| 100 | Mtumiaji mwingine ameingia. Ukiendelea, ataondolewa na huenda ukapoteza kazi isiyohifadhiwa. Je, unataka kuingia hata hivyo? |
Another user is signed in. If you continue, they’ll be signed out and might lose unsaved work. Do you want to sign in anyway? |
| 101 | Mtumiaji mwingine ameingia. Ukiendelea, ataondolewa. Je, unataka kuingia hata hivyo? |
Another user is signed in. If you continue, they’ll be disconnected. Do you want to sign in anyway? |
| 102 | Bonyeza Ctrl+Alt+Delete ili kufungua. |
Press Ctrl+Alt+Delete to unlock. |
| 103 | Bonyeza Ctrl+Alt+Delete au tumia kitufe cha Usalama cha Windows ili kufungua. |
Press Ctrl+Alt+Delete or use the Windows Security button to unlock. |
| 104 | Bonyeza na ushikilie kitufe cha Windows, na kisha ubonyeze kitufe cha nishati ili kufungua. |
Press and hold the Windows button, and then press the power button to unlock. |
| 105 | Bonyeza na ushikilie kitufe cha Windows, na kisha ubonyeze kitufe cha nishati ili kufungua. (Au unaweza kufungua kwa kubonyeza Ctrl+Alt+Futa.) |
Press and hold the Windows button, and then press the power button to unlock. (Or you can unlock by pressing Ctrl+Alt+Delete.) |
| 106 | Nywila hiyo sio sahihi. Kuwa makini—ukiendelea kuingiza nywila isiyo sahihi, utafungiwa ili kusaidia kulinda data yako. Kufungua, utahitaji ufunguo wa urejesho wa BitLocker. |
That password isn’t correct. Be careful—if you keep entering the wrong password, you’ll be locked out to help protect your data. To unlock, you’ll need a BitLocker recovery key. |
| 107 | Nywila hiyo si sahihi. Kuwa mwangalifu kama unaendelea kuingiza nywila isiyosawa, Windows itaanza upya kiotomatiki ili kusaidia kulinda data yako. |
That password isn’t correct. Be careful—if you keep entering the wrong password, Windows will automatically restart to help protect your data. |
| 108 | Nywila hiyo siyo sahihi. Kuwa makini—ukiendelea kuingiza nywila isiyo sahihi, utafungiwa nje ili kusaidia kulinda data yako. Kufungua, utahitaji ufunguo wa urejesho kutoka kwa mtoa huduma wako wa usimbaji fiche. |
That password isn’t correct. Be careful—if you keep entering the wrong password, you’ll be locked out to help protect your data. To unlock, you’ll need a recovery key from your encryption provider. |
| 109 | Tafadhali subiri |
Please wait |
| 110 | Bonyeza na ushikilie kitufe cha nishati, na kisha ubonyeze kitufe cha kupunguza sauti ili kufungua |
Press and hold the power button, and then press the volume down button to unlock |
| 111 | Bonyeza na ushikilie kitufe cha nishati, na kisha ubonyeze kitufe cha kupunguza sauti ili kufungua. (Au unaweza kufungua kwa kubonyeza Ctrl+Alt+Delete.) |
Press and hold the power button, and then press the volume down button to unlock. (Or you can unlock by pressing Ctrl+Alt+Delete.) |
| 112 | Dakika moja tu... |
Just a moment... |