File name: | credprovs.dll.mui |
Size: | 8704 byte |
MD5: | 230dfff96709152e904be197f43bb281 |
SHA1: | 5b8b87da00495ccc894316cc4c90db3e6fc73669 |
SHA256: | 27f3684eee23c837ddc8d8a59f2e90bc381c96c3e73a26402c53f616945f9c18 |
Operating systems: | Windows 10 |
Extension: | MUI |
If an error occurred or the following message in Swahili language and you cannot find a solution, than check answer in English. Table below helps to know how correctly this phrase sounds in English.
id | Swahili | English |
---|---|---|
101 | Nywila sio sahihi. Jaribu tena. | The password is incorrect. Try again. |
102 | Akaunti yako ina vizuizi vya muda vinavyokuzuia kutoka kwa kuingia wakati huu. Tafadhali jaribu tena baadaye. | Your account has time restrictions that prevent you from signing in at this time. Please try again later. |
103 | Akaunti yako imesanidiwa kukuzuia kutoka kwa kutumia kompyuta hii. Tafadhali jaribu kompyuta nyingine. | Your account is configured to prevent you from using this PC. Please try another PC. |
104 | Akaunti yako imelemazwa. Tafadhali muone msimamizi wako wa mfumo. | Your account has been disabled. Please see your system administrator. |
105 | Akaunti yako imepitwa na wakati. Tafadhali muone msimamizi wako wa mfumo. | Your account has expired. Please see your system administrator. |
106 | Kuingia kwa mbali, unahitaji haki ya kuingia kupitia Huduma za Eneokazi la Mbali. Kwa chaguo-msingi, wanachama wa kikundi cha Wasimamizi wana haki hii. Kama kikundi ambacho uko ndani hakina haki hii, au kama haki imeondolewa kutoka kwa kikundi cha Wasimamizi, unahitaji kupewa haki hii kikuli. | To sign in remotely, you need the right to sign in through Remote Desktop Services. By default, members of the Administrators group have this right. If the group you're in doesn't have this right, or if the right has been removed from the Administrators group, you need to be granted this right manually. |
107 | Kuingia kwa mbali, unahitaji haki ya kuingia kupitia Huduma ya Eneokazi la Mbali. Kimsingi, wanachama wa kikundi cha Watumiaji wa Eneokazi la Mbali wana haki hii. Kama kikundi ambacho uko ndani hakina haki hii, au kama haki imeondolewa kutoka kwa kikundi cha Watumiaji cha Eneokazii, unahitaji kupewa haki hii kwa mikono. | To sign in remotely, you need the right to sign in through Remote Desktop Services. By default, members of the Remote Desktop Users group have this right. If the group you're in doesn't have this right, or if the right has been removed from the Remote Desktop Users group, you need to be granted this right manually. |
109 | Nywila kwenye akaunti hii haliwezi kubadilishwa kwa wakati huu. | The password on this account cannot be changed at this time. |
110 | Nywila yako imeisha muda. Ili kuweka nywila mpya, teua Sawa, teua Badili mtumiaji, ingiza tena nywila yako ya sasa, na kisha ufuate visituo kwenye skrini. | Your password has expired. To set a new password, select OK, select Switch user, reenter your current password, and then follow the prompts on the screen. |
111 | Nywila lako limeisha muda na lazima libadilishwe. | Your password has expired and must be changed. |
112 | Mbinu ya kuingia unayojaribu kutumia hairuhusiwi. Kwa maelezo zaidi, wasiliana na msimamizi wako wa mtandao. | The sign-in method you're trying to use isn't allowed. For more info, contact your network administrator. |
113 | Nywila yako imebadilishwa. | Your password has been changed. |
114 | Lazima utumie kadi maizi ili kuingia. | You must use a smart card to sign in. |
116 | Nywila uliyoingiza hayaoani. | The passwords you entered did not match. |
117 | Tafadhali ingiza jina la mtumiaji na nywila. | Please enter a user name and password. |
121 | Jina la mtumiaji au nywila si sahihi. Jaribu tena. | The user name or password is incorrect. Try again. |
125 | Nywila mpya | New password |
126 | Thibitisha nywila | Confirm password |
127 | Wasilisha | Submit |
13000 | Jina la mtumiaji | User name |
13001 | Nywila | Password |
13002 | Nywila kale | Old password |
13005 | Jina linalovutia | Friendly name |
13006 | Hali ya mtumiaji | User status |
13009 | Mtumiaji Mwingine | Other user |
13010 | Fungua kompyuta | Unlock the PC |
13011 | Badili nywila | Change a password |
13012 | Tumia akaunti tofauti | Use a different account |
13013 | Picha ya akaunti | Account picture |
13015 | Ninawezaje kuingia kwa kikoa kingine? | How do I sign in to another domain? |
13016 | Charaza jina la kikoa\jina la mtumiaji la kikoa ili kuingia kwenye kikoa kingine. Charaza %1\jina la ndani la mtumiaj kwenye kompyuta hii tu (sio kikoa). |
Type domain name\domain user name to sign in to another domain. Type %1\local user name to sign in to this PC only (not a domain). |
13017 | Ingia kwa: %s | Sign in to: %s |
13018 | Ingia kwenye | Sign in to |
13020 | Kikoa: %s | Domain: %s |
13021 | Kikoa | Domain |
13022 | Dokezo la nywila | Password hint |
13023 | Weka upya nywila | Reset password |
13024 | Unda diski ya kuweka tena nywila | Create a password reset disk |
13025 | Dokezo la nywila : %s | Password hint: %s |
13026 | Kumbuka uthibitisho wangu | Remember my credentials |
13028 | Ya ndani au nywila ya akaunti ya kikoa | Local or domain account password |
13029 | Hatuwezi kuunganisha sasa hivi. Tafadhali angalia mtandao wako na ujaribu tena baadaye. | We are unable to connect right now. Please check your network and try again later. |
13030 | Akaunti yako ya shuleni au kazini | Your work or school account |
13031 | Huwezi kuingia kwa Kitambulisho cha mtumiaji kwenye umbizo hili. Jaribu kutumia anwani yako ya barua pepe badala yake. | You can't sign in with a user ID in this format. Try using your email address instead. |
13032 | Anwani ya barua pepe | Email address |
16000 | Badili nywila Ya mtandao | Change a network password |
16001 | Mtoaji\Jina la mtumiaji | Provider\User name |
16002 | Nywila kale | Old password |
16003 | Nywila mpya | New password |
16005 | Sawa | OK |
File Description: | Watoaji wa Stakabadhi |
File Version: | 10.0.15063.0 (WinBuild.160101.0800) |
Company Name: | Microsoft Corporation |
Internal Name: | credprovs.dll |
Legal Copyright: | © Microsoft Corporation. Haki zote zimehifadhiwa. |
Original Filename: | credprovs.dll.mui |
Product Name: | Microsoft® Windows® Operating System |
Product Version: | 10.0.15063.0 |
Translation: | 0x441, 1200 |