| 110 | Klipu ya mchezo imerekodiwa |
Game clip recorded |
| 112 | Picha ya skrini imehifadhiwa |
Screenshot saved |
| 113 | Usionyeshe hili tena |
Don't show this again |
| 114 | Kurekodi sauti kumezimwa |
Audio recording is off |
| 115 | Ongeza muda wa kurekodi |
Increase recording time |
| 116 | Punguza muda wa kurekodi |
Decrease recording time |
| 117 | Kompyuta hii haiwezi kurekodi klipu. Jifunze zaidi |
This PC can't record clips. Learn more |
| 118 | Samahani, kompyuta hii haitimizi mahitaji ya maunzi ya kurekodi klipu. Jifunze zaidi |
Sorry, this PC doesn't meet the hardware requirements for recording clips. Learn more |
| 119 | Samahani, kompyuta hii haitimizi mahitaji ya maunzi ya kurekodi klipu. Kwa maelezo zaidi, nenda kwenye mipangilio ya upau wa Mcheza. |
Sorry, this PC doesn't meet the hardware requirements for recording clips. For more info, go to Game bar settings. |
| 120 | Haiwezi kurekodi sasa hivi. Jaribu tena baadaye. |
Can't record right now. Try again later. |
| 121 | Haiwezi kuhifadhi picha ya skrini. Jaribu tena baadaye. |
Can't save the screenshot. Try again later. |
| 122 | Kurekodi katika mandharinyuma kumezimwa. Kuwashe na ujaribu tena. |
Background recording is turned off. Turn it on and try again. |
| 123 | Hakuna kitu cha kurekodi. Cheza zaidi na ujaribu tena. |
There's nothing to record. Play some more and try again. |
| 124 | Haiwezi kuhifadhi klipu. Angalia nafasi ya diski yako na ujaribu tena. |
Can't save the clip. Check your disk space and try again. |
| 125 | Washa upya mchezo wako na ujaribu kurekodi tena. |
Restart your game and try recording again. |
| 126 | Haiwezi kurekodi maikrofoni yako. |
Can't record your microphone. |
| 127 | Tayari unarekodi klipu. Kamilisha hiyo na ujaribu tena. |
You're already recording a clip. Finish that one and try again. |
| 128 | Mchezo huu hauruhusu kurekodi. |
This game doesn't allow recording. |
| 129 | Game DVR imezimwa. Wasiliana na msimamizi wako ili kuiwasha tena. |
Game DVR has been turned off. Contact your admin to turn it back on. |
| 130 | Utangazaji (Win+Alt+B) |
Broadcast (Win+Alt+B) |
| 131 | Katisha |
Cancel |
| 132 | Anzisha utangazaji |
Start broadcast |
| 133 | Sanidi Utangazaji |
Configure Broadcast |
| 134 | Maikrofoni imewashwa |
Microphone on |
| 135 | Kamera imewashwa |
Camera on |
| 136 | Utangazaji |
Broadcasting |
| 137 | Kichwa cha utangazaji: |
Broadcast title: |
| 139 | Inapakia |
Loading |
| 140 | Bonyeza ESC ili kufunga |
Press ESC to close |
| 141 | Tumia kibodi yako kufikia upau wa Mchezo |
Use your keyboard to get around the Game bar |
| 143 | Uhakiki wa Utangazaji |
Broadcast preview |
| 144 | Dirisha la utangazaji |
Broadcasting window |
| 145 | Mchezo: |
Game: |
| 146 | Unaonekana hivi |
Here's how you look |
| 147 | Ili kuanza kutangaza, ingia kwenye Xbox Live. |
To start broadcasting, sign into Xbox Live. |
| 148 | Ili kutangaza, utahitaji kuingia kwa mtoa huduma wa utangazaji. |
To broadcast, you'll need to sign in with a broadcast provider. |
| 149 | Game DVR |
Game DVR |
| 150 | Washa kurekodi katika mandharinyuma |
Turn on background recording |
| 153 | Eneo kazi |
Desktop |
| 154 | Dirisha la utangazaji |
Broadcasting window |
| 155 | Dirisha la awali la utangazaji |
Broadcasting window previous |
| 156 | Dirisha linalofuata la utangazaji |
Broadcasting window next |
| 158 | Kosa la kurekodi kwa maikrofoni |
Microphone recording error |
| 159 | Maikrofoni ya kurekodi |
Record mic |
| 160 | Anzilishi |
Get started |
| 161 | Haiwezi kuhifadhi rekodi yako. Hakikisha kabrasha lako la kunasa linaruhusu faili kuhifadhiwa. |
Can't save your recording. Make sure your captures folder allows files to be saved. |
| 162 | Mkao wa kamera |
Camera position |
| 163 | Mkao wa Zamani wa Kamera |
Previous Camera Position |
| 164 | Mkao Ufuatao wa kamera |
Next Camera Position |
| 165 | Haipatikani |
Unavailable |
| 180 | Bonyeza Win + G ili kufungua upau wa Mchezo |
Press Win + G to open Game bar |
| 181 | Bonyeza Win + G ili kurekodi klipu ya mchezo |
Press Win + G to record a game clip |
| 183 | Bonyeza Win + G ili kupiga picha ya skrini |
Press Win + G to take a screenshot |
| 190 | Bonyeza kitufe cha Xbox ili kufungua upau wa Mchezo |
Press the Xbox button to open Game bar |
| 200 | Xbox |
Xbox |
| 201 | Anza kurekodi (Win+Alt+R) |
Start recording (Win+Alt+R) |
| 202 | Rekodi hiyo (Win+Alt+G) |
Record that (Win+Alt+G) |
| 203 | Mipangilio |
Settings |
| 204 | Picha skrini (Win+Alt+PrtScn) |
Screenshot (Win+Alt+PrtScn) |
| 205 | Komesha kurekodi (Win+Alt+R) |
Stop recording (Win+Alt+R) |
| 206 | Sogeza |
Move |
| 207 | Nenda kwenye programu ya Xbox ili uone mipangilio zaidi |
Go to the Xbox app to see more settings |
| 208 | Je, unataka kurekodi kwa mwambaa wa Mchezo? Tutatia alama kwenye hii kama mchezo |
Record with Game bar? We'll mark this as a game |
| 209 | Je, unataka kupiga picha ya skrini kwa mwambaa wa Mchezo? Tutatia alama kwenye hii kama mchezo |
Screenshot with Game bar? We'll mark this as a game |
| 210 | Je, unataka kufungua upau wa Mchezo? |
Do you want to open Game bar? |
| 211 | Ndiyo, huu ni mchezo. |
Yes, this is a game. |
| 213 | Rekodi mchezo kwenye mandharinyuma |
Record game in the background |
| 217 | Klipu |
Clips |
| 218 | Onyesha kipima muda ninaporekodi |
Show timer while I'm recording |
| 220 | Onyesha vidokezo ninapoanza mchezo |
Show tips when I start a game |
| 221 | Kumbuka hii kama mchezo |
Remember this as a game |
| 223 | sekunde |
seconds |
| 224 | dakika |
minutes |
| 225 | saa |
hour |
| 228 | Hitilafu ilitokea na hatukuweza kubadilisha mipangilio yako. Jaribu tena baadaye. |
Something went wrong and we couldn't change your settings. Try again later. |
| 229 | Kurekodi katika mandharinyuma kumezimwa ukiwa kwenye betri. Chopeka kompyuta yako au ubadilishe mpangilio na ujaribu tena. |
Background recording is turned off while you're on battery. Plug in your PC or change the setting and try again. |
| 230 | Kurekodi katika mandharinyuma kumezimwa ukitumia onyesho pasiwaya. Unganisha kwenye onyesho jingine au badilisha mpangilio na ujaribu tena. |
Background recording is turned off while you're using a wireless display. Connect to another display or change the setting and try again. |
| 231 | Funga |
Close |
| 232 | Bonyeza ili kufungua upau wa Mchezo |
Press to open Game bar |
| 233 | Programu hii haiwezi kurekodiwa. |
This app can't be recorded. |
| 234 | (Inaweza kuathiri utendaji) |
(Might affect performance) |
| 235 | Fungua upau wa Mchezo ukitumia kitufe cha Xbox kwenye kidhibiti |
Open Game bar using the Xbox button on a controller |
| 236 | Fungua upau wa Mchezo ukitumia kwenye kidhibiti |
Open Game bar using on a controller |
| 238 | Sogeza kipima muda |
Move timer |
| 239 | Samahani, kompyuta yako haitimizi mahitaji ya maunzi ya DVR ya Mchezo. |
Sorry, your PC doesn't meet the hardware requirements for Game DVR. |
| 240 | Kurekodi mchezo kutasukuma vipimo vya kompyuta hii na kunaweza kuathiri ubora wa kompyuta yako. |
Game recording will push the limits of this PC and could affect your PC's quality. |
| 241 | Nimeelewa |
Got it |
| 243 | Pata maelezo zaidi |
Learn more |
| 244 | Tupatie majibu |
Give us feedback |
| 245 | Maunzi ya kompyuta yanaweza kuathiri ubora |
PC hardware might affect quality |
| 246 | Jaribu tena baadaye. Bado tunahifadhi picha yako ya mwisho ya skrini. |
Try again later. We're still saving your last screenshot. |
| 247 | Haiwezi kurekodi klipu hii ya mchezo. Unaendesha programu ambayo hairuhusu kurekodi klipu ya mchezo. |
Can't record this game clip. You're running an app or game that doesn't allow game clip recording. |
| 250 | Fungua upau wa Mchezo (Win + G) |
Open Game bar (Win + G) |
| 251 | Rekodi hiyo (Win + Alt + G) |
Record that (Win + Alt + G) |
| 252 | Anza/komesha kurekodi (Win + Alt + R) |
Start/stop recording (Win + Alt + R) |
| 253 | Piga picha ya skrini (Win + Alt + PrtScn) |
Take screenshot (Win + Alt + PrtScn) |
| 254 | Onyesha/ficha kipima muda cha kurekodi (Win + Alt + T) |
Show/hide recording timer (Win + Alt + T) |
| 260 | Njia mkato yako |
Your shortcut |
| 261 | Hakuna |
None |
| 263 | Hifadhi |
Save |
| 264 | Weka upya |
Reset |
| 265 | Hiyo haitafanya kazi. Tumia Ctrl, Alt, au Shift na angalau kitufe kingine kimoja. |
That won't work. Use Ctrl, Alt, or Shift and at least one other key. |
| 266 | Njia mkato hiyo imetumiwa. Chagua nyingine na ujaribu tena. |
That shortcut is taken. Pick another one and try again. |
| 267 | Njia mkato hiyo haitafanya kazi. Chagua nyingine na ujaribu tena. |
That shortcut won't work. Pick another one and try again. |
| 270 | Jumla |
General |
| 271 | Njia mkato |
Shortcuts |
| 272 | Sauti |
Audio |
| 275 | Rekodi sauti ninaporekodi klipu za mchezo |
Record audio when I record game clips |
| 276 | Rekodi maikrofoni yangu wakati mwingine ninaporekodi mchezo |
Record my microphone next time I record a game |
| 277 | Ubora wa sauti: |
Audio quality: |
| 278 | kbps |
kbps |
| 279 | Kurekodi kwa maikrofoni kumewashwa |
Microphone recording is on |
| 280 | Kurekodi kwa maikrofoni kumewashwa/kuzimwa (Win + Alt + M) |
Microphone recording on/off (Win + Alt + M) |
| 281 | Kuanza kurekodi kwa mandharinyuma. Kurekodi kwa maikrofoni kumewashwa. |
Starting background recording. Microphone recording is on. |
| 282 | Inaanzisha kurekodi kwa mandharinyuma |
Starting background recording |
| 283 | Ongeza ubora wa sauti |
Increase audio quality |
| 284 | Punguza ubora wa sauti |
Decrease audio quality |
| 285 | Rekodi ya mwisho |
Record the last |
| 286 | Urefu wa juu wa kurekodi |
Maximum recording length |
| 287 | Ubora wa sauti |
Audio quality |
| 288 | Fungua upau wa Mchezo, njia mkato ya Windows, kitufe cha Windows + G, njia mkato yako, |
Open Game bar, Windows shortcut, Windows key + G, your shortcut, |
| 289 | Rekodi hiyo, njia mkato ya Windows, kitufe cha Windows + Alt + G, njia mkato yako, |
Record that, Windows shortcut, Windows key + Alt + G, your shortcut, |
| 290 | Anzisha au komesha kurekodi, njia mkato ya Windows, kitufe cha Windows + Alt + R, njia mkato yako, |
Start or stop a recording, Windows shortcut, Windows key + Alt + R, your shortcut, |
| 291 | Piga picha ya skrini, njia mkato ya Windows, kitufe cha Windows+ Alt + Chapisha Skrini, njia mkato yako, |
Take a screenshot, Windows shortcut, Windows key + Alt + Print Screen, your shortcut, |
| 292 | Onyesha au ficha kipima muda cha kurekodi, njia mkato ya Windows, kitufe cha Windows + Alt + T, njia mkato yako, |
Show or hide the recording timer, Windows shortcut, Windows key + Alt + T, your shortcut, |
| 293 | Washa au zima kurekodi kwa maikrofoni, njia mkato ya Windows, kitufe cha Windows + Alt + M, njia mkato yako, |
Turn microphone recording on or off, Windows shortcut, Windows key + Alt + M, your shortcut, |
| 295 | Upau wa mchezo |
Game bar |
| 296 | Kipima muda cha kurekodi |
Recording timer |
| 297 | Ujumbe wa upau wa Mchezo |
Game bar message |
| 298 | Mipangilio ya upau wa Mchezo |
Game bar settings |
| 299 | Kuwasha kurekodi kwa maikrofoni |
Starting microphone recording for this game |
| 300 | Kusimamisha kurekodi kwa maikrofoni kwa mchezo huu |
Stopping microphone recording for this game |
| 301 | Kurekodi kwa Maikrofoni kumezimwa |
Microphone recording is off |
| 302 | Huna nafasi ya diski ya kutosha kurekodi. Tengeneza nafasi na ujaribu tena. |
You don't have enough disk space to record. Make some room and try again. |
| 303 | Haiwezi kurekodi kwa sababu viendeshi vyako kuonyesha huensda vimekwisha muda. Visasishe na ujaribu tena. |
Can't record because your display drivers might be out of date. Update them and try again. |
| 304 | Chomeka maikrofoni yako, na ujaribu kurekodi tena. |
Plug your microphone in, and try recording again. |
| 305 | Washa sauti yako, na ujaribu kurekodi tena. |
Turn your audio on, and try recording again. |
| 307 | Tatizo limetokea, na bado maikrofoni yako inarekodi. Jaribu tena baadaye. |
Something went wrong, and your mic is still recording. Try again later. |
| 308 | Jaribu tena baadaye. Haiwezi kurekodi maikrofoni yako sasa hivi. |
Try again later. Can't record your microphone right now. |
| 309 | Onyesha taarifa ya kurekodi kwa maikrofoni |
Show microphone recording notifications |
| 311 | Washa krekodi sauti |
Turn on audio recording |
| 350 | Washa kurekodi kwa maikrofoni |
Turn on microphone recording |
| 351 | Zima kurekodi kwa maikrofoni |
Turn off microphone recording |
| 352 | Washa kamera |
Turn on camera |
| 353 | Zima kamera |
Turn off camera |
| 360 | Sitisha kurekodi |
Stop recording |
| 361 | Komesha utangazaji |
Stop broadcasting |
| 362 | Sitisha utangazaji |
Pause broadcasting |
| 363 | Endelea na utangazaji |
Resume broadcasting |
| 370 | Ficha kipima muda |
Hide timer |
| 371 | Onyesha mwambaa wa Mchezo ninapocheza michezo ya skrini nzima |
Show Game bar when I play full-screen games |
| 372 | Fanya haya tu kwa michezo ambayo imethibitishwa na Microsoft |
Only do this for games Microsoft has verified |
| 373 | Washa upya mchezo (michezo) yako ili uone mabadiliko haya |
Restart your game(s) to see this change |
| 374 | Tatizo limetokea kwa kurekodi. Cheza nyingine zaidi na ujaribu tena. |
Something went wrong with the recording. Play some more and try again. |
| 375 | Kurekodi kwa maikrofoni kumezimwa. Wakati mwingine unarekodi, maikrofoni yako haitarekodiwa. |
Microphone recording is off. Next time you record, your mic won't be recorded. |
| 376 | Kurekodi kwa maikrofoni kumewashwa. Wakati mwingine unarekodi, maikrofoni itarekodiwa pia. |
Microphone recording is on. Next time you record, your mic will be recorded too. |
| 377 | Onyesha mwambaa wa Mchezo ninapocheza michezo ya skrini nzima ambayo Microsoft imethibitisha |
Show Game bar when I play full-screen games Microsoft has verified |
| 378 | Usanidi wa utangazaji |
Broadcast setup |
| 380 | Kichwa cha utangazaji |
Broadcast title |
| 381 | Mwelekeo wa Kamera |
Camera Position |
| 382 | Juu kushoto |
Top left |
| 383 | Juu katikati |
Top middle |
| 384 | Juu kulia |
Top right |
| 385 | Katikati kushoto |
Middle left |
| 386 | Katikati kulia |
Middle right |
| 387 | Chini kushoto |
Bottom left |
| 388 | Chini katikati |
Bottom middle |
| 389 | Chini kulia |
Bottom right |
| 390 | Sanidi mipangilio zaidi ya utangazaji kwenye Mipangilio ya Windows |
Configure more broadcasting settings in Windows Settings |
| 391 | Xbox Live |
Xbox Live |
| 392 | Jina la tangazo |
Broadcast name |
| 393 | Hariri kichwa cha tangazo |
Edit the broadcast title |
| 394 | Ingia kwenye Xbox Live ili kutangaza |
Sign into Xbox Live to broadcast |
| 397 | Tumia Modi ya Mchezo kwa mchezo huu |
Use Game Mode for this game |
| 398 | Modi ya Mchezo hufanya uchezaji wa mchezo kwenye Kompyuta yako kuwa kipaumbele cha juu cha kuboresha ubora wa mchezo wako. Pata maelezo zaidi |
Game Mode makes gaming your PC's top priority to improve your game's quality. Learn more |
| 399 | Modi ya Mchezo |
Game Mode |
| 401 | Hariri mapendeleo zaidi kwenye Mipangilio ya Windows |
Edit more preferences in Windows Settings |
| 403 | Tumia kamera ninapotangaza |
Use camera when I broadcast |
| 404 | Washa maikrofoni ninapotangaza |
Turn microphone on when I broadcast |
| 405 | Chagua programu nyingine ya kutangaza nayo. |
Choose another app to broadcast with. |
| 406 | Washa upya mchezo wako, na ujaribu kurekodi tena. |
Restart your game, and try recording again. |
| 407 | Chagua mchezo mwingine wa kutangaza. Huu hauwezi kutangazwa. |
Choose another game to broadcast. This one can't be broadcasted. |
| 408 | Utangazaji wako ulikamilika ulipoondoka. |
Your broadcast ended once you signed out. |
| 409 | Tatizo limetokea. Jaribu kutangaza tena baadaye. |
Something went wrong. Try broadcasting again later. |
| 412 | Washa upya mchezo, na ujaribu kutangaza tena. |
Restart the game, and try broadcasting again. |
| 417 | Tatizo limetokea. Jaribu kutangaza tena. |
Something went wrong. Try broadcasting again. |
| 418 | Tangazo lako lilikamilika pindi ulipofunga dirisha lako. |
Your broadcast ended once you closed your window. |
| 419 | Tangazo lako limekamilika. Jaribu kutangaza tena baadaye. |
Your broadcast ended. Try broadcasting again later. |
| 421 | Tayari unarekodi. Kamilisha klipu hiyo, na ujaribu tena. |
You're already recording. Finish that clip, and try again. |
| 422 | Tatizo limetokea. Jaribu kurekodi tena. |
Something went wrong. Try recording again. |
| 423 | Hakuna kitu cha kurekodi sasa. Cheza nyingine zaidi na ujaribu tena. |
There's nothing to record right now. Play some more and try again. |
| 425 | Chagua saa nyingine ya kuanza. |
Choose another start time. |
| 429 | Chagua urefu mdogo wa bafa. |
Choose a smaller buffer length. |
| 430 | Chagua urefu mkubwa wa bafa. |
Choose a larger buffer length. |
| 431 | Chagua urefu tofauti wa kurekodi. |
Choose a different recording length. |
| 432 | Futa baadhi ya nafasi kwenye kompyuta yako, na ujaribu kurekodi hiyo tena. |
Free up some space on your PC, and try recording that again. |
| 433 | Samahani, kompyuta hii haitimizi mahitaji ya maunzi kwa klipu za kurekodi. Jifunze zaidi |
Sorry, this PC doesn't meet the hardware requirements for recording clips. Learn more |
| 434 | Kosa la utangazaji wa kamera |
Camera broadcasting error |
| 435 | Jaribu tena, haiwezi kutangaza kamera. |
Try again, can't broadcast camera. |
| 437 | Kosa la utangazaji wa maikrofoni |
Microphone broadcasting error |
| 438 | Sitisha utangazaji (Win + Alt + B) |
Pause broadcasting (Win + Alt + B) |
| 440 | Bonyeza Win+G ili kutangaza mchezo wako |
Press Win+G to broadcast your game |
| 441 | Hatuwezi kupata soga yako sasa hivi |
We can't find your chat right now |
| 442 | Hakuna anayesogoa sasa hivi |
No one is chatting right now |
| 443 | |
|
| 444 | Jaribu kuwasha kamera yako baadaye. |
Try turning on your camera later. |
| 445 | Jaribu kuzima kamera yako baadaye. |
Try turning off your camera later. |
| 446 | Endelea na utangazaji (Win + Alt + B) |
Resume broadcasting (Win + Alt + B) |
| 447 | Zaidi katika mipangilio ya Windows |
More in Windows settings |
| 448 | Uhakiki wa Tangazo la Mwambaa wa Mchezo |
Game Bar Broadcast Preview |
| 449 | Soga ya Tangazo la Mwambaa wa Mchezo |
Game Bar Broadcast Chat |
| 450 | Tayari unatangaza mchezo. Maliza tangazo hilo, na ujaribu tena. |
You're already broadcasting a game. Finish that broadcast, and try again. |
| 451 | Ili kuanza utangazaji, badilisha mipangilio yako ya Xbox kwenye Xbox.com. |
To start broadcasting, change your Xbox settings at Xbox.com. |
| 452 | Umepigwa marufuku dhidi ya kutangaza. Ili kupata maelezo zaidi kuhusu sera na utekelezaji, tembelea http://enforcement.xbox.com. |
You’ve been banned from broadcasting. To learn more about policy and enforcement, visit http://enforcement.xbox.com. |
| 453 | Badilisha mipangilio yako ya faragha ili uanze kutangaza. Pata maelezo zaidi |
Change your privacy settings to start broadcasting. Learn more |
| 454 | Samahani, Kompyuta yako haifikii mahitaji ya maunzi ya utangazaji. Pata Maelezo Zaidi |
Sorry, your PC doesn't meet the hardware requirements for broadcasting. Learn More |
| 455 | Mchezo |
Game |
| 457 | |
|
| 458 | Unganisha kwenye intaneti ili kutangaza. |
Connect to the internet to broadcast. |
| 459 | Matumizi ya utangazaji |
Use of broadcasting |
| 460 | yanategemea Masharti ya Huduma |
is subject to the Terms of Service |
| 461 | huunda data, inayoshughulikiwa kulingana na Sera ya Faragha |
creates data, treated per the Privacy Policy |
| 462 | Ninakubali |
I agree |
| 464 | kituo |
channel |
| 465 | mkondo |
channel |
| 466 | Modi ya Mchezo hufanya uchezaji wa mchezo kwenye Kompyuta yako kuwa kipaumbele cha juu cha kuboresha tajiriba ya mchezo wako. Pata maelezo zaidi |
Game Mode makes gaming your PC's top priority to improve your game's experience. Learn more |
| 467 | Modi ya Mchezo hufanya uchezaji wa mchezo kwenye Kompyuta yako kuwa kipaumbele cha juu cha kuboresha utendakazi wa mchezo wako. Pata maelezo zaidi |
Game Mode makes gaming your PC's top priority to improve your game's performance. Learn more |
| 468 | Na Modi ya Mchezo, Windows 10 uhhakikisha unacheza michezo yako kwa uzoefu bora unaowezekana Pata maelezo zaidi |
With Game Mode, Windows 10 ensures you play your games with the best possible experience. Learn more |
| 469 | Na Modi ya Mchezo, Windows 10 uhakikisha unacheza michezo yako kwa uzoefu bora unaowezekana Pata maelezo zaidi |
Game mode gives you the best possible experience with your games. Learn more |
| 470 | Masharti ya Huduma ya Utangazaji |
Broadcasting Terms of Service |
| 471 | Sera ya Faragha ya Utangazaji |
Broadcasting Privacy Policy |
| 472 | Tumia Modi ya Mchezo |
Use Game Mode |
| 473 | Wezesha Modi ya Mchezo |
Enable Game Mode |
| 474 | Kituo cha Utangazaji |
Broadcast Channel |
| 475 | Angalia kituo cha utangazaji |
View broadcast channel |
| 476 | Tembelea kituo cha utangazaji |
Visit broadcast channel |
| 477 | Hariri kichwa cha utangazaji / Angalia kituo |
Edit the broadcast title / View channel |
| 478 | Angalia kituo |
View channel |
| 479 | Jina la mtangazaji |
Broadcaster name |
| 480 | Kituo chako |
Your channel |
| 481 | Bonyeza Win+G ili kuingiliana |
Press Win+G to interact |
| 482 | Bonyeza Win+G ili kutumia Mwambaa wa mchezo |
Press Win+G to use Game bar |
| 483 | Win+G ili kutumia Mwambaa wa mchezo |
Win+G to use Game bar |
| 484 | Na Modi ya Mchezo, Kompyuta yako uhakikisha unacheza michezo yako kwa tajiriba bora inayopatikana. Pata maelezo zaidi. |
With Game Mode, your PC ensures you play your games with the best possible experience. Learn more. |
| 485 | Bonyeza kitufe cha Xbox ili kutumia Mwambaa wa mchezo |
Press Xbox button to use Game bar |
| 486 | Bonyeza ili kutumia Mwambaa wa mchezo |
Press to use Game bar |
| 487 | Modi ya Mchezo imezimwa. Nenda kwenye Mipangilio ya Windows ili uiwashe. |
Game Mode is turned off. Go to Windows Settings to turn it on. |
| 488 | emotikoni |
emoticon |
| 489 | emotikoni isiyojulikana |
unknown emoticon |
| 490 | husema |
says |
| 491 | hunongoneza |
whispers |
| 492 | hunongonezea |
whispers to |
| 493 | watazamaji |
viewers |
| 494 | Onyesha uhakiki wa utangazaji |
Show broadcast preview |
| 495 | Onyesha soga ya utangazaji |
Show broadcast chat |
| 496 | Ficha soga ya utangazaji |
Hide broadcast chat |
| 497 | Ficha uhakiki wa utangazaji |
Hide broadcast preview |