File name: | SyncRes.dll.mui |
Size: | 29696 byte |
MD5: | 1f8a11d3e5d04203471a5abeb6f6f680 |
SHA1: | 98e9cc777309563ca0b4e4b7f31373ac33740a91 |
SHA256: | 90dc19406853dc8989be8a5b8f4add1c0a4bd39498b6f642262ce38e973ea3a8 |
Operating systems: | Windows 10 |
Extension: | MUI |
If an error occurred or the following message in Swahili language and you cannot find a solution, than check answer in English. Table below helps to know how correctly this phrase sounds in English.
id | Swahili | English |
---|---|---|
1020 | seva | server |
1024 | Inaonekana hatuwezi kupakua vidokezo hivi vyote kutoka kwenye seva. Bado unaweza kuhariri vidokezo hivi kwenye kompyuta kwenye Outlook au kivinjari, lakini iwapo utavihariri kwenye kifaa chako mabadiliko yataondoa vidokezo kwenye seva. | We can't seem to download all these notes from the server. You can still edit these notes on a PC in Outlook or a browser, but if you edit them on your device your changes will overwrite the notes on the server. |
1026 | Baadhi ya wapokeaji hawakupata ujumbe huu.
Mada: %2!s! Hatungefikia wapokeaji hawa: %1!s! kwenye %3!s! %4!s! Huenda kikasha barua cha wapokeaji hawa kimejaa au anwani ya barua ya barua pepe huenda ikawa sio sahihi. |
Some of the recipients didn't get this message.
Subject: %2!s! We couldn't reach these recipients: %1!s! on %3!s! %4!s! The mailbox for these recipients may be full or the email mail address may be incorrect. |
1027 | Ujumbe wako
Kwa: %1!s! Mada: %2!s! ulisomwa kwenye %3!s! %4!s! |
Your message
To: %1!s! Subject: %2!s! was read on %3!s! %4!s! |
1028 | Ujumbe wako
Kwa: %1!s! Mada: %2!s! uliwasilishwa kwa wapokeaji hawa: %1!s! on %3!s! %4!s! |
Your message
To: %1!s! Subject: %2!s! was delivered to these recipients(s): %1!s! on %3!s! %4!s! |
1029 | Hatuwezi kulandanisha sasa hivi. Lakini unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu msimbo wa kosa hili katika https://answers.microsoft.com. | We can’t sync right now. But you may be able to find more information about this error code at https://answers.microsoft.com. |
1034 | isiyojulikana | unknown |
1045 | Ujumbe wako
Kwa: %1!s! Mada: %2!s! ulifutwa bila kosomwa kwenye %3!s! %4!s! |
Your message
To: %1!s! Subject: %2!s! was deleted without being read on %3!s! %4!s! |
1088 | Tusingeweza kutuma ujumbe wako mmoja au zaidi wa barua pepe. Tutajaribu kuutuma wakati mwingine tutakapolandanisha. Iwapo hii inahitajika haraka, hakikisha kuwa una muunganisho, kisha donoa Landanisha. | We couldn't send one or more of your email messages. We'll try sending them the next time we sync. If this is urgent, make sure you have a connection, then tap Sync. |
1089 | Tusingelandanisha moja au zaidi ya viambatisho kwa kifaa chako. Jaribu hii tena, weka alama kwa kila kiambatisho kwa kipakuaji kwenye barua pepe yako na ulandanishe tena. | We couldn't sync one or more attachments to your device. To try this again, mark each attachment for download in your email and sync again. |
1090 | kifaa chako | your device |
1104 | Mada: %1!.200s! | Subject: %1!.200s! |
1105 | Kuanza: %1!s! %2!.200s! | Start: %1!s! %2!.200s! |
1106 | Mwisho: %1!s! %2!.200s! | End: %1!s! %2!.200s! |
1107 | Imewekwa kwenye faili kama: %1!.200s! | Filed as: %1!.200s! |
1109 | Kutoka: %1!.200s! | From: %1!.200s! |
1111 | Muda: %1!.200s! | Time: %1!.200s! |
1112 | Imepokewa: %1!.200s! | Received: %1!.200s! |
1113 | Imetumwa: %1!.200s! | Sent: %1!.200s! |
1115 | Ukomo: %1!.200s! | Due: %1!.200s! |
1117 | Vipengee Vilivyokosekana: | Missed Items: |
1118 | Imepewa jina kama: %1!.200s! | Named as: %1!.200s! |
1119 | Kitambulisho: %1!.200s! | ID: %1!.200s! |
1200 | Hii inaweza kuwa kwa sababu kifaa chako cha mtandao wa simu kimezimwa au kiko kwenye modi ya ndege. | This may be because your cellular device is turned off or in airplane mode. |
1201 | Huna usanidi wa muunganisho wa data ya mtandao wa simu, WLAN, au Wi-Fi. Ili kulandanisha maelezo, ongeza muunganisho. | You don't have a cellular, WLAN, or Wi-Fi data connection set up. To sync information, add a connection. |
1202 | Kifaa chako hakipo katika modi ya ndege. | Your device is in airplane mode. |
1203 | Hii huenda ikawa kwa sababu miunganisho yako ya data ya mtandao wa simu imezimwa. | This may be because your cellular data connections are turned off. |
1204 | Hii huenda ni kwa sababu muunganisho wa uzururaji wa data yako wa mtandao wa simu umezimwa. | This may be because your cellular data roaming connection is turned off. |
1205 | Tukio hili lisingeweza kulandanishwa kwa %1!s!. | This event couldn't be synced to %1!s!. |
1206 | Tukio hili lisingeweza kusasishwa kwenye %1!s!. | This event couldn't be updated on %1!s!. |
1207 | Mwasiliani huyu hangesasishwa kwa %1!s!. | This contact couldn't be synced to %1!s!. |
1208 | Mwasiliani huyu hangeweza kusasishwa kwenye %1!s!. | This contact couldn't be updated on %1!s!. |
1209 | Kazi hii isingeweza kulandanishwa kwa %1!s!. | This task couldn't be synced to %1!s!. |
1210 | Kazi hii isingeweza kusasishwa kwenye %1!s!. | This task couldn't be updated on %1!s!. |
1213 | Barua pepe hii isingeweza kusasishwa kwa %1!s!. | This email couldn't be synced to %1!s!. |
1214 | Barua pepe hii haingesasishwa kwenye %1!s!. | This email couldn't be updated on %1!s!. |
1215 | Kabrasha hili lisingesasishwa. | This folder couldn't be updated. |
2063 | Inalandanisha... | Syncing... |
2064 | Akaunti yako ya %s huhitaji umakinifu. | Your %s account requires attention. |
3012 | Kifaa chako hakiauni toleo hili la seva. Wasiliana na mtu wako wa auni au mtoaji huduma. | Your device doesn't support this server version. Contact your support person or service provider. |
3013 | Kifa chako hakina kumbukumbu ya kutosha ili kulandanisha maelezo kwa sasa. | Your device doesn't have enough memory to sync information at the moment. |
3014 | Hakuna nafasi ya kutosha kwenye kifaa chako kulandanisha maelezo yako yote. Unaweza kufuta baadhi ya nafasi kwa kufuta baadhi ya picha, video, au muziki kwenye simu yako, na ujaribu tena. | There isn't enough space on your device to sync all your information. You can free up some space by deleting some pictures, videos, or music from your device, and try again. |
3016 | Inaonekana hatuwezi kupata maelezo ya seva yako. Yasasishe na ujaribu kuunganisha tena. | We can't seem to find your server information. Update it and try connecting again. |
3017 | Sasisha nywila yako ili uweze kulandanisha maelezo yako. | Update your password so you can sync your information. |
3026 | Seva unayojaribu kuunganisha kwayo haiauni Microsoft Exchange ActiveSync. | The server you are trying to connect to doesn't support Microsoft Exchange ActiveSync. |
3027 | Kifaa chako kinakumbana na tatizo la kulandanisha kwa %1!s!. Iwapo hili litaendelea, wasiliana na mtu wa auni au mtoaji huduma wako. | Your device is having a problem syncing with %1!s!. If this continues, contact a support person or your service provider. |
3028 | Tunakumbana na tatizo kwa seva au muunganisho wako. Jaribu tena baadaye. | We're having a problem with the server or your connection. Try again later. |
3029 | Hatuwezi kulandanisha %1!s! kwa sasa. Tutaendelea kujaribu, lakini iwapo hii sio akaunti yako msingi ya Microsoft na unaendelea kupata kosa hili huenda likakusadia kufuta akaunti yako na kisha uiongeze tena. Vinginevyo, subiri muda mfupi, kisha ujaribu tena. | We can't sync %1!s! at the moment. We'll keep trying, but if this isn’t your primary Microsoft account and you keep getting this error it might help to delete your account and then add it again. Otherwise, wait a little while, then try again. |
3031 | Hatuwezi kuunganisha kwa sasa. Subiri muda mfupi, kisha ujaribu tena. Iwapo utaendelea kupata kosa hili, hakikisha mipangilio ya seva yako ni sahihi. | We can't connect at the moment. Wait a little while, then try again. If you keep getting this error, make sure your server settings are correct. |
3032 | Sasisha maelezo yako ya seva na ujaribu kuunganisha tena. | Update your server information and try connecting again. |
3033 | Tunakumbana na tatizo la kuunganisha kwenye %1!s!. Jaribu tena baadaye. | We're having a problem connecting to %1!s!. Try again later. |
3035 | Kuna shida na jinsi %1!s! imewekwa. Wasiliana na mtu wa usaidizi au mtoaji huduma wako. | There is a problem with the way %1!s! is set up. Contact a support person or your service provider. |
3037 | Kikasha barua chako kimejaa. Ondoa vipengee vyako vilivyofutwa ili kuunda nafasi zaidi. | Your mailbox is full. Empty your deleted items to create more space. |
3038 | Tunakumbana na tatizo la kulandanisha %1!s! kwa sasa. Subiri muda mfupi, kisha ujaribu tena. | We're having a problem syncing %1!s! at the moment. Wait a little while, then try again. |
3039 | Tunakumbana na tatizo la kuunganisha kwenye %1!s!. Wasiliana na mtu wa auni au mtoaji huduma wako. | We're having a problem connecting to %1!s!. Contact a support person or your service provider. |
3040 | Kikasha barua chako kinakaribia kujaa. Ondoa vipengee vyako vilivyofutwa ili kuunda nafasi zaidi. | Your mailbox is almost full. Empty your deleted items to create more space. |
3041 | Kifaa chako hakiauni mipangilio ya usalama ambayo seva huhitaji. Wasiliana na mtu wa auni au mtoaji huduma wako. | Your device does not support the security settings that the server requires. Contact a support person or your service provider. |
3042 | Tunakumbana na tatizo la kulandanisha maelezo yako. Huenda seva ikakuhitaji kuteua muunganisho (SSL) uliyosimbwa fiche kwenye mipangilio ya akaunti hii. | We're having a problem syncing your information. The server may require you to select an encrypted (SSL) connection in this account's settings. |
3043 | Tunakumbana na tatizo kulandanisha akaunti hii. Iwapo hii itaendelea, futa akaunti hii na kisha iongeze tena. | We're having a problem syncing this account. If this continues, delete this account and then add it again. |
3044 | Huenda ukahitaji kuanza kutumia barua, waasiliani, na kalenda yako kwenye kompyuta yako kabla uweze kulandanisha maelezo haya kwenye kifaa chako. Iwapo tatizo hili litaendelea, wasiliana na mtu wa auni au mtoaji huduma wako. | You may need to start using your mail, contacts, and calendar on your PC before you can sync this info to your device. If this issue continues, contact a support person or your service provider. |
3045 | Mtumiaji haruhusiwi kulandanisha. | The user is not authorized to sync. |
3046 | Hatuwezi kuongeza akaunti hii kwenye kifaa chako kwa sababu tayari umeiweka kwenye idadi ya juu ya vifaa.
Unaweza kujaribu kuondoa vifaa katika akaunti yako kwenye wavuti, au uwasiliane na auni kwa akaunti yako. |
We can't add this account to your device because you've already set it up on the maximum number of devices.
You can try removing devices from your account on the web, or contact support for your account. |
3048 | %1!s! haikukuruhusu kujibu ujumbe huu. Jaribu tena baadaye, au utume kutoka kwenye PC yako. | %1!s! did not allow you to reply to this message. Try again later, or send it from your PC. |
3049 | %1!s! ilikuwa na tatizo la kutuma ujumbe huu. Jaribu tena baadaye, au uutume kutoka kwenye PC yako. | %1!s! had a problem sending this message. Try again later, or send it from your PC. |
3050 | Tulikuwa na tatizo la kutuma majibu yako. Jaribu tena baadaye, au yatume kutoka kweye PC yako. | We had a problem sending your reply. Try again later, or send it from your PC. |
3053 | Tusingeweza kutafuta kipengee hiki kwenye kikasha barua chako. Landanisha akaunti yako ili kuhakikisha kipengee bado kipo. | We couldn't find this item in your mailbox. Sync your account to make sure the item still exists. |
3061 | Huwezi kutuma barua kutoka kwenye akaunti hii. Inaonekana kuna tatizo kwa seva. Wasiliana na mtu wa auni kwa seva yako ili kujifunza zaidi. | You're not able to send mail from this account. There seems to be a problem with the server. Contact the support person for your server to learn more. |
3063 | Anwani hizi za barua pepe zinaonekana kutofanya kazi. Hakikisha kuwa anwani ni sahihi, na ujaribu tena. | These email addresses don’t seem to work. Make sure the addresses are correct, and try again. |
3064 | Huwezi kutuma majibu kutoka kwenye akaunti hii. Inaonekana kuna tatizo kwa seva. Wasiliana na mtu wa auni kwa seva yako ili kujifunza zaidi. | You're not able to send a reply from this account. There seems to be a problem with the server. Contact the support person for your server to learn more. |
3067 | Hutaweza kutuma barua hii kwa sababu viambatisho ni vikubwa zaidi. | You won't be able to send this mail because the attachments are too large. |
3068 | Utahitaji kuondoa baadhi ya wapokeaji kabla uweze kutuma barua pepe hii. | You’ll need to remove some recipients before you can send this mail. |
3069 | Huwezi kutuma barua kwa orodha ya usambazaji yenye ukubwa huu kutoka kwenye akaunti hii. Ondoa orodha ya usambazaji, na ujaribu tena. | You can't send mail to a distribution list this large from this account. Remove the distribution list, and try again. |
3378 | Hatuwezi kuunganisha kwenye %1!s! kwa sasa. Hakikisha una muunganisho, kisha ujaribu tena. | We can't connect to %1!s! right now. Make sure you have a connection, then try again. |
3387 | Hatuwezi kulandanisha maelezo mapya yanapofika. Jaribu ratiba tofauti kwa maelezo ya upakuaji. | We're not able to sync new information as it arrives. Try a different schedule for downloading information. |
3396 | Sasisha tarehe na muda kwenye kifaa chako na ujaribu kuunganisha tena. | Update the date and time on your device and try connecting again. |
3397 | Inaonekana kuwa kuna tatizo kwa cheti cha %1!s!. Iwapo hii sio akaunti msingi ya Microsoft, jaribu kufuta akaunti, kisha kuiongeza tena. Vinginevyo, subiri muda mfupi, kisha ujaribu tena. | It looks like there's a problem with the certificate for %1!s!. If this isn’t your primary Microsoft account, try deleting the account, then adding it again. Otherwise, wait a little while, then try again. |
3398 | Tunakumbana na tatizo la kulandanisha folda zako za barua pepe. Badilisha ratiba yako ya ulandanishaji, au punguza idadi ya folda za barua pepe zinazolandanishwa. | We're having a problem syncing your email folders. Change your synchronization schedule, or reduce the number of email folders being synced. |
3399 | Inaonekana kuwa huenda unatumia akaunti ya Programu za Google ambazo hazijawekwa ili kulandanisha kwa vifaa vya simu. Kwenye kivinjari chako cha wavutii katika PC, nenda kwenye mipangilio ya Simu kwa akaunti yako ya Programu za Google, wezesha Ulandanishaji wa Google chini ya mipangilio ya Huduma, na kisha ujaribu kulanndanisha tena. | It looks like you may be using a Google Apps account that is not set up to sync with mobile devices. In your web browser on your PC, go to Mobile settings for your Google Apps account, enable Google Sync under Service settings, and then try to sync again. |
4053 | Kalenda | Calendar |
4054 | Waasiliani | Contacts |
4055 | Barua pepe | |
4126 | Kazi | Tasks |
4130 | Nywila yako imekwisha muda. Kwanza, ibadilishe kwenye wavuti, kisha rudi na uisasishe katika akaunti yako kwenye kifaa. | Your password has expired. First, change it on the web, then come back and update it in your account on the device. |
6009 | Aina ya sifa ni batili. | The characteristic type is invalid. |
6010 | Thamani ya paramita ni batili. | The parameter value is invalid. |
6011 | Lazima ujumuishe paramita ya AccountName. | You must include the AccountName parameter. |
6012 | Lazima ujumuishe paramita ya AccountType. | You must include the AccountType parameter. |
6013 | Huwezi kubadilisha paramita ya AccountType pindi akaunti imeundwa. | You can't change the AccountType parameter once the account has been created. |
6014 | Iwapo unaweka akaunti msingi ya Microsoft kwenye kifaa, Lazima uweke paramita ya AccountType kwa WindowsLive. | If you're setting up the primary Microsoft account on the device, you must set the AccountType parameter to WindowsLive. |
6015 | Huwezi kuweka paramita ya Domain kwa akaunti za Microsoft. | You can't set the Domain parameter for Microsoft accounts. |
6016 | Huwezi kamwe kubadilisha paramita ya UserName kwa akaunti msingi ya Microsoft kwenye kifaa. Kwa akaunti nyingine yoyote, huwezi kuibadilisha pindi akaunti imelandanishwa. | You can never change the UserName parameter for the primary Microsoft account on the device. For any other account, you can't change it once the account has synced. |
6017 | Lazima utoe anwani ya barua pepe kama paramita ya UserName kwa akaunti msingi ya Microsoft kwenye kifaa. | You must provide the email address as the UserName parameter for the primary Microsoft account on the device. |
6018 | Anwani ya barua pepe kwenye paramita ya UserName sio akaunti halali ya Microsoft. | That email address in the UserName parameter isn't a valid Microsoft account. |
6019 | Huwezi kamwe kufuta akaunti msingi ya Microsoft kutoka kwenye kifaa. | You can never delete the primary Microsoft account from the device. |
6020 | Huwezi kufuta aina za maudhui ambayo yanaauniwa na seva, kama vile Waasiliani, Kalenda, Barua, Kazi, na SMS. | You can't delete content types that are supported by the server, such as Contacts, Calendar, Mail, Tasks, and SMS. |
6021 | Huwezi kulemaza Waasiliani au Kalenda kutoka kwenye akaunti msingi ya Microsoft kwenye kifaa. | You can't disable Contacts or Calendars from the primary Microsoft account on the device. |
6022 | Huwezi kuwezesha milisho isipokuwa ukiwa umewezesha Waasiliani pia. | You can't enable feeds unless you've also enabled Contacts. |
6023 | Samahani, lakini hatungeweza kuhifadhi mabadiliko yako. Jaribu tena baadaye. | We're sorry, but we weren't able to save your changes. Try again later. |
9781 | Windows | Windows |
9782 | Kosa la kutuma: %.*s | Send error: %.*s |
9783 | Tusingeweza kutuma ujumbe huu, kwa hivyo tumeuweka kwenye folda ya Rasimu. Kabla ujaribu kuutuma tena, unaweza kuangalia ili kuona iwapo anwani ni sahihi na kuwa hakuna viambatisho vikubwa zaidi. | We weren't able to send this message, so we've put it in your Drafts folder. Before you try sending it again, you can check to see if the address is correct and that no attachments are too large. |
9810 | Msimamizi | Administrator |
9811 | Isingeweza kutuma ujumbe | Couldn't send message |
9812 | "%s" haingetumwa kwa hivyo tunaihamisha kwenye folda yako ya Rasimu. Jaribu tena baadaye, au tuma ujumbe huu kutoka kwenye PC yako. | "%s" couldn't be sent so we're moving it to your Drafts folder. Try again later, or send this message from your PC. |
9820 | Tunakumbana na tatizo la kulandanisha maelezo. Seva hii ya POP3 haitoi Vitambulisho vya pekee kwa kila ujumbe. | We're having a problem syncing information. This POP3 server does not provide unique IDs for each message. |
9821 | Tunakumbana na tatizo la kulandanisha maelezo. Seva hii ya POP3 haiauni urejeshaji nusu wa ujumbe. | We're having a problem syncing information. This POP3 server does not support partial message retrieval. |
9845 | Tunakumaba na tatizo la kuunganisha kwenye seva ya barua inayoingia. Hakikisha jina la seva ya barua inayoingia ni sahihi na ujaribu tena. | We're having a problem connecting to the incoming mail server. Make sure the incoming mail server name is correct and try again. |
9846 | Tunakumbana na tatizo la kuunganisha kwenye seva. Hakikisha jina la seva ya barua inayoondoka (SMTP) ni sahihi na ujaribu tena. | We're having a problem connecting to the server. Make sure the outgoing mail (SMTP) server name is correct and try again. |
9847 | Hatuwezi kupakua ujumbe kwa sasa. Jaribu tena baadaye. | We're not able to download messages at the moment. Try again later. |
9848 | Hatuwezi kutuma ujumbe kwa sasa. Jaribu tena baadaye. | We're not able to send messages at the moment. Try again later. |
9849 | Tunakumabana na tatizo la kuunganisha kwenye seva. Hakikisha maelezo yako ya kuingia ni sahihi na ujaribu tena. | We're having a problem connecting to the server. Make sure your sign in info is correct and try again. |
9852 | Tunakumbana na tatizo la kupakua ujumbe. Hakikisha una muunganisho na maelezo ya akaunti yako ni sahihi, na kisha ujaribu tena. | We're having a problem downloading messages. Make sure you have a connection and your account info is correct, and then try again. |
9853 | Tunakumbana na tatizo la kutuma ujumbe. Hakikisha una muunganisho na maelezo ya akaunti yako ni sahihi, na kisha ujaribu tena. | We're having a problem sending messages. Make sure you have a connection and your account info is correct, and then try again. |
9854 | Kifaa chako hakina kumbukumbu ya kutosha kulandanisha maelezo kwa sasa. | Your device does not have enough memory to sync information at the moment. |
9855 | Tuanakumbana na tatizo la kuunganisha kwenye seva. Jaribu tena baadye. | We're having a problem connecting to the server. Try again later. |
9856 | Tunakumbana na tatizo la kuunganisha kwenye seva. Iwapo hili litaendelea kufanyika, hakikisha umeunganishwa kwenye Mtandao na uangalie mipangilio ya akaunti yako ya barua pepe. Iwapo muunganisho wako unatumia ngome, hakikisha barua pepe haijazuiwa kwayo. | We’re having a problem connecting to the server. If this keeps happening, make sure you’re connected to the Internet and check your email account settings. If your connection uses a firewall, make sure email isn’t blocked by it. |
9890 | Tunakumbana na tatizo la kupakua ujumbe. Jaribu tena baadaye. | We're having a problem downloading messages. Try again later. |
9891 | Tuankumbana na tatizo la kuunganisha kwenye seva ya barua inayoingia. Hakikisha maelezo ya seva yako ni sahihi na ujaribu tena. | We're having a problem connecting to the incoming mail server. Make sure your server info is correct and try again. |
9896 | Calendar|Contacts|Journal|Notes|Tasks|Drafts | Calendar|Contacts|Journal|Notes|Tasks|Drafts |
9897 | Sent Items | Sent Items |
9898 | Deleted Items | Deleted Items |
9899 | Inbox | Inbox |
23062 | Umakinifu unahitajika | Attention required |
23082 | Nywila siyo sahihi. Ingiza nywila sahihi ili kuendelea kulandanisha. | The password is incorrect. Enter the correct password to continue synchronizing. |
23083 | Your Windows Live account must be enrolled in dogfood. Visit http://livedog to enroll. | Your Windows Live account must be enrolled in dogfood. Visit http://livedog to enroll. |
23084 | Outlook | Outlook |
24501 | Hatuwezi kulandanisha %1!s! kwa sasa. Subiri muda kidogo, kisha ujaribu tena. | We can't sync %1!s! at the moment. Wait a little while, then try again. |
26027 | %1!s! haiauni ulandanishaji wa maelezo mapya jinsi yanavyowasili. Badilisha ratiba yako ya ulandanishaji na ujaribu tena. | %1!s! does not support syncing new information as it arrives. Change your synchronization schedule and try again. |
28000 | Utahitaji cheti binafsi ili kuunganishwa kwenye %1!s!. | You'll need a personal certificate to connect to %1!s!. |
28001 | Hatuwezi kukuunganisha kwenye %1!s!. Hakikisha kuwa jina lako la mtumiaji, nywila na cheti ni sahihi. Ili kutumia cheti tofauti, teua Mipangilio na kisha ufute kisanduku tiki cha nichagulie cheti Kiotomatiki. | We can't connect you to %1!s!. Make sure your user name, password and certificate are correct. To use a different certificate, select Settings, and then clear the Automatically choose a certificate for me check box. |
30000 | Kifaa chako hakizingatii seti ya sera za usalama za msimamizi wako wa barua pepe. %1!s! |
Your device does not comply with the security policies set by your email administrator. %1!s! |
30007 | Imetumwa kutoka kwenye kifaa changu cha Windows | Sent from my Windows device |
40000 | Hatuwezi kupata tokeni ya uhalalishaji Mmoja wa Kuingia kwa akaunti yako. %1!s! |
We're not able to obtain the Single-Sign-on authentication token for your account. %1!s! |
50000 | Historia ya Ujumbe Mfupi | Messaging History |
50001 | Watu | People |
50002 | Vikundi na Mipangilio | Groups and Settings |
File Description: | Rasilimali za ActiveSync |
File Version: | 10.0.15063.0 (WinBuild.160101.0800) |
Company Name: | Microsoft Corporation |
Internal Name: | SyncRes |
Legal Copyright: | © Microsoft Corporation. Haki zote zimehifadhiwa. |
Original Filename: | SyncRes.dll.mui |
Product Name: | Microsoft® Windows® Operating System |
Product Version: | 10.0.15063.0 |
Translation: | 0x441, 1200 |