If an error occurred or the following message in Swahili language and you cannot find a solution, than check answer in English. Table below helps to know how correctly this phrase sounds in English.
| id |
Swahili |
English |
| 1591 | Uliza idhini |
Ask for permission |
| 1592 | Utahitaji kuuliza mtu mzima kwenye familia yako iwapo unaweza kutumia {0}. |
You'll need to ask an adult in your family if you can use {0}. |
| 1593 | Hatuwezi kuunganisha sasa hivi ili kuomba idhini. Tafadhali jaribu tena baada ya muda mfupi. |
We can't connect right now to request permission. Please try again in a little bit. |
| 1594 | Microsoft Corporation |
Microsoft Corporation |
| 1595 | Uliza kwa barua pepe |
Ask by email |
| 1596 | Katisha |
Cancel |
| 1598 | Watu wazima kwenye familia yako wanaweza kutumia kifaa hiki kukutafuta kwenye ramani. |
Adults in your family can use this device to find you on a map. |
| 1599 | Familia yako inatumia vipengele vya familia vya Microsoft. Jifunze zaidi kuhusu hili, na aungalie ni nani aliye kwenye familia yako. |
Your family is using Microsoft family features. Learn more about this, and check who else is in your family. |
| 1600 | Funga |
Close |
| 1601 | Ombi limetumwa |
Request sent |
| 1602 | Ombi lako limetumwa kwa watu wazima kwenye familia yako |
Your request has been sent to adults in your family |
| 1603 | Tatizo lilitokea |
Something went wrong |
| 1604 | Hatuwezi kutuma ombi lako. Je, umeunganishwa kwenye Mtandao? |
We were unable to send your request. Are you connected to the Internet? |
| 1700 | Unahitaji kuthibitisha akaunti yako katika programu ya Mipangilio kabla uweze kutuma maombi ya idhini. |
You need to verify your account in the Settings app before you can send permission requests. |
| 32000 | Vipengele vya familia vya Microsoft |
Microsoft family features |
| 32012 | Hulandanisha mipangilio ya hivi karibuni kwa huduma ya vipengele vya familia ya Microsoft. |
Synchronizes the latest settings with the Microsoft family features service. |