File name: | ngccredprov.dll.mui |
Size: | 19968 byte |
MD5: | 6bb5b131a5d83b2581e807d3b5d0fb3c |
SHA1: | 24e1c5d30c3b181caa84a0d79fa6a0c1cf92f0ae |
SHA256: | 2a8ede6dc3e3bd2124a797bb914bcf40addb1af94fde3bd01ce69d010b41934d |
Operating systems: | Windows 10 |
Extension: | MUI |
If an error occurred or the following message in Swahili language and you cannot find a solution, than check answer in English. Table below helps to know how correctly this phrase sounds in English.
id | Swahili | English |
---|---|---|
100 | Kuingia kwa PIN | PIN sign-in |
101 | PIN | PIN |
102 | Kuingia kwenye simu | Phone sign-in |
103 | Ujumbe wa kichwa | Title message |
104 | Ujumbe wa muktadha | Context message |
106 | PIN ya Kazini | Work PIN |
107 | PIN mpya | New PIN |
108 | Thibitisha PIN | Confirm PIN |
109 | Mahitaji ya PIN | PIN requirements |
110 | Maelezo ya sera ya PIN | PIN policy details |
111 | Nimesahau PIN yangu | I forgot my PIN |
112 | Nimesahau PIn yangu ya kazini | I forgot my work PIN |
113 | Maelezo ya kuweka upya PIN | PIN reset details |
114 | Tumia mbinu ambayo haijaorodheshwa hapa | Use a method not listed here |
115 | Sawa | OK |
116 | Jumuisha herufi na alama | Include letters and symbols |
117 | Kifungu chenye changamoto | Challenge phrase |
118 | Jaribu tena | Try again |
119 | Weka upya simu yako | Reset your phone |
120 | Je, hii inamaanisha nini? | What does this mean? |
121 | Jina la mtumiaji | User name |
122 | Nenosiri mpya | New password |
123 | Thibitisha nenosiri | Confirm password |
200 | Stakabadhi zako zisingethibitishwa. | Your credentials could not be verified. |
201 | PIN zilizotolewa hazilingani. | The provided PINs do not match. |
202 | Toa PIN. | Provide a PIN. |
203 | Toa PIN ambayo ina vibambo vyenye herufi (A-Z, a-z), nambari (0-9), nafasi, na vibambo vifuatavyo maalum visivyo na kimeko: ! " # $ % & ’ ( ) * + , - . / : ; ? @ [ \ ] ^ _ ` { | } ~ | Provide a PIN that contains characters limited to unaccented letters (A-Z, a-z), numbers (0-9), space, and the following special characters: ! " # $ % & ’ ( ) * + , - . / : ; ? @ [ \ ] ^ _ ` { | } ~ |
204 | Toa PIN inayofikia mahitaji ya uchangamano. | Provide a PIN that meets the complexity requirements. |
205 | Toa PIN ambayo inafikia mahitaji ya uchangamano. %1!s!. | Provide a PIN that meets the complexity requirements. %1!s!. |
206 | PIN yako lazima iwe na angalau urefu wa vibambo %1!u! | Your PIN must be at least %1!u! characters long |
207 | PIN yako haiwezi kuzidisha vibambo %1!u! | Your PIN can’t be more than %1!u! characters long |
208 | PIN yako ina kibambo batili | Your PIN contains an invalid character |
209 | PIN yako lazima ijumuishe angalau herufi moja kubwa | Your PIN must include at least one uppercase letter |
210 | PIN yako lazima ijumuishe angalau herufi moja ndogo | Your PIN must include least one lowercase letter |
211 | PIN yako lazima ijumuishe angalau nambari moja | Your PIN must include at least one number |
212 | PIN yako lazima ijumuishe angalau kibambo kimoja maalum | Your PIN must include at least one special character |
213 | PIN yako haiwezi kujumuisha herufi kubwa | Your PIN can’t include uppercase letters |
214 | PIN yako haiwezi kujumuisha herufi ndogo | Your PIN can’t include lowercase letters |
215 | PIN yako haiwezi kujumuisha nambari | Your PIN can’t include numbers |
216 | PIN yako haiwezi kujumuisha vibambo maalum | Your PIN can’t include special characters |
218 | PIN sio sahihi. Jaribu tena. | The PIN is incorrect. Try again. |
219 | Kosa la mawasiliano lilitokea kwa kifaa. | A communication error occurred with the device. |
220 | Toa kifungu cha changamoto. | Provide the challenge phrase. |
221 | Kifungu cha changamoto kilichotolewa sio sahihi. | The provided challenge phrase is incorrect. |
222 | Toa PIN ambayo hujawahi kutumia awali. | Provide a PIN that you haven’t used before. |
223 | PIN yako haiwezi kuwa ruwaza ya nambari ya kawaida | Your PIN can’t be a common number pattern |
224 | Toa jina la mtumiaji. | Provide a user name. |
225 | Jina la mtumiaji au PIN sio sahihi. Jaribu tena. | The user name or PIN is incorrect. Try again. |
226 | Manenosiri yaliyotolewa hayalingani. | The provided passwords do not match. |
227 | Toa nenosiri. | Provide a password. |
228 | Msimamizi amezuia kuingia. Ili uingie, hakikisha kifaa chako kimeunganishwa kwenye Intaneti, na uhakikishe msimamizi wako ameingia kwanza. | An administrator has restricted sign in. To sign in, make sure your device is connected to the Internet, and have your administrator sign in first. |
250 | Kifaa chako kiko nje ya mtandao. Ingia ukitumia nywila iliyotumiwa mwisho kwenye kifaa hiki. | Your device is offline. Sign in with the last password used on this device. |
251 | Akaunti hii haiwezi kutumika kwa sababu ni ya shirika. Jaribu akaunti tofauti. | This account can’t be used because it belongs to an organization. Try a different account. |
252 | Huwezi kuingia kwenye kifaa chako sasa. Jaribu nywila ya mwisho uliyotumia kwenye kifaa hiki. | You can’t sign in to your device right now. Try the last password you used on this device. |
302 | Huwezi kuingia kwa akaunti hii. Jaribu akaunti tofauti. | You can’t sign in with this account. Try a different account. |
350 | Akaunti yako ina vizuizi ambavyo vinakuzuia kuingia sasa hivi. Jaribu tena baadaye. | Your account has time restrictions that prevent you from signing in right now. Try again later. |
351 | Akaunti yako imelemazwa. Wasiliana na msimamizi wako wa mfumo. | Your account has been disabled. Contact your system administrator. |
352 | Unahitaji kuunganisha kwa muda kwenye mtandao wa shirika lako ili utumie Windows Hello. Unaweza bado kuingia kwa kutumia chaguo ulilotumia mwisho kuingia kwenye kifaa hiki. | You need to temporarily connect to your organization’s network to use Windows Hello. You can still sign in with the last sign-in option used on this device. |
353 | Mbinu hii ya kuingia unayojaribu kutumia hairuhusiwi kwenye kifaa hiki. Kwa maelezo zaidi, wasiliana na msimamizi wa mfumo wako. | The sign-in method you’re trying to use isn’t allowed on this device. For more information, contact your system administrator. |
354 | Akaunti yako imekwisha muda. Wasiliana na msimamizi wako a mfumo. | Your account has expired. Contact your system administrator. |
355 | Akaunti yako imefungwa. Wasiliana na msimamizi wako wa mfumo. | Your account has been locked out. Contact your system administrator. |
356 | Kontena ya ufunguo kilichoombwa haipo kwenye kifaa. | The requested key container does not exist on the device. |
357 | Cheti kilichoombwa hakipo kwenye kifaa. | The requested certificate does not exist on the device. |
358 | Seti ya ufunguo iliyoombwa haipo kwenye kifaa. | The requested keyset does not exist on the device. |
359 | Kifaa hiki kisingetumiwa. Maelezo ya ziada yanaweza kupatikana kwenye mfumo wa tukio batli. Ripoti kosa hili kwa msimamizi wako wa mfumo. | This device could not be used. Additional details may be available in the system event log. Report this error to your system administrator. |
360 | Cheti kilichotumika kwa uhalishaji kimekwisha muda. | The certificate used for authentication has expired. |
361 | Cheti kilichotumika kwa uhalalishaji kimekataliwa. | The certificate used for authentication has been revoked. |
362 | Mamlaka ya cheti kisichoaminiwa yalitambuliwa wakati wa kuchakata cheti kilichotumika kwa uhalalishaji. | An untrusted certification authority was detected while processing the certificate used for authentication. |
363 | Hali ya kukataliwa ya cheti kilichotumiwa kwa uhalalishaji haingethibitishwa. | The revocation status of the certificate used for authentication could not be determined. |
364 | Cheti kilichotumiwa kwa uhalalishaji hakiaminiwi. | The certificate used for authentication is not trusted. |
365 | Nywila yako imekwisha muda na lazima ibadilishwe. Lazima uingie kwa nywila yako ili uibadilishe. | Your password has expired and must be changed. You must sign in with your password in order to change it. |
366 | Nywila yako imesanidiwa ili kukuzuia kutokana na kutumia kifaa hiki. Jaribu kifaa kingine. | Your account is configured to prevent you from using this device. Try another device. |
367 | Kuingia kumeshindikana. Wasiliana na msimamizi wako wa mfumo na umwambie kuwa cheti cha KDC kisingehalalishwa. Maelezo ya ziada yanaweza kupatikana kwenye mfumo wa tukio batli. | Sign-in failed. Contact your system administrator and tell them that the KDC certificate could not be validated. Additional information may be available in the system event log. |
368 | Kuingia kwa kutumia kifaa hiki hakukubaliwi kwa akaunti yako. Wasiliana na msimamizi wa mfumo wako kwa maelezo zaidi. | Signing in with this device isn’t supported for your account. Contact your system administrator for more information. |
369 | Chaguo hilo halipatikani kwa muda, Kwa sasa, tafadhali tumia mbinu tofauti kuingia. | That option is temporarily unavailable. For now, please use a different method to sign in. |
400 | Nywila yako imekwisha muda. Lazima uingie kwa kutumia nywila yako na uibadilishe. Baada ya kubadilisha nywila yako, unaweza kuingia kwa kutumia PIN yako. | Your password has expired. You must sign in with your password and change it. After you change your password, you can sign in with your PIN. |
401 | Nywila yako imebadilishwa kwenye kifaa tofauti. Lazima uingie kwenye kifaa hiki mara moja kwa nywila yako mpya, na kisha unaweza kuingia kwa kutumia PIN yako. | Your password was changed on a different device. You must sign in to this device once with your new password, and then you can sign in with your PIN. |
500 | Shirika lako limeweka mahitaji yafuatayo ya PIN: Lazima iwe angalau na urefu wa vibambo %1!u! Haiwezi kuzidisha vibambo %2!u! %3!s! %4!s! %5!s! %6!s! %7!s! |
Your organization has set the following PIN requirements: Must be at least %1!u! characters long Can’t be longer than %2!u! characters %3!s! %4!s! %5!s! %6!s! %7!s! |
501 | Inaweza kujumuisha herufi kubwa | May include uppercase letters |
502 | Inaweza kujumuisha herufi ndogo | May include lowercase letters |
503 | Inaweza kujumuisha dijiti | May include digits |
504 | Inaweza kujumuisha vibambo maalum | May include special characters |
505 | Lazima ijumuishe angalau herufi moja kubwa | Must include at least one uppercase letter |
506 | Lazima ijumuishe angalau herufi moja ndogo | Must include at least one lowercase letter |
507 | Lazima ijumuishe angalau nambari moja | Must include at least one number |
508 | Lazima ijumuishe angalau kibambo kimoja maalum | Must include at least one special character |
509 | Haiwezi kujumuisha herufi kubwa | Can’t include uppercase letters |
510 | Haiwezi kujumuisha herufi ndogo | Can’t include lowercase letters |
511 | Haiwezi kujumuisha dijiti | Can’t include digits |
512 | Haiwezi kujumuisha vibambo maalum | Can’t include special characters |
513 | Umeingiza PIN isiyo sahihi mara nyingi. Ili kujaribu tena, washa upya kifaa chako. |
You’ve entered an incorrect PIN too many times. To try again, restart your device. |
514 | Ukiingiza tena PIN isiyo sahihi, tutafuta maudhui yote ya kibinafsi kwenye kifaa hiki. Huenda ukataka kuwasiliana na mtu wako wa usaidizi kabla ujaribu tena. |
If you enter the wrong PIN again, we’ll erase all personal content from this device. You might want to contact your support person before trying again. |
515 | Umeingiza PIN isiyo sahihi mara kadhaa. %1!s! Ili ujaribu tena, ingiza %2!s! hapa chini. |
You’ve entered an incorrect PIN several times. %1!s! To try again, enter %2!s! below. |
516 | A1B2C3 | A1B2C3 |
517 | Shirika lako linahitaji ubadilishe PIN yako. | Your organization requires that you change your PIN. |
518 | Kwa usalama, shirika lako linahitaji kifaa chako kilindwe kwa PIN. | For security, your organization requires that your device be protected by a PIN. |
519 | Ili kuingia, tumia programu ya Kihalalishaji cha Microsoft kwenye simu yako. | To sign in, use the Microsoft Authenticator app on your phone. |
520 | Shirika lako linahitaji ubadilishe nenosiri lako. | Your organization requires that you change your password. |
521 | Badilisha nenosiri lako | Change your password |
522 | Kuingiza PIN hapa kutawasha pia Windows Hello. | Entering a PIN here will also turn on Windows Hello. |
523 | Unaweza kuweka upya PIN yako kwa kuenda kwenye chaguo za Mipangilio Akaunti Kuingia. | You can reset your PIN by going to Settings Accounts Sign-in options. |
524 | Badilisha PIN yako | Change your PIN |
525 | Badilisha PIN yako ya kazini | Change your work PIN |
526 | Sanidi PIN | Set up a PIN |
527 | Sanidi PIN ya kazini | Set up a work PIN |
528 | Kifaa hiki kimefungwa kwa sababu ya majaribio yaliyoshindikana ya kuingia au kuzima mara kwa mara. Hakikisha kifaa chako kimewashwa kwa angalau %1!u! %2!s! na kisha ujaribu tena. | This device is locked because of failed sign-in attempts or repeated shutdowns. Keep your device powered on for at least %1!u! %2!s! and then try again. |
529 | Tatizo limetokea (msimbo: 0x%1!x!). Washa upya kifaa chako ili uone iwapo hiyo itarekebisha tatizo. | Something went wrong (code: 0x%1!x!). Restart your device to see if that fixes the problem. |
530 | Tatizo limetokea (msimbo: 0x%1!x!). Bofya kiungo hapa chini ili kupuuza ujumbe huu wa kosa na ujaribu tena. | Something went wrong (code: 0x%1!x!). Click the link below to dismiss this error message and try again. |
531 | Shirika lako limeweka mahitaji yafuatayo ya PIN: Lazima iwe angalau dijiti %1!u! kwa urefu %2!s! %3!s! |
Your organization has set the following PIN requirements: Must be at least %1!u! digits long %2!s! %3!s! |
532 | Haiwezi kuzidisha urefu wa dijiti %1!u! | Can’t be longer than %1!u! digits |
533 | Haiwezi kuwa ruwaza ya nambari (kama vile 123456 au 11111) | Can’t be a number pattern (such as 123456 or 11111) |
534 | Tatizo limetokea. Nenda kwenye kuingia kwa Simu kwa maelezo zaidi. | Something went wrong. Go to Phone sign-in for more information. |
535 | Bluetooth imezimwa au haipatikani kwenye kifaa hiki. Kuingia kwenye simu kunahitaji Bluetooth. | Bluetooth is turned off or not available on this device. Phone sign-in requires Bluetooth. |
536 | Iwapo uko tayari kuingia kwa simu, unaweza kutumia chaguo hili ili kufungua kompyuta hii kwa simu inayodhibitiwa na shirika lako. Iwapo halikusaidii, chagua chaguo jingine la akaunti yako. | If you’re set up for phone sign-in, you can use this option to unlock this PC with a phone managed by your organization. If this doesn’t apply to you, choose another sign-in option for your account. |
537 | Tumetuma taarifa kwa %1!s!. Fuata maagizo kwenye simu yako. Iwapo hukupokea kidokezo, jaribu kufungua programu ya Kihalalishaji cha Microsoft. | We sent a notification to %1!s!. Follow the instructions on your phone. If you didn’t get the note, try opening the Microsoft Authenticator app. |
538 | Bluetooth imezimwa au haipatikani kwenye kifaa hiki. Iwapo una Bluetooth, iwashe kwa kuenda kwenye Mipangilio Vifaa Bluetooth. | Bluetooth is turned off or not available on this device. If you have Bluetooth, turn it on by going to Settings Devices Bluetooth. |
539 | Hatuwezi kuunganisha kwenye %1!s!. Hakikisha kuwa simu yako iiko katika masafa na Bluetooth imewashwa kwenye (Mipangilio Vifaa Bluetooth). | We can’t connect to %1!s!. Ensure your phone is in range and Bluetooth is turned on (Settings Devices Bluetooth). |
540 | Tatizo limetokea (msimbo: 0x%1!x!). | Something went wrong (code: 0x%1!x!). |
541 | Tatizo limetokea | Something went wrong |
542 | Simu yako ina tatizo la usalama, kwa hivyo tumeifunga ili kuzuia ufikiaji usioidhinishwa wa data yako. Unaweza kudonoa kiungo kilicho hapa chini ili uweke upya simu yako na urekebishe tatizo hilo. Data yoyote ambayo haijachelezwa kwenye wingu itapotea utakapoweka upya simu yako. | Your phone has a security problem, so we locked it to prevent unauthorized access to your data. You can tap the link below to reset your phone and fix the problem. Any data that is not backed up to the cloud will be lost when you reset your phone. |
543 | Inajaribu tena... | Trying again... |
544 | Chaguo hili la kuingia limelemazwa kwa sababu ya majaribio yaliyoshindikana ya kuingia au kuzima mara kwa mara. Tumia chaguo tofauti la kuingia, au hakikisha kifaa chako kimewashwa hadi kifaa chako kikuruhusu kujaribu tena. | This sign-in option is disabled because of failed sign-in attempts or repeated shutdowns. Use a different sign-in option, or keep your device powered on until your device allows you to try again. |
545 | Umeingiza PIN isiyo sahihi mara nyingi sana. PIN yako imelemazwa kwa %1!u! %2!s!. |
You’ve entered an incorrect PIN too many times. Your PIN is disabled for %1!u! %2!s!. |
546 | sekunde | seconds |
547 | dakika | minute |
549 | saa | hour |
551 | Chaguo hili la kuingia limelemazwa kwa sababu ya majaribio yaliyoshindikana ya kuingia au kuzima mara kwa mara. Tumia chaguo tofauti la kuingia, au hakikisha kifaa chako kimewashwa kwa angalau %1!u! %2!s! na ujaribu tena. | This sign-in option is disabled because of failed sign-in attempts or repeated shutdowns. Use a different sign-in option, or keep your device powered on for at least %1!u! %2!s! and then try again. |
552 | %1!s! Unaweza pia kufungua kifaa chako kwa mbali kwa kufuata maagizo kwenye http://aka.ms/unlockdevice. |
%1!s! You can also unlock your device remotely by following the instructions at http://aka.ms/unlockdevice. |
553 | %1!s! Mtu wako wa usaidizi wa IT anaweza pia kukusaidia kufungua kifaa chako. |
%1!s! Your IT support person may also be able to help you unlock your device. |
File Description: | Mtoaji huduma ya Stakabadhi za Paspoti ya Microsoft |
File Version: | 10.0.15063.0 (WinBuild.160101.0800) |
Company Name: | Microsoft Corporation |
Internal Name: | ngccredprov |
Legal Copyright: | © Microsoft Corporation. Haki zote zimehifadhiwa. |
Original Filename: | ngccredprov.dll.mui |
Product Name: | Microsoft® Windows® Operating System |
Product Version: | 10.0.15063.0 |
Translation: | 0x441, 1200 |