| 100 | Alama hiyo ya kidole tayari imewekwa kwenye akaunti hii. Jaribu kidole tofauti. |
That fingerprint has already been set up on this account. Try a different finger. |
| 101 | Tayari alama hiyo ya kidole imesanidiwa kwenye akaunti nyingine. Tafadhali tumia kidole tofauti. |
That fingerprint has already been set up on another account. Try a different finger. |
| 102 | Tayari alama hiyo ya kidole imesanidiwa. Tafadhali tumia kidole tofauti. |
That fingerprint has already been set up. Try a different finger. |
| 103 | Alama hiyo ya kidole inafafana sana na ile ambayo tayari imesanidiwa. Tafadhali tumia kidole tofauti. |
That fingerprint is too similar to one that's already set up. Try a different finger. |
| 104 | Tayari umefikia idadi ya juu ya alama 10 za vidole kwenye akaunti hii. |
You’ve reached the 10 fingerprint max for this account. |
| 105 | Alama yako ya kidole isingetambazwa. Hakikisha kihisio ni safi na kikavu. Iwapo tatizo litaendelea, jaribu kidole tofauti. |
Your fingerprint couldn't be scanned. Make sure the sensor is clean and dry, and if the problem continues, try a different finger. |
| 111 | Kompyuta hii haina kisomaji cha kidole kinachofaa. |
This PC doesn’t have a suitable fingerprint reader. |
| 112 | Kisomaji cha alama ya kidole kimetenganishwa. Kiunganishe upya na ujaribu tena. |
The fingerprint reader is disconnected. Reconnect it and try again. |
| 113 | Tunahitaji kutambaza alama yako ya kidole mara chache ili kusanidi Windows Hello. |
We’ll need to scan your fingerprint a few times to set up Windows Hello. |
| 114 | Utambazaji kadhaa tu ili kuhakikisha alama yako ya kidole inatambulika. |
Just a few more scans to make sure your fingerprint is recognizable. |
| 116 | Samahani, hitilafu imetokea. |
Sorry, something went wrong. |
| 117 | Kuingia kwa alama ya kidole kumelemazwa na msimamizi wako kwa sasa. |
Fingerprint sign in is currently disabled by your administrator. |
| 119 | Ili kutumia Windows Hello, kwanza linda kifaa chako kutumia BitLocker au programu sawa ya usimbaji fiche. |
To use Windows Hello, first protect your device using BitLocker or similar encryption software. |
| 120 | Tambaza kidole chako kwenye kisomaji cha alama ya kidole. |
Scan your finger on the fingerprint reader. |
| 121 | Tambaza kidole sawa kwenye kisomaji cha alama ya kidole. |
Scan the same finger on the fingerprint reader. |
| 122 | Telezesha kidole chako kwenye kisomaji cha alama ya kidole. |
Swipe your finger on the fingerprint reader. |
| 124 | Telezesha kidole sawa kwenye kisomaji cha alama ya kidole. |
Swipe the same finger on the fingerprint reader. |
| 125 | Bonyeza kidole chako dhidi ya kihisio cha alama ya kidole, na kisha ukiinue. |
Press your finger against the fingerprint sensor, and then lift it. |
| 129 | Sogeza kidole chako chini kidogo. |
Move your finger slightly lower. |
| 130 | Sogeza kidole chako juu kidogo. |
Move your finger slightly higher. |
| 131 | Sogeza kidole chako kulia kidogo. |
Move your finger slightly to the right. |
| 132 | Sogeza kidole chako kushoto kidogo. |
Move your finger slightly to the left. |
| 133 | Sogeza kidole chako polepole zaidi kwenye kisomaji. |
Move your finger more slowly across the reader. |
| 134 | Sogeza kidole chako kwa haraka zaidi kwenye kisomaji. |
Move your finger more quickly across the reader. |
| 135 | Kifaa chako kina matatizo ya kukutambua. Hakikisha kihisio chako ni safi. |
Your device is having trouble recognizing you. Make sure your sensor is clean. |
| 136 | Jaribu kushikilia kidole chako kikiwa sawasawa na kimenyooka wakati unatumia kisomaji cha alama za vidole. |
Try holding your finger flat and straight when using the fingerprint reader. |
| 137 | Jaribu kutumia mapigo marefu kwenye kisomaji cha alama za vidole. |
Try using a longer stroke across the fingerprint reader. |
| 138 | Kifaa chako kina tatizo la kukutambua. Tafadhali jaribu tena. |
Your device is having trouble recognizing you. Please try again. |
| 139 | Endelea kubonyeza na kuinua vidole vyako hadi utambazaji ukamilike. |
Continue to press and lift your finger until the scan is complete. |
| 174 | Usanidi wa Windows Hello |
Windows Hello setup |
| 175 | Windows Hello imelemazwa na msimamizi wako kwa sasa. |
Windows Hello is currently disabled by your administrator. |
| 176 | Funga Windows Hello, na kisha jaribu kupitia usanidi tena. |
Close Windows Hello, and then try going through the setup again. |
| 177 | Tatizo lilitokea. Kumbukumbu ya mfumo wako inayopatikana huenda inapungua. Futa baadhi ya nafasi na ujaribu tena. |
Something went wrong. Your available system memory might be running low. Clear up some space and try again. |
| 178 | Usanidi wa Windows Hello haufanyikazi kupitia muunganisho wa eneo kazi la mbali. |
The Windows Hello setup doesn't work over a remote desktop connection. |
| 200 | Isingetambua macho yako. |
Couldn't detect your eyes. |
| 201 | Mwangaza zaidi! Zima baadhi ya mwangaza au ingia ndani. |
Too bright! Turn off some lights or go inside. |
| 202 | Fungua macho yako zaidi. |
Open your eyes a little wider. |
| 203 | Shikilia kifaa chako moja kwa moja upande wa mbele wa macho yako. |
Hold your device straight in front of your eyes. |
| 204 | Sogeza mbali zaidi. |
Move farther away. |
| 205 | Sogeza karibu. |
Move closer. |
| 206 | Kusogeza polepole ili kuzuia uakizi kutoka kwenye macho yako. |
Moving slightly to avoid reflection off your eyes. |
| 207 | Kifaa chako kinakumbana na tatizo kukutambua. Hakikisha lenzi za kamera yako ni safi. |
Your device is having trouble detecting you. Make sure your camera lens is clean. |
| 208 | Shikilia kifaa chako wima mbele ya macho yako. |
Hold your device straight in front of your eyes. |
| 209 | Giza zaidi! Washa baadhi ya mwangaza au nenda mahali penye mwangaza. |
Too dark! Turn on some lights or move somewhere brighter. |
| 220 | Kujifunza unachofana nacho... |
Learning what you look like... |
| 275 | Akaunti yako isingithibitishwa. |
Your account couldn’t be verified. |
| 276 | Gusa kihisio cha alama ya kidole |
Touch the fingerprint sensor |
| 277 | Rudia kuinua na kuweka kidole chako kwenye kihisio katika upande wa mbele wa kifaa chako hadi usanidi ukamilike. |
Repeatedly lift and rest your finger on the sensor on the front of your device until setup is complete. |
| 278 | Rudia kuinua na kuweka kidole chako kwenye kihisio katika upande wa nyuma wa kifaa chako hadi usanidi ukamilike. |
Repeatedly lift and rest your finger on the sensor on the back of your device until setup is complete. |
| 279 | Rudia kuinua na kuweka kidole chako kwenye kihisio katika upande wa kulia wa kifaa chako hadi usanidi ukamilike. |
Repeatedly lift and rest your finger on the sensor on the right side of your device until setup is complete. |
| 280 | Rudia kuinua na kuweka kidole chako kwenye kihisio katika upande wa kushoto wa kifaa chako hadi usanidi ukamilike. |
Repeatedly lift and rest your finger on the sensor on the left side of your device until setup is complete. |
| 281 | Rudia kuinua na kuweka kidole chako kwenye kihisio katika upande wa juu wa kifaa chako hadi usanidi ukamilike. |
Repeatedly lift and rest your finger on the sensor on the top of your device until setup is complete. |
| 282 | Gusa kitufe cha nishati |
Touch the power button |
| 283 | Rudia kuinua na kuweka kidole chako kwenye kitufe cha nishati hadi usanidi ukamilike. |
Repeatedly lift and rest your finger on the power button until setup is complete. |
| 284 | Rudia kuinua na kuweka kidole chako kwenye kihisio hadi usanidi ukamilike. |
Repeatedly lift and rest your finger on the sensor until setup is complete. |
| 285 | Telezesha kidole chako kwenye kihisio cha alama ya kidole |
Swipe your finger on the fingerprint sensor |
| 286 | Endelea kutelezesha hadi usanidi wa Windows Hello ukamilike. |
Continue swiping until Windows Hello setup is complete. |
| 287 | Sasa jaribu pembe nyingine |
Now try another angle |
| 288 | Weka na uinue kidole chako katoka pembe tofauti ili kunasa kingo za alama yako. |
Rest and lift your finger at different angles to capture the edges of your print. |
| 289 | Sasa telezesha kwa upande wa kidole chako |
Now swipe with the sides of your finger |
| 290 | Endelea kutelezesha ili kunasa kingo za alama yako. |
Continue swiping to capture the edges of your print. |
| 291 | Vyema, gusa kihisio tena |
Great, touch sensor again |
| 292 | Endelea kuweka na kuinua kidole chako |
Keep resting and lifting your finger |
| 293 | Inua na uguse tena |
Lift and touch again |
| 294 | Inua kidole chako na uguse kiashirio tena |
Lift your finger and touch the sensor again |
| 295 | Vyema, jaribu pembe nyingine |
Great, try a different angle |
| 297 | Sogeza kodole chako kwa kila mguso |
Move your finger with each touch |
| 298 | Telezesha tena |
Swipe again |
| 299 | Vyema, endelea kutelezesha |
Great, keep swiping |
| 300 | Telezesha kidole chako |
Swipe your finger |