaa vingine kwenye mtandao wangu wa ndani. | Reuse updates downloaded on this device to update other devices on my local network. |
188 | Kamwe usikague visasisho (haipendekezwi) | Never check for updates (not recommended) |
189 | Shirika lako limezima visasisho otomatiki | Your organization has turned off automatic updates |
190 | Arifu ili kusakinisha | Notify to install |
191 | Visasisho havitapakuliwa kupitia muunganisho wenye mita. Utaulizwa kusakinisha visasisho wakati vimepakuliwa. | Updates won't download over a metered connection. You'll be asked to install updates when they've been downloaded. |
192 | Tutapakua visasisho kiotomatiki na kusakinisha visasisho hivyo, isipokuwa kwenye miunganisho ya mizani (ambapo unaweza kutozwa). Katika hali hiyo, tutapakua kiotomatiki tu visasisho vile vinavyohitajika ili kuendesha huduma za Windows kwa urahisi. | We'll automatically download and install updates, except on metered connections (where charges may apply). In that case, we’ll automatically download only those updates required to keep Windows running smoothly. |
193 | Tutakuomba upakue visasisho, isipokuwa wakati visasisho hivyo vinahitajika ili kuendesha huduma za Windows kwa urahisi. Katika hali hiyo, tutapakua kiotomatiki visasisho hivyo. | We'll ask you to download updates, except when updates are required to keep Windows running smoothly. In that case, we’ll automatically download those updates. |
194 | Tutapakua visasisho kiotomatiki, isipokuwa kwenye miunganisho ya mizani (ambapo unaweza kutozwa). Katika hali hiyo, tutapakua kiotomatiki tu visasisho vile vinavyohitajika ili kuendesha huduma za Windows kwa urahisi. Tutakuomba usakinishe visasisho baada ya kupakuliwa. | We'll automatically download updates, except on metered connections (where charges may apply). In that case, we’ll automatically download only those updates required to keep Windows running smoothly. We'll ask you to install updates after they've been downloaded. |
200 | Hakuna visasisho vilivyosakinishwa bado. | No updates have been installed yet. |
201 | Imesakinishwa kwa mafanikio kwenye %1 | Successfully installed on %1 |
202 | Ilishindwa kusakanishwa kwenye%1 | Failed to install on %1 |
203 | Huhitaji kuwashwa upya ili kukamilisha usakinishaji | Requires a restart to finish installing |
204 | Visasisho vya Ubora (%1!u!) | Quality Updates (%1!u!) |
205 | Visasisho vya Kipengele (%1!u!) | Feature Updates (%1!u!) |
206 | Visasisho vya Kiendeshi (%1!u!) | Driver Updates (%1!u!) |
207 | Visasisho vya Ufafanuzi (%1!u!) | Definition Updates (%1!u!) |
208 | Visasisho Vingine (%1!u!) | Other Updates (%1!u!) |
209 | Imekunjwa | Collapsed |
210 | Haijakunjwa | Not Collapsed |
240 | Chaguo za urejesho | Recovery options |
241 | Sakinusha visasisho | Uninstall updates |
300 | Masharti ya Leseni ya Programu | Software License Terms |
301 | Ili kusakinisha kisasisho hiki, kubali Masharti mapya ya Leseni ya Programu. Funga dirisah ahili au uteue mchale wa Nyuma hapo juu iwapo hutaki kusakinisha kisasisho sasa. | To install this update, accept the new Software License Terms. Close this window or select the Back arrow above if you don't want to install the update now. |
302 | Ili kusakinisha kisasisho hiki, kubali Masharti mapya ya Leseni ya Programu. Teua kitufe cha Nyuma iwapo hutaki kusakinisha kisasisho sasa. | To install this update, accept the new Software License Terms. Select the Back button if you don't want to install the update now. |
400 | Funga | Close |
401 | Kubali na usakinishe | Accept and install |
500 | Inasubiri upakuaji | Waiting for download |
501 | Inapakua | Downloading |
502 | Inasubiri kusakinishwa | Waiting for install |
503 | Inasakinisha | Installing |
504 | Inahitaji kuwashwa upya | Requires restart |
505 | Hitilafu | Error |
506 | Inaendelea | In progress |
550 | Chagua kiwango cha tawi kuwa tayari ili kubainisha ni lini visasisho vya kipengele vitasakinishwa. Tawi la Sasa humaanisha sasisho liko tayari kwa watu wengi, na Tawi la Sasa la Biashara humaanisha liko tayari kutumika katika mashirika. | Choose the branch readiness level to determine when feature updates are installed. Current Branch means the update is ready for most people, and Current Branch for Business means it’s ready for widespread use in organizations. |
551 | Tawi la Sasa | Current Branch |
552 | Tawi la Sasa la Biashara | Current Branch for Business |
553 | Kisasisho cha kipengele kinajumuisha uwezo maboresho mapya. Kinaweza kucheleshwa kwa siku hizi nyingi: | A feature update includes new capabilities and improvements. It can be deferred for this many days: |
554 | Kisasisho cha ubora kinajumuisha maboresho ya usalama. Kinaweza kucheleshwa kwa siku hizi nyingi: | A quality update includes security improvements. It can be deferred for this many days: |
555 | Sitisha visasisho kwa muda ili visisasishwe kwenye kifaa hiki hadi siku %1!u!. Wakati visasisho vitaendelea, kifaa hiki kitahitaji kupata visasisho vipya kabla kiweze kusitisha tena. | Temporarily pause updates from being installed on this device for up to %1!u! days. When updates resume, this device will need to get the latest updates before it can be paused again. |
556 | Umesitisha baadhi ya visasisho vya kifaa hiki. Kwa maelezo zaidi kuhusu ni lini visasisho vitaendelea, teau Chaguo mahiri. | You have paused updates for this device. For more info on when updates will resume, select Advanced options. |
557 | Shirika lako limesitisha baadhi ya visasisho vya kifaa hiki. Kwa maelezo zaidi kuhusu ni lini visasisho vitaendelea, teau Chaguo mahiri. | Your organization paused some updates for this device. For more info on when updates will resume, select Advanced options. |
558 | Kusitisha sasa kutasitisha visasisho hadi %1 | Pausing now will pause updates until %1 |
559 | Visasisho vimesitishwa hadi %1 | Updates paused until %1 |
560 | Visasisho vya ubora vimesitishwa na shirika lako hadi %1 | Quality updates paused by your organization until %1 |
561 | Visasisho vya kipengee vimesitishwa na shirika lako hadi %1 | Feature updates paused by your organization until %1 |
562 | Baadhi ya visasisho vilikuwa vimepakuliwa na kusakinishwa tayari na haviwezi kusitishwa. Kuwasha upya kifaa chako kutakamilisha usakinishaji wa visasisho hivi. Visasisho vingine vyovyote vitasitishwa. | Some updates were already downloaded and installed and can’t be paused. Restarting this device will finish installing these updates. Any other updates will be paused. |
563 | Visasisho vimeendelezwa kwa hivyo tunaangalia visasisho ili kufanya mashine yako bora kwa kuweka visasho vipya vya usalama na ubora kabla usitishe tena visasisho. | Updates have been resumed so we are checking for updates to keep your machine current with the latest security and quality updates before you can pause updates again. |
564 | Sitisha Visasisho | Pause Updates |
600 | Chagua muda wa kumaliza ambao hauzidi saa %1!u! kuanzia muda wa kuanza. | Choose an end time that’s no more than %1!u! hours from the start time. |
601 | Muda wa kumaliza (isipite saa %1!u! ) | End time (max %1!u! hours) |
602 | Shirika lako limechagua vikomo vya Saa zako amilifu. | Your organization has chosen your Active hours limits. |
700 | Kifaa chako kimeratibiwa kuanza upya nje ya saa amilifu. (Saa amilifu ni %1 hadi %2.) | Your device is scheduled to restart outside of active hours. (Active hours are %1 to %2.) |
701 | Tuko tayari kuwasha upya kulingana na ratibu yako ya saa %1 mnamo %2, au teua Washa upya ili uendeshe kwa urahisi na kwa usalama zaidi mara moja. | We’re all set to do the restart you scheduled at %1 on %2, or select Restart now to run more smoothly and securely right away. |
702 | Shirika lako litawasha upya kifaa chako saa %1 ili kukamilisha kusasisha Windows. Au teua Washa upya sasa ili uendesha kwa urahisi na usalama zaidi mara moja. | Your organization will restart your device at %1 to finish updating Windows. Or select Restart now to run more smoothly and securely right away. |
703 | Kifaa chako kitawaka upya saa %1. Hakikisha umehifadhi kazi yeyote kabla ya kuwaka upya. | Your device will restart at %1. Make sure to save any work before the restart. |
704 | Kifaa chako kitawashwa upya saa %1 kwa sababu tulijaribu lakini hatukuweza kusakinisha visasisho nje ya saa zako amilifu. Hakikisha umehifadhi kazi yoyote kabla ya kuwasha upya. | Your device will restart at %1 because we tried but were unable to install updates outside of your active hours. Make sure to save any work before the restart. |
705 | leo | today |
706 | kesho | tomorrow |
707 | Kifaa chako kimeratibiwa kuwaka upya nje ya saa amilifu zilizowekwa na shirika lako. (Saa amilifu ni %1 hadi %2.) | Your device is scheduled to restart outside of active hours set by your organization. (Active hours are %1 to %2.) |
708 | Hatukuweza kupata wakati unaofaa wa kusakinisha visasisho nje ya saa zako amilifu na tunakuhitaji uwashe upya kifaa chako ili ukamilishe. | We couldn’t find a good time to install updates outside of your active hours and need you to restart your device to finish up. |
800 | Kifaa chako kiko hatarini kwa sababu kimepitwa na wakati na kinakosa visasisho muhimu vya usalama na ubora. Hebu tukusasishe ili Windows iweze kuendeshwa kwa usalama zaidi. Teua kitufe hiki ili uendelee: | Your device is at risk because it’s out of date and missing important security and quality updates. Let’s get you back on track so Windows can run more securely. Select this button to get going: |
1000 | Visasisho vinapatikana, lakini tunahitaji nafasi ya MB %1 MB-%2 kwa muda ili kupakua. Ondoa baadhi ya vipengee usivyohitaji sasa hivi na tutajaribu tena. | Updates are available, but we temporarily need %1 MB-%2 MB of space to download. Remove some things you don't need right now and we'll try again. |
1001 | Visasisho vinapatikana, lakini tunahitaji nafasi ya MB %1 GB-%2 kwa muda ili kupakua. Ondoa baadhi ya vipengee usivyohitaji sasa hivi na tutajaribu tena. | Updates are available, but we temporarily need %1 MB-%2 GB of space to download. Remove some things you don't need right now and we'll try again. |
1002 | Visasisho vinapatikana, lakini tunahitaji nafasi ya GB %1 GB-%2 kwa muda ili kupakua. Ondoa baadhi ya vipengee usivyohitaji sasa hivi na tutajaribu tena. | Updates are available, but we temporarily need %1 GB-%2 GB of space to download. Remove some things you don't need right now and we'll try again. |
1003 | Visasisho vinapatikana, lakini tunahitaji nafasi ya MB %1 kwa muda ili kupakua. Ondoa baadhi ya vipengee usivyohitaji sasa hivi na tutajaribu tena. | Updates are available, but we temporarily need %1 MB of space to download. Remove some things you don't need right now and we'll try again. |
1004 | Visasisho vinapatikana, lakini tunahitaji nafasi ya GB %1 kwa muda ili kupakua. Ondoa baadhi ya vipengee usivyohitaji sasa hivi na tutajaribu tena. | Updates are available, but we temporarily need %1 GB of space to download. Remove some things you don't need right now and we'll try again. |
1005 | Visasisho vinapatikana, lakini tunahitaji nafasi ili kupakua. Ondoa baadhi ya mambo usiyohitaji sasa hivi na tutajaribu tena. | Updates are available, but we temporarily need some space to download. Remove some things you don't need right now and we'll try again. |
1100 | Visasisho vinapatikana, lakini tunahitaji nafasi ya MB %1 kwa muda ili kusakinisha. Ondoa baadhi ya vipengee usivyohitaji sasa hivi na tutajaribu tena. | Updates are available, but we temporarily need %1 MB of space to install. Remove some things you don't need right now and we'll try again. |
1101 | Visasisho vinapatikana, lakini tunahitaji nafasi ya GB %1 kwa muda ili kusakinisha. Ondoa baadhi ya vipengee usivyohitaji sasa hivi na tutajaribu tena. | Updates are available, but we temporarily need %1 GB of space to install. Remove some things you don't need right now and we'll try again. |
1200 | Visasisho vinapatikana. Tutavipakua wakati hutumii muunganisho wa mita, au unaweza kupakua MB %1 - MB %2 kwa kutumia muunganisho wako wa data wa sasa (gharama zinaweza kutekelezwa). Bado unaweza kuhitaji kuunganisha Wi-Fi isiyo ya mita kwa baadhi ya visasisho. | Updates are available. We'll download them when you are not using a metered connection, or you can download %1 MB-%2 MB using your current data connection (charges might apply). You might still need to connect to unmetered Wi-Fi for some updates. |
1201 | Visasisho vinapatikana. Tutavipakua wakati hutumii muunganisho wa mita, au unaweza kupakua MB %1 - GB %2 kwa kutumia muunganisho wako wa data wa sasa (gharama zinaweza kutekelezwa). Bado unaweza kuhitaji kuunganisha Wi-Fi isiyo ya mita kwa baadhi ya visasisho. | Updates are available. We'll download them when you are not using a metered connection, or you can download %1 MB-%2 GB using your current data connection (charges might apply). You might still need to connect to unmetered Wi-Fi for some updates. |
1202 | Visasisho vinapatikana. Tutavipakua wakati hutumii muunganisho wa mita, au unaweza kupakua GB %1 - GB %2 kwa kutumia muunganisho wako wa data wa sasa (gharama zinaweza kutekelezwa). Bado unaweza kuhitaji kuunganisha Wi-Fi isiyo ya mita kwa baadhi ya visasisho. | Updates are available. We'll download them when you are not using a metered connection, or you can download %1 GB-%2 GB using your current data connection (charges might apply). You might still need to connect to unmetered Wi-Fi for some updates. |
1203 | Visasisho vinapatikana. Tutavipakua wakati hutumii muunganisho wa mita, au unaweza kupakua MB %1 kwa kutumia muunganisho wako wa data wa sasa (gharama zinaweza kutekelezwa). Bado unaweza kuhitaji kuunganisha Wi-Fi isiyo ya mita kwa baadhi ya visasisho. | Updates are available. We'll download them when you are not using a metered connection, or you can download %1 MB using your current data connection (charges might apply). You might still need to connect to unmetered Wi-Fi for some updates. |
1204 | Visasisho vinapatikana. Tutavipakua wakati hutumii muunganisho wa mita, au unaweza kupakua GB %1 kwa kutumia muunganisho wako wa data wa sasa (gharama zinaweza kutekelezwa). Bado unaweza kuhitaji kuunganisha Wi-Fi isiyo ya mita kwa baadhi ya visasisho. | Updates are available. We'll download them when you are not using a metered connection, or you can download %1 GB using your current data connection (charges might apply). You might still need to connect to unmetered Wi-Fi for some updates. |
1205 | Visasisho vinapatikana. Tutavipakua wakati hutumii muunganisho wa mita, au unaweza kuvipata sasa kwa kutumia muunganisho wako wa data wa sasa (gharama zinaweza kutekelezwa). Bado unaweza kuhitaji kuunganisha Wi-Fi isiyo ya mita kwa baadhi ya visasisho. | Updates are available. We'll download them when you are not using a metered connection, or you can get them now using your current data connection (charges might apply). You might still need to connect to unmetered Wi-Fi for some updates. |
1300 | Tusingesakinisha baadhi ya visasisho kwa sababu hujaingia kwenye kompyuta. | We couldn't install some updates because you weren't logged on to the PC. |
1301 | Tusingesakinisha baadhi ya visasisho kutumia akaunti ambayo umeingia nayo. Jaribu kuingia kwa akaunti nyingine. | We couldn't install some updates using the account you're signed in with. Try signing in with another account. |
1302 | Kompyuta hii haijaidhinishwa kupata baadhi ya visasisho, kwa uwekano kwa sababu upandishaji gredi wa toleo tofauti la Windows linajaribu kusakinisha. Tutaendelea kujaribu kusasisha. | This PC isn't authorized to get some updates, possibly because an upgrade to a different edition of Windows is trying to install. We'll keep trying to update. |
8000 | Kulikuwa na matatizo kusakinisha baadhi ya visasisho, lakini tutajaribu tena baadaye. Iwapo utaendelea kuona tatizo hili na unataka kutafuta suluhu kwenye wavuti au kuwasiliana na kituo cha msaada kwa maelezo, hii inaweza kusaidia: | There were problems installing some updates, but we'll try again later. If you keep seeing this and want to search the web or contact support for information, this may help: |
8001 | • %1 - Kosa %2 | • %1 - Error %2 |
8002 | Kulikuwa na baadhi ya matatizo ya kusakinisha visasisho, lakini tutajaribu tena baadaye. Iwapo utaendelea kuyaona na unataka kutafuta suluhu kwenye wavuti au kuwasiliana na kituo cha auni kwa maelezo, hii inaweza kusaidia: (%1) | There were some problems installing updates, but we'll try again later. If you keep seeing this and want to search the web or contact support for information, this may help: (%1) |
8003 | Tulipata matatizo fulani. Teua ujumbe huu ili kutatua na kukamilisha usasishaji. | We found some issues. Select this message to fix and finish updating. |
8004 | Tusingeangalia visasisho, kwa sababu hujaunganishwa kwenye Mtandao. Hakikisha una data ya mtandao wa simu au muunganisho wa Wi-Fi na ujaribu tena. | We couldn't check for updates, because you aren't connected to the Internet. Make sure you have a cellular data or Wi-Fi connection and try again. |
8005 | Muunganisho wako unazurura. Tutajaribu tena baadaye kiotomatiki. | Your connection is roaming. We'll try again later automatically. |
8006 | Hatuwezi kusakinisha baadhi ya visasisho kwa sababu visasisho vingine vinaendelea. Kuwasha upya kompyuta yako kunaweza kusaidia, na tutaendelea kujaribu ili kusasisha. | We can't install some updates because other updates are in progress. Restarting your computer may help, and we'll keep trying to update. |
8007 | Tusingekamilisha kupakua visasisho kwa sababu muunganisho wa Mtandao ulipotea. Hakikisha umeunganishwa na tutajaribu tena baadaye. | We couldn't finish downloading updates because the Internet connection was lost. Make sure you're connected and we'll try again later. |
8008 | Visasisho vinapatikana, lakini ni vikubwa zaidi kupakuliwa kupitia mtandao wako wa sasa. Tutapakua visasisho pindi tu utakapounganishwa kwenye Wi-Fi. | Updates are available, but they are too big to download over your current connection. We'll download the updates as soon as you connect to Wi-Fi. |
8009 | Tusingepakua baadhi ya visasisho kwa sababu uliondoka kwenye akaunti yako. Ingia kwa akaunti yako, jaribu kusasisha tena, na usalie kuingia wakati wa kupakua. | We couldn't download some updates because you were signed out of your account. Sign in with your account, try the update again, and stay signed in during the download. |
8010 | Seva ya Betri imewashwa, kwa hivyo tumesitisha vipakuaji. Tutaendelea wakati Seva ya Betri imezimwa au bofya kitufe cha 'Pakua' ili kufanya hivyo sasa. | Battery Saver is on, so we've paused downloads. We'll resume when Battery Saver is off or click the ‘Download’ button to do it now. |
8011 | Kulikuwa na matatizo wakati wa kupakua baadhi ya visasisho, lakini tutajaribu tena baadaye. Iwapo utaendelea kuona hii, jaribu kutafuta wavuti au kuwasiliana na auni kwa msaada. Msimbo huu wa kosa unaweza kusaidia: (%1) | There were problems downloading some updates, but we'll try again later. If you keep seeing this, try searching the web or contacting support for help. This error code might help: (%1) |
8014 | Tusingepakua visasisho kwa sababu matatizo ya mtandao. Tutaendelea kujaribu kupakua. | We couldn't download updates because of network problems. We'll keep trying to download. |
8015 | Tusingesakinisha baadhi ya visasisho kwa sababu kompyuta ilizimwa. | We couldn't install some updates because the PC was turned off. |
8016 | Kiendeshi cha sasa kwenye kompyuta yako kinaweza kuwa bora kuliko kiendesha tunachojaribu kusakinisha . Tutaendelea kujaribu kusakinisha. | A current driver on your PC may be better than the driver we're trying to install. We'll keep trying to install. |
8017 | Baadhi ya visasisho vilikatishwa. Tutaendelea kujaribu iwapo visasisho vipya vitapatikana. | Some updates were cancelled. We'll keep trying in case new updates become available. |
8019 | Tunahitaji kufaanya baadhi ya mabadiliko kwenye kisasisho chako. Tutaendelea kujaribu. | We need to make some changes to your update. We'll keep trying. |
8020 | Tafadhali tusaidie kurekebisha baadhi ya mambo ambayo yanazuia kisasisho chako. | Please help us fix some things that are blocking your update. |
8021 | Eneo la hifadhi ambapo visasisho vilikua vikipakuliwa vilibadilishwa. Hakikisha viendeshi au kadi zozote za kumbukumbu haziondolewi wakati visasisho vinapakuliwa. | The storage location where updates were downloading changed. Make sure any drives or memory cards aren't removed while updates are downloading. |
8022 | Ili kusakinisha kisasisho hiki, kubali Masharti mapya ya Leseni ya Programu. | To install this update, accept the new Software License Terms. |
8023 | Tusingeunganisha kwenye huduma ya visasisho. Tutajaribu tena baadaye, au unaweza kuangalia sasa. Iwapo bado haifanyi kazi, hakikisha umeunganishwa kwenye Mtandao. | We couldn't connect to the update service. We'll try again later, or you can check now. If it still doesn't work, make sure you're connected to the Internet. |
8024 | Tunahitaji nafasi zaidi kwa muda ili kupakua visasisho vyako. Tafadhali ondoa baadhi ya mambo usiyoyahitaji sasa hivi na tutajaribu tena. | We temporarily need more space to download your updates. Please remove some things you don't need right now and we'll try again. |
8025 | Tunahitaji nafasi zaidi kwa muda ili kusakinisha visasisho vyako. Tafadhali ondoa baadhi ya mambo usiyoyahitaji sasa hivi na tutajaribu tena. | We temporarily need more space to install your updates. Please remove some things you don't need right now and we'll try again. |
8026 | Tunakumbana na tatizo kupakua visasisho. Kuwasha upya kifaa chako kunaweza kusaidia. | We're having some trouble downloading updates. Restarting your device may help. |
8027 | Huenda umefuta baadhi ya faili za visasisho kabla ya kusakinishwa. Tutakupakulia faili hizo iwapo bado unazihitaji. | You may have deleted some update files before they could be installed. We'll download those files for you if you still need them. |
8028 | Baadhi ya faili za visasisho hazijawekwa sahihi vilivyo.
Msimbo wa kosa: (%1) |
Some update files aren't signed correctly.
Error code: (%1) |
8029 | Hakikisha muunganisho wako wa Mtandao sio wa mita au kuzurura, na ujaribu kupakua visasisho tena.
Msimbo wa kosa: (%1) |
Make sure your Internet connection isn't metered or roaming, and try downloading updates again.
Error code: (%1) |
8030 | Baadhi ya visasisho havikukamilisha upakuaji. Tutaendelea kujaribu.
Msimbo wa kosa: (%1) |
Some updates didn't finish downloading. We'll keep trying.
Error code: (%1) |
8031 | Hatuwezi kukamilisha kisasisho. Jaribu kuwasha upya kifaa chako na tutajaribu tena.
Msimbo wa kosa: (%1) |
We can't finish the update. Try restarting your device and we'll try again.
Error code: (%1) |
8032 | Baadhi ya faili za kisasisho zinakosekana au zina makosa. Tutajaribu kupakua kisasisho tena baadaye.
Msimbo wa kosa: (%1) |
Some update files are missing or have problems. We'll try to download the update again later.
Error code: (%1) |
8033 | Tusingepata visasisho. Hakikisha umeunganishwa kwenye mtandao wa shirika na ujaribu tena. | We couldn't get updates. Make sure you are connected to your organization's network and try again. |
8034 | Seva ya Betri imewashwa. Chomeka kifaa kabla usakinishe visasisho. | Battery Saver is turned on. Plug in your device before you install updates. |
8035 | Ili kusakinisha visasisho, tunahitaji betri lako kuongezwa nishati hadi 40%. | To install updates, we need your battery charged to 40%. |
8036 | Tusingeweza kuangalia visasisho, kwa sababu hujaunganishwa kwenye Mtandao. Hakikisha kuwa una muunganisho wa WLAN na ujaribu tena. | We couldn't check for updates, because you aren't connected to the Internet. Make sure you have a cellular data or WLAN connection and try again. |
8037 | Visasisho vinapatikana, lakini ni vikubwa zaidi kupakuliwa kupitia muunganisho wako wa sasa. Tutapakua visasisho pindi tu utakapounganishwa kwenye WLAN. | Updates are available, but they are too big to download over your current connection. We'll download the updates as soon as you connect to WLAN. |
8038 | Visasisho vinapatikana. Tutavipakua wakati hutumii muunganisho wa mita, au unaweza kupakua MB %1 - MB %2 kwa kutumia muunganisho wako wa data wa sasa (gharama zinaweza kutekelezwa). Bado unaweza kuhitaji kuunganisha WLAN isiyo ya mita kwa baadhi ya visasisho. | Updates are available. We'll download them when you are not using a metered connection, or you can download %1 MB-%2 MB using your current data connection (charges might apply). You might still need to connect to unmetered WLAN for some updates. |
8039 | Visasisho vinapatikana. Tutavipakua wakati hutumii muunganisho wa mita, au unaweza kupakua MB %1 - GB %2 kwa kutumia muunganisho wako wa data wa sasa (gharama zinaweza kutekelezwa). Bado unaweza kuhitaji kuunganisha WLAN isiyo ya mita kwa baadhi ya visasisho. | Updates are available. We'll download them when you are not using a metered connection, or you can download %1 MB-%2 GB using your current data connection (charges might apply). You might still need to connect to unmetered WLAN for some updates. |
8040 | Visasisho vinapatikana. Tutavipakua wakati hutumii muunganisho wa mita, au unaweza kupakua GB %1 - GB %2 kwa kutumia muunganisho wako wa data wa sasa (gharama zinaweza kutekelezwa). Bado unaweza kuhitaji kuunganisha WLAN isiyo ya mita kwa baadhi ya visasisho. | Updates are available. We'll download them when you are not using a metered connection, or you can download %1 GB-%2 GB using your current data connection (charges might apply). You might still need to connect to unmetered WLAN for some updates. |
8041 | Visasisho vinapatikana. Tutavipakua wakati hutumii muunganisho wa mita, au unaweza kupakua MB %1 kwa kutumia muunganisho wako wa data wa sasa (gharama zinaweza kutekelezwa). Bado unaweza kuhitaji kuunganisha WLAN isiyo ya mita kwa baadhi ya visasisho. | Updates are available. We'll download them when you are not using a metered connection, or you can download %1 MB using your current data connection (charges might apply). You might still need to connect to unmetered WLAN for some updates. |
8042 | Visasisho vinapatikana. Tutavipakua wakati hutumii muunganisho wa mita, au unaweza kupakua GB %1 kwa kutumia muunganisho wako wa data wa sasa (gharama zinaweza kutekelezwa). Bado unaweza kuhitaji kuunganisha WLAN isiyo ya mita kwa baadhi ya visasisho. | Updates are available. We'll download them when you are not using a metered connection, or you can download %1 GB using your current data connection (charges might apply). You might still need to connect to unmetered WLAN for some updates. |
8043 | Visasisho vinapatikana. Tutavipakua wakati hutumii muunganisho wa mita, au unaweza kuvipata sasa kwa kutumia muunganiso wako wa data wa sasa (gharama zinaweza kutekelezwa). Bado unaweza kuhitaji kuunganisha WLAN isiyo ya mita kwa baadhi ya visasisho. | Updates are available. We'll download them when you are not using a metered connection, or you can get them now using your current data connection (charges might apply). You might still need to connect to unmetered WLAN for some updates. |
8044 | Tusingesakinisha visasisho kwa sababu kuna tatizo kwa maelezo ya tarehe na saa kwenye kifaa chako. Hakikisha mipangilio yako ya tarehe, saa, na majira ya saa ni sahihi na tutajaribu tena baadaye. | We couldn't install updates because there's a problem with the date and time information on your device. Make sure your date, time, and time zone settings are correct and we'll try again later. |
8045 | Tutapakua visasisho wakati mwingine utakapochomeka au bofya tu kitufe cha 'pakua' ili kufanya hivyo sasa | We'll download updates next time you're plugged in or just click the 'download' button to do it now |
8046 | Tutasakinisha visasisho wakati mwingine utakapochomeka au bofya tu kitufe cha 'sakinisha' ili kufanya hivyo sasa | We'll install updates next time you're plugged in or just click the 'install' button to do it now |
8047 | Kisasisho kinatayarishwa kwa kifaa chako, lakini bado sio tayari. Tutaendelea kujaribu ama unaweza kujaribu tena. | An update is being prepared for your device, but it’s not quite ready yet. We'll keep trying or you can try again now. |
File Description: | Utekelezaji wa Kishikizi cha Mipangilio ya Kisasisho cha Kisasa |
File Version: | 10.0.15063.0 (WinBuild.160101.0800) |
Company Name: | Microsoft Corporation |
Internal Name: | MusUpdateHandlers.dll |
Legal Copyright: | © Microsoft Corporation. Haki zote zimehifadhiwa. |
Original Filename: | MusUpdateHandlers.dll.mui |
Product Name: | Microsoft® Windows® Operating System |
Product Version: | 10.0.15063.0 |
Translation: | 0x441, 1200 |