File name: | ngckeyenum.dll.mui |
Size: | 14848 byte |
MD5: | 5e20e49dd10b5fede4bd9efebd5998c0 |
SHA1: | 524246d02ef1dce4a1c41bfb63a6195019afdccf |
SHA256: | 502d6689b6184f020a7f35708a0aa842dec63daef7106b642d9098bda0a661b0 |
Operating systems: | Windows 10 |
Extension: | MUI |
If an error occurred or the following message in Swahili language and you cannot find a solution, than check answer in English. Table below helps to know how correctly this phrase sounds in English.
id | Swahili | English |
---|---|---|
200 | Stakabadhi zako haziwezi kuthibitishwa. | Your credentials could not be verified. |
201 | PIN zilizotolewa hazilingani. | The provided PINs do not match. |
202 | Toa PIN. | Provide a PIN. |
203 | Toa PIN ambayo ina vibambo vyenye herufi (A-Z, a-z), nambari (0-9), nafasi, na vibambo vifuatavyo maalum visivyo na kimeko: ! " # $ % & ’ ( ) * + , - . / : ; ? @ [ \ ] ^ _ ` { | } ~ | Provide a PIN that contains characters limited to unaccented letters (A-Z, a-z), numbers (0-9), space, and the following special characters: ! " # $ % & ’ ( ) * + , - . / : ; ? @ [ \ ] ^ _ ` { | } ~ |
204 | Toa PIN inayofikia mahitaji ya uchangamano. | Provide a PIN that meets the complexity requirements. |
205 | Toa PIN ambayo inafikia mahitaji ya uchangamano. %1!s!. | Provide a PIN that meets the complexity requirements. %1!s!. |
206 | PIN yako lazima iwe na angalau urefu wa vibambo %1!u! | Your PIN must be at least %1!u! characters long |
207 | PIN yako haiwezi kuzidisha vibambo %1!u! | Your PIN can’t be more than %1!u! characters long |
208 | PIN yako ina kibambo batili | Your PIN contains an invalid character |
209 | PIN yako lazima ijumuishe angalau herufi moja kubwa | Your PIN must include at least one uppercase letter |
210 | PIN yako lazima ijumuishe angalau herufi moja ndogo | Your PIN must include least one lowercase letter |
211 | PIN yako lazima ijumuishe angalau nambari moja | Your PIN must include at least one number |
212 | PIN yako lazima ijumuishe angalau kibambo kimoja maalum | Your PIN must include at least one special character |
213 | PIN yako haiwezi kujumuisha herufi kubwa | Your PIN can’t include uppercase letters |
214 | PIN yako haiwezi kujumuisha herufi ndogo | Your PIN can’t include lowercase letters |
215 | PIN yako haiwezi kujumuisha nambari | Your PIN can’t include numbers |
216 | PIN yako haiwezi kujumuisha vibambo maalum | Your PIN can’t include special characters |
218 | PIN sio sahihi. Jaribu tena. | The PIN is incorrect. Try again. |
219 | Kosa la mawasiliano lilitokea kwa kifaa. | A communication error occurred with the device. |
220 | Toa kifungu cha changamoto. | Provide the challenge phrase. |
221 | Kifungu cha changamoto kilichotolewa sio sahihi. | The provided challenge phrase is incorrect. |
222 | Toa PIN ambayo hujawahi kutumia awali. | Provide a PIN that you haven’t used before. |
223 | PIN yako haiwezi kuwa ruwaza ya nambari ya kawaida | Your PIN can’t be a common number pattern |
224 | Nywila yako imekwisha muda na lazima ibadilishwe. Ingia kwa PIN yako ili uibadilishe. | Your password has expired and must be changed. Sign in with your PIN in order to change it. |
225 | Msimamizi amezuia kuingia. Ili uingie, hakikisha kifaa chako kimeunganishwa kwenye Intaneti, na uhakikishe msimamizi wako ameingia kwanza. | An administrator has restricted sign in. To sign in, make sure your device is connected to the Internet, and have your administrator sign in first. |
250 | Kifaa chako kiko nje ya mtandao. Ingia ukitumia nywila iliyotumiwa mwisho kwenye kifaa hiki. | Your device is offline. Sign in with the last password you used on this device. |
251 | Akaunti hii haiwezi kutumika kwa sababu ni ya shirika. Jaribu akaunti tofauti. | This account can’t be used because it belongs to an organization. Try a different account. |
252 | Huwezi kuingia kwenye kifaa chako sasa. Jaribu nywila ya mwisho uliyotumia kwenye kifaa hiki. | You can’t sign in to your device right now. Try the last password you used on this device. |
302 | Huwezi kuingia kwa akaunti hii. Jaribu akaunti tofauti. | You can’t sign in with this account. Try a different account. |
350 | Akaunti yako ina vizuizi ambavyo vinakuzuia kuingia sasa hivi. Jaribu tena baadaye. | Your account has time restrictions that prevent you from signing in right now. Try again later. |
351 | Akaunti yako imelemazwa. Wasiliana na msimamizi wako wa mfumo. | Your account has been disabled. Contact your system administrator. |
352 | Unahitaji kuunganisha kwa muda kwenye mtandao wa shirika lako ili utumie Windows Hello. Unaweza bado kuingia kwa kutumia chaguo ulilotumia mwisho kuingia kwenye kifaa hiki. | You need to temporarily connect to your organization’s network to use Windows Hello. You can still sign in with the last sign-in option used on this device. |
353 | Mbinu hii ya kuingia unayojaribu kutumia hairuhusiwi kwenye kifaa hiki. Kwa maelezo zaidi, wasiliana na msimamizi wako wa mfumo. | The sign-in method you're trying to use isn't allowed on this device. For more information, contact your system administrator. |
354 | Akaunti yako imekwisha muda. Wasiliana na msimamizi wako wa mfumo. | Your account has expired. Contact your system administrator. |
355 | Akaunti yako imefungwa. Wasiliana na msimamizi wako wa mfumo. | Your account has been locked out. Contact your system administrator. |
356 | Kontena ya ufunguo kilichoombwa haipo kwenye kifaa. | The requested key container does not exist on the device. |
357 | Cheti kilichoombwa hakipo kwenye kifaa. | The requested certificate does not exist on the device. |
358 | Seti ya ufunguo iliyoombwa haipo kwenye kifaa. | The requested keyset does not exist on the device. |
359 | Kifaa hiki kisingetumiwa. Maelezo ya ziada yanaweza kupatikana kwenye mfumo wa tukio batli. Ripoti kosa hili kwa msimamizi wako wa mfumo. | This device could not be used. Additional details may be available in the system event log. Report this error to your system administrator. |
360 | Cheti kilichotumika kwa uhalalishaji kimekwisha muda. | The certificate used for authentication has expired. |
361 | Cheti kilichotumika kwa uhalalishaji kimekataliwa. | The certificate used for authentication has been revoked. |
362 | Mamlaka ya cheti kisichoaminiwa yalitambuliwa wakati wa kuchakata cheti kilichotumika kwa uhalalishaji. | An untrusted certification authority was detected while processing the certificate used for authentication. |
363 | Hali ya kukataliwa ya cheti kilichotumiwa kwa uhalalishaji haingethibitishwa. | The revocation status of the certificate used for authentication could not be determined. |
364 | Cheti kilichotumiwa kwa uhalalishaji hakiaminiwi. | The certificate used for authentication is not trusted. |
365 | Nywila yako imekwisha muda na lazima ibadilishwe. Lazima uingie kwa nywila yako ili uibadilishe. | Your password has expired and must be changed. You must sign in with your password in order to change it. |
366 | Nywila yako imesanidiwa ili kukuzuia kutokana na kutumia kifaa hiki. Jaribu kifaa kingine. | Your account is configured to prevent you from using this device. Try another device. |
367 | Kuingia kumeshindikana. Wasiliana na msimamizi wako wa mfumo na umwambie kuwa cheti cha KDC kisingehalalishwa. Maelezo ya ziada yanaweza kupatikana kwenye mfumo wa tukio batli. | Sign-in failed. Contact your system administrator and tell them that the KDC certificate could not be validated. Additional information may be available in the system event log. |
368 | Kuingia kwa kifaa hiki hakuauniwi kwa akaunti yako. Wasiliana na msimamizi wako wa mfumo kwa maelezo zaidi. | Signing in with this device isn't supported for your account. Contact your system administrator for more information. |
369 | Chaguo hilo halipatikani kwa muda, Kwa sasa, tafadhali tumia mbinu tofauti kuingia. | That option is temporarily unavailable. For now, please use a different method to sign in. |
400 | Nywila yako imekwisha muda. Lazima uingie kwa kutumia nywila yako na uibadilishe. Baada ya kubadilisha nywila yako, unaweza kuingia kwa kutumia Windows Hello. | Your password has expired. You must sign in with your password and change it. After you change your password, you can sign in with Windows Hello. |
401 | Nywila yako imebadilishwa kwenye kifaa tofauti. Lazima uingie kwenye kifaa hiki mara moja kwa kutumia nywila yako mpya, na kisha unaweza kuingia kwa kutumia Windows Hello. | Your password was changed on a different device. You must sign in to this device once with your new password, and then you can sign in with Windows Hello. |
450 | Kifaa chako kiliwashwa upya. Ingiza PIN yako. | Your device restarted. Enter your PIN. |
451 | Ingiza PIN yako. | Enter your PIN. |
500 | Shirika lako limeweka mahitaji yafuatayo ya PIN: Lazima iwe angalau na urefu wa vibambo %1!u! Haiwezi kuzidisha vibambo %2!u! %3!s! %4!s! %5!s! %6!s! %7!s! |
Your organization has set the following PIN requirements: Must be at least %1!u! characters long Can’t be longer than %2!u! characters %3!s! %4!s! %5!s! %6!s! %7!s! |
501 | Inaweza kujumuisha herufi kubwa | May include uppercase letters |
502 | Inaweza kujumuisha herufi ndogo | May include lowercase letters |
503 | Inaweza kujumuisha dijiti | May include digits |
504 | Inaweza kujumuisha vibambo maalum | May include special characters |
505 | Lazima ijumuishe angalau herufi moja kubwa | Must include at least one uppercase letter |
506 | Lazima ijumuishe angalau herufi moja ndogo | Must include at least one lowercase letter |
507 | Lazima ijumuishe angalau nambari moja | Must include at least one number |
508 | Lazima ijumuishe angalau kibambo kimoja maalum | Must include at least one special character |
509 | Haiwezi kujumuisha herufi kubwa | Can’t include uppercase letters |
510 | Haiwezi kujumuisha herufi ndogo | Can’t include lowercase letters |
511 | Haiwezi kujumuisha dijiti | Can’t include digits |
512 | Haiwezi kujumuisha vibambo maalum | Can’t include special characters |
513 | Umeingiza PIN isiyo sahihi mara nyingi. Ili kujaribu tena, washa upya kifaa chako. |
You’ve entered an incorrect PIN too many times. To try again, restart your device. |
514 | Umeingiza PIN isiyo sahihi mara kadhaa. %1!s! Ili ujaribu tena, ingiza %2!s! hapa chini. |
You’ve entered an incorrect PIN several times. %1!s! To try again, enter %2!s! below. |
515 | A1B2C3 | A1B2C3 |
516 | Shirika lako linahitaji ubadilishe PIN yako. | Your organization requires that you change your PIN. |
517 | Tumia programu ya Kihalalishaji cha Microsoft kwenye simu yako kuingia. Angalia jina la kifaa hapo juu ili kutambua kompyuta hii. | Use the Microsoft Authenticator app on your phone to sign in. Look for the device name above to identify this PC. |
518 | Kifaa cha mbali kimeunganishwa. Ingiza PIN yako kwenye kifaa chako cha mbali. |
The remote device is connected. Enter your PIN on your remote device. |
519 | Kifaa cha mbali hakijaunganishwa. Hakikisha kuwa kifaa chako kiko kwenye masafa na kuwa redio yake inasambaza. Bofya kiungo cha hapa chini ili kujaribu kuunganisha tena. |
The remote device is not connected. Ensure that your device is in range and that its radio is transmitting. Click the link below to try to connect again. |
520 | Shirika lako limeweka mahitaji yafuatayo ya PIN: Lazima yawe angalau dijiti %1!u! kwa urefu %2!s! %3!s! |
Your organization has set the following PIN requirements: Must be at least %1!u! digits long %2!s! %3!s! |
521 | Haiwezi kuzidisha urefu wa dijiti %1!u! | Can’t be longer than %1!u! digits |
522 | Haiwezi kuwa ruwaza ya nambari (kama vile 123456 au 11111) | Can’t be a number pattern (such as 123456 or 11111) |
523 | Kifaa hiki kimefungwa kwa sababu za usalama. Unganisha kifaa chako kwenye chanzo cha nishati kwa angalau saa mbili, na kisha ukiwashe upya ili ujaribu tena. | This device has been locked for security reasons. Connect your device to a power source for at least two hours, and then restart it to try again. |
524 | Chaguo hili la kuingia limefungwa kwa sababu za usalama. Tumia chaguo tofauti za kuingia au unganisha kifaa chako kwa nishati kwa angalau saa mbili, kisha ukiwashe upya ili ujaribu tena. | This sign-in option has been locked for security reasons. Use a different sign-in option or connect your device to a power source for at least two hours, and then restart it to try again. |
File Description: | Kidhibiti cha Ukokotozi wa Kitufe cha Paspoti ya Microsoft |
File Version: | 10.0.15063.0 (WinBuild.160101.0800) |
Company Name: | Microsoft Corporation |
Internal Name: | ngckeyenum |
Legal Copyright: | © Microsoft Corporation. Haki zote zimehifadhiwa. |
Original Filename: | ngckeyenum.dll.mui |
Product Name: | Microsoft® Windows® Operating System |
Product Version: | 10.0.15063.0 |
Translation: | 0x441, 1200 |